First years na ulimbukeni wa kusoma udsm

First years na ulimbukeni wa kusoma udsm

Umekosea mkuu mimi nasoma SUA... Watu wa udsm huwa wanakuja SUA for more practical.... Ukizingatia mostly.. Kwa cozy Za kilimo kama Aquatic science and Fisheries.. Walikuja mwaka huu kwa simple statistics... Hata lecturers wengi wa Cozy Za kilimo Za Udsm chimbuko Lao ni sua... Labda wanaweza kuja Kwa cozy kama Food science and technology.... On rare cases
Labda siku hizi lakini simetimes in the past walikuwa wanatoka sua wanaenda conas kwa pratical kipindi cha likizo. Mambo yanabadilika, inawezekana .
 
hahahahahaa watu kama wewe mna shida si kidogo aisee sasa asijione kusoma chuo kikuu kikongwe na bora katka ranks za vyuo vikuu kuliko hivulyo ulivyovitaja?!! umepanic umekosa ama ni nn?? nimesoma SUA but siwezi nikaanzakuponda chuo eti sijui MD ya kcmc na ya ud au archetecture ya ardhi na ud na huwezi ukajua kinagaubaga kila kitu cha coz ya chuo ambacho hujasoma TUACHE KUICHUKIA UDSM BILA SABABU ZA MSINGI
well said. ts nonsense kudisqualfy chuo ambacho hujasoma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].. verry redicule.
 
M
Dunia nzima vyuo vizuri vya udaktari wa tiba viko attached na hospitali. Kwa sababu udaktari wa tiba ni fani unayosoma nadharia, halafu unaenda kuangalia na kufanya vitu practical. Utasoma kuhusu miili ya watu halafu utatakiwa kuiangalia. Utasoma kuhusu wagonjwa wa magonjwa fulani halafu utatakiwa kuwaangalia.

Sasa UDSM kuna hospitali gani pale?

Labda nimeondoka Tanzania siku nyingi, siku hizi wamejenga hospitali ya viwango vya kufundishia udaktari pale?

Mtu anayeelewa udaktari atajua kwamba, ceteris paribus, Muhimbili au hata Bugando patafundisha udaktari vizuri zaidi ya UDSM. For the simple reason that UDSM doesn't have a hospital, to my knowledge.

Hakuna chuo bora. Kuna chuo bora kwa kitu fulani.

Kuna watu wa technology wanapata nafasi kwenda Harvard wanakataa. Kwa sababu katika technology Harvard si chuo mahiri. Katika technology unaongea MIT, Stanford na vyuo kama hivyo ambavyo havipo hata kwenye Ivy League.

Harvard kiko stronger kwenye business, governance na law.

Sasa kama Harvard kinaonekana kwenye mambo mengine kimepwaya, kuna vyuo havina status ya Ivy League vinakishinda, utasemaje UDSM ni chuo bora zaidi bila hata kuangalia bira katika nyanya gani na kwa nini?

Mimi kama naajiri MD, graduate wa Muhimbili ana advantage over wa UDSM right out the gate.
Mkuu heshima kwako, naweka kumbukumbu sahihi kwamba MIT na Stanford University ni members wa Ivy League
Otherwise, nayaheshimu mawazo yako
 
First year UDSM
 

Attachments

  • Screenshot_2017-10-30-20-17-37.png
    Screenshot_2017-10-30-20-17-37.png
    129.3 KB · Views: 72
Mkuu umeandika sana had ukaonekana una chuki na UDSM...nmesoma UDSM na sijawahi kujuta
 
M

Mkuu heshima kwako, naweka kumbukumbu sahihi kwamba MIT na Stanford University ni members wa Ivy League
Otherwise, nayaheshimu mawazo yako
Kwa mujibu wa Wiki ya Ivy League , M.I.T na Stanford hazimo katika Ivy League. Zaidi, Ivy League ni ya vyuo vya Northeast US, Stanford iko California.

Soma hapa Ivy League - Wikipedia

Wameandika.

"The eight institutions are Brown University, Columbia University, Cornell University, Dartmouth College, Harvard University, the University of Pennsylvania, Princeton University, and Yale University. The term Ivy Leaguehas connotations of academic excellence, selectivity in admissions, and social elitism."
 
Zinaitege
Upo sahihi kabisa Ardhi university formerly ilikuwa ni UCLAS under the great UDSM. Hata hyo Muhimbili na SUA zote zilikuwa under UDSM na mpaka Leo zinaitegemea UDSM kwa ajili ya utaalamu na maendeleo yao

Zinaitegemea udsm kwa utaalamu upi?
Acha sound ww, hivi unajua Udsm wenyewe nao wanazitegemea SUA na MUHAS kwa waalimu inapokuja kwenye specialization zao?
Acha kujifanya hujui
 
Kwa mujibu wa Wiki ya Ivy League , M.I.T na Stanford hazimo katika Ivy League. Zaidi, Ivy League ni ya vyuo vya Northeast US, Stanford iko California.

Soma hapa Ivy League - Wikipedia
Nimekupata mkuu, kuhusu Ivy wanasema mostly ni oldest universities as aforementioned, wa mwisho kujiunga Ivy League alikuwa Cornell aliyeanzishwa 1865 but Stanford ilianzishwa 1891

However, Ivy League universities wanaji-brand tu waonekane tofauti but hawana tofauti in terms of education quality na non-Ivies kama Berkeley, Maryland, North Carolina chapel hill na hata product zao zina-compete very well kwa labour market pengine kuliko hata products za Ivy League universities

Hata hapa kwetu ni hivyo hivyo tu
Asante kunikumbusha mkuu
Heshima kwako

Wameandika.

"The eight institutions are Brown University, Columbia University, Cornell University, Dartmouth College, Harvard University, the University of Pennsylvania, Princeton University, and Yale University. The term Ivy Leaguehas connotations of academic excellence, selectivity in admissions, and social elitism."
 
Acha ubishi umeingilia dirishani anzisha uzi tukupe ushauri hutaki potea.
 
Hicho chuo cha kawaida sana .

Halafu si kila kozi inayotolewa hapo ni bora kuliko vyuo vingine.

Kuna baadhi ya kozi zinazotolewa hapo zinatolewa chini ya kiwango kulinganisha na vyuo vingine

Mfano

a)MD.
Huwezi kufananisha MD inayotolewa Muhas au Cuhas au KCMC na hiyo Ud.

Lakini utakuta lijitu limbukeni kisa lipo udsm basi linajiona linajuwaaaa kumbe mavi matupu.

b)Architecture

Huwezi kumfananisha architect aliye graduate ardhi na aliye graduate udsm

Huyu wa ardhi anavitu vingi sana unique amemuacha mbali sana huyo wa udsm

Anajua kuchora kuanzia kwa mikono mpaka kwa PC

Humdanganyi chochote kuhusu mambo ya archcard na autocard sijui GIS na takataka nyingine zote.


c)Building Economy /quantity survey

QS wa udsm kamwe hamfikii hata kidogo QS wa Aru

Hata course anazosoma Qs wa aru Qs wa ud hajawahi kuzisoma hata mara moja.

d)Law.
Law inayotolewa mzumbe ni mara 3 kwa ubora kuliko ile ya udsm.

e)Engineering courses
Engineering courses especially mechanical engineering inayotolewa D.I.T inamuandaa mwanafunzi kivitendo zaidi kuliko ya udsm inayomuandaa kinadharia

f)education
Kozi za education zinazotolewa udom ni bora zaidi kuliko za udsm
Ila ukiwa limbukeni huwezi kutambua hili.

g)Agricultural courses
Kozi za kilimo zinazotolewa Sua ni mara tano kwa ubora kuliko za hapo udsm
Kwanza ni rahisi hata field zake kuliko zinazotolewa hapo udsm


Madogo acheni wenge hiyo udsm ni chuo cha kawaida sana ila kinabebwa na viongozi tu.
mkuu nadhani unatoa povu kwa sababu umeikosa UDSM,,,,kwa taarifa yako UDSM ndo chuo kinachoheshimika TZ ila usiogope hata vyuo vingine viko vizuri tu kikubwa piga kitabu
 
mkuu nadhani unatoa povu kwa sababu umeikosa UDSM,,,,kwa taarifa yako UDSM ndo chuo kinachoheshimika TZ ila usiogope hata vyuo vingine viko vizuri tu kikubwa piga kitabu
Tangu nijiunge JF sijawahi kukutana na great thinker kama wewe kuhusu vyuo. Umeongea vizuri sana!
 
Una chuki binafsi na Udsm na mara nyingi watu wa aina yako walifeli au hawakukidhi vigezo kujiunga Udsm!Watu kama nyie mpo wengi [emoji23][emoji23][emoji23] sana dah...!Pole sana! [HASHTAG]#Udsmgavemelife[/HASHTAG] #2011-2014!
 
Una chuki binafsi na Udsm na mara nyingi watu kama nyie walifeli au hawakukidhi vigezo (Cut off points) kujiunga Udsm!Watu kama nyie mpo wengi na mnaongezeka siku mpaka siku tushawazoea[emoji23][emoji23][emoji23] sana dah...!Pole sana! [HASHTAG]#Udsmgavemelife[/HASHTAG] #2011-2014!
na nitarudi for masters inshaAllah!!
 
Enyi wahitimu wa form 6 mnaobishana kwny uzi huu tambueni hakuna chuo bora ila kuna mwanafunzi bora, nakubaliana kuna chuo kinakua na mazingira mazur na facilities kwa ajil ya course flan lakin sio guarantee kutoa wahitim wazur, nawatakia masomo mema ila nawakumbusha mtaan kuna folen ya ajira kama ya miaka mitano hivi, someni mpate elimu msiwaze ajira sana. Ushaur wangu kazaneni kubeti na kucheza biko mtaani kugum
Mkuu sio wote hapa ni Form Six wengine sisi ni Baba zao tunajaribu kuchakata mawazo hapa.
 
nauliza tu,kama mimi ni mwanafunzi mwenye juhudi je nikichukua Electrical Engineering ya udsm au Electrical Engineering ya DIT ipi itaniandaa kuwa Engineer mzuri
 
nauliza tu,kama mimi ni mwanafunzi mwenye juhudi je nikichukua Electrical Engineering ya udsm au Electrical Engineering ya DIT ipi itaniandaa kuwa Engineer mzuri
Hata ukisoma SAUTI ukiamua utakuwa engineer mzuri tu. Achana na kuchagua vyuo....
 
Back
Top Bottom