First years na ulimbukeni wa kusoma udsm

First years na ulimbukeni wa kusoma udsm

Kwa kukusaidia

Ma lecturer wengi wanafanya part time kweny hivyo vyuo vngne. .mfano Ardhi

Sasa hapo shda ni wanafunzi au kitu gan?

Na kuhusu MD sasa hv haipo na iliwekwa Mara moja na ukitaka kuamin kuwa ni best wanafunzi wale wanahamishiwa Muhimbili
 
The truth in kwamba hata udsm INA. Part time lecturers wakutosha from ardhi hasa katika fani of Geomatics science go and ask wanaosoma watakuambia
 
Chuo hakikuwa na ubora wa kufundisha MD ndio maana wali ipin.wanafunzi wengi n bora inshu ni udhaifu wa chuo
Exactly udsm haikua na ubora wa kufundisha MD wao wakazane kufundisha historia.

Sometimes najiuliza, kama chuo hakikua na sifa ya kutoa program hiyo,
Na kuna watu walio-graduate;
Hivi hawa watu huko makazini wanafanya vitu gani.

Na wao wana majigambo kua ni bora kuliko wengine?
 
Nna wasi wasi kama wewe ni mwanachuo,

Kila chuo kina mtaala wake na hata baadhi ya course zikitokea kufanana kuna variation of content.

By the way intellectuals wana-argue kwa reference na evidence, twambie; chuo gani kiliiba mtihani wa course gani, ngazi gani na semester gani.


Hata hivyo mlishasema lecturers wengi ktk vyuo hivi wanatoka udsm,
So kama wana copy mitihani bas tutasema tu mtoto wa nyoka ni nyoka
Wanaweza wakawakomoa wakafundisha ujinga huko ili chuo chao kiendelee kutamba.

Jiulize wakufunzi ni walewale lakini kwanini UDSM ndio ionekane kwenye rankings?
 
Chuo hakikuwa na ubora wa kufundisha MD ndio maana wali ipin.wanafunzi wengi n bora inshu ni udhaifu wa chuo
unaongea usichokijua!!hata muhas walijua wasingeshauri vile wangeshuka sana sababu udsm inaplan ya mapinduzi ktk sekta ya afya kupitia kwa dean huyu ambae muhas na wizarani wanamuogopaaa
 
UDOM ni chuo cha serikali na serikali haiwez kuweka chuo kwa ajili ya kupokea watu wasio na vigezo

Ukaguzi wa TCU vyuoni ulihusisha sifa za wadahiliwa na walioonekana kudahili kinyume na taratibu wamefungiwa na hata program zilizokua na scarcity ya facilities zilifungiwa
UDOM ni chuo cha kata na itachukua miaka zaidi ya 50 kuanza kujiringanisha na the great UDSM
 
Hata hivyo UDSM inamaabara nzuri sana haya wanafunzi wa SUA wanaendaga kwa practical kama sikosei ...the same to hao was ARDHI wanaendaga sana ktk kitivo cha uhandisi.

Kuhusu sheria ya mzumbe kuna mwaka Fulani kuna mtu alishawai kukataliwa kujiunga na masters degree ya sheria akiwa na GPA ya juu sana ya mzumbe ilikuwa story sana hiyo miaka ile kwa
wewe ni wivu huo....kwenye sheria mzumbe wako vizuri sana kwenye sheria....
 
Wanaweza wakawakomoa wakafundisha ujinga huko ili chuo chao kiendelee kutamba.

Jiulize wakufunzi ni walewale lakini kwanini UDSM ndio ionekane kwenye rankings?
Duuh najizuia nsiandike chochote lkn nashindwa.

Hivi ushawahi kujiuliza,
Ktk university level, how do we measure academic excellence among different universities?

Je academic excellence ina % ngap ktk ranking?

Ni vigezo gani vinazingatiwa ktk ranking?

Undergraduate student ana mchango gani ktk university rank?

Yeyote anaweza akanijibu

NB:
Huna jibu haina haja ya kutukana
 
Utofauti ni nn acheni kudanganyana vijana. Utofauti unafanywa na mwanafunzi mwenyewe. Course content vyuo vingi huwa vnafanana. Utofauti unafanywa na mwanafunzi..

Alafu haya mambo kwamba chuo fulani kinafundisha practical chuo fulani kinafundisha theory sijui huwa mnayatoa wapi.. Labda mngekua mnatoa na mifano, labda useme Udsm hawafanyi practical hii, but D. I. T wanafanya practical hii,.
Watu wengi hawajui tofauti kati ya BSc in Mechanical Engineering and B.E in Mechanical Engineering.
Ni kweli DIT lazima kifundishe technical know how and not technical know why.
 
Hicho chuo cha kawaida sana .

Halafu si kila kozi inayotolewa hapo ni bora kuliko vyuo vingine.

Kuna baadhi ya kozi zinazotolewa hapo zinatolewa chini ya kiwango kulinganisha na vyuo vingine

Mfano

a)MD.
Huwezi kufananisha MD inayotolewa Muhas au Cuhas au KCMC na hiyo Ud.

Lakini utakuta lijitu limbukeni kisa lipo udsm basi linajiona linajuwaaaa kumbe mavi matupu.

b)Architecture

Huwezi kumfananisha architect aliye graduate ardhi na aliye graduate udsm

Huyu wa ardhi anavitu vingi sana unique amemuacha mbali sana huyo wa udsm

Anajua kuchora kuanzia kwa mikono mpaka kwa PC

Humdanganyi chochote kuhusu mambo ya archcard na autocard sijui GIS na takataka nyingine zote.


c)Building Economy /quantity survey

QS wa udsm kamwe hamfikii hata kidogo QS wa Aru

Hata course anazosoma Qs wa aru Qs wa ud hajawahi kuzisoma hata mara moja.

d)Law.
Law inayotolewa mzumbe ni mara 3 kwa ubora kuliko ile ya udsm.

e)Engineering courses
Engineering courses especially mechanical engineering inayotolewa D.I.T inamuandaa mwanafunzi kivitendo zaidi kuliko ya udsm inayomuandaa kinadharia

f)education
Kozi za education zinazotolewa udom ni bora zaidi kuliko za udsm
Ila ukiwa limbukeni huwezi kutambua hili.

g)Agricultural courses
Kozi za kilimo zinazotolewa Sua ni mara tano kwa ubora kuliko za hapo udsm
Kwanza ni rahisi hata field zake kuliko zinazotolewa hapo udsm


Madogo acheni wenge hiyo udsm ni chuo cha kawaida sana ila kinabebwa na viongozi tu.
Fact#
 
HIVI SERIKALINI WAAJIRIWA WA MD NA EDUCATION FROM VYUO VYOTE MUHAS UDOM UDSM na other university ni tofauti eeeet eeeenh o ndo ulim!ukeni vile na cheti beeeeee
 
sisi tulio graduate chuo bora duniani stanford university tunawachora tu vijana wa kibongo mnavyobishana kuhusu vyuo uchwara vya tanzania.

tupo wawili tu nchi hii,mimi kadoda11 na yule jamaa mtanzania shombe shombe wa kuitwa benjamin fernandes.
6761a4b5d35c1bc8e43bc0a1b398ecdc.jpg
yaani yule shombeshombe ni 1992(25yrs) shit happens ,kama ni kweli basi yule ni kama kuku wa kisasa
 
Yes hiyo ni kweli,
Huenda aliyeandika hivyo ametumia data za kipind cha nyuma,
Maana MD udsm na Udom imefutwa mwaka huu
Acha ujinga.alafu uko outdated MD udom inaendelea mpaka kesho ilizuiliwa mwakajana kwasababu ya kasoro ndogo.nendakitabu cha TCU .Udsm MD ndo imesimamishiwa udahili mwaka huu
 
Mtoa uzi unamejaa wivu na husda.. udsm n chuo bora tz huwez kulinganisha na vyuo njaa vingine uko ndio maana rais alsema uksoma UD ata chet chako hakigeuzwi geuzwi kama vyuo vngn wakat wa usail
ndugu taja level yako ya elimu.
Kwa hiyo kila asemalo President ni kweli kwa 100%? Nenda kwenye huo usaili kama hujaona wa_ UDSM anaachwa wanapita wa vyuo vingine.
- mleta huzi amejaribu kuwafumbua waliolala , ni kweli sio kila course ya UDSM ni bora kuliko zingine. Hata suala la course za educations vijana wengi wa UDSM wanavaa mavazi ya kihuni mfano modo zilizopitiliza kabisa. Ushahidi tunakuaga nao humu shuleni na tunawaona. Utabishia bure tu ili UDSM ionekane imara kila idara
 
sasa mkuu wa nchi kasema UDSM ndo kuna vipanga wengine ni vilaza wewe utapinga? watu wanatafuta sifa tu bila kujalie ubora wa elimu!
 
sasa mkuu wa nchi kasema UDSM ndo kuna vipanga wengine ni vilaza wewe utapinga? watu wanatafuta sifa tu bila kujalie ubora wa elimu!
Ishu sio vipanga , ishu ni elimu itolewayo sehemu husika. Haujaelewa vizuri, soma vizuri na kwa makini. Na wewe unaiwakilisha UDSM?
 
Ishu sio vipanga , ishu ni elimu itolewayo sehemu husika. Haujaelewa vizuri, soma vizuri na kwa makini. Na wewe unaiwakilisha UDSM?
Siwakilishi UDSM, mimi ni assistant lecturer JoKUCo chuo kilicho mbali kabisa na dar. wazazi ukuwaeleza wanaona unawapoteza ukimshauri mwanae aende vyuo mbali na UDSM hapendi!
 
Back
Top Bottom