First years na ulimbukeni wa kusoma udsm

First years na ulimbukeni wa kusoma udsm

UDOM ni chuo cha serikali na serikali haiwez kuweka chuo kwa ajili ya kupokea watu wasio na vigezo

Ukaguzi wa TCU vyuoni ulihusisha sifa za wadahiliwa na walioonekana kudahili kinyume na taratibu wamefungiwa na hata program zilizokua na scarcity ya facilities zilifungiwa
unaonekana bingwa wa kubisha mimi nimeanza udsm 2009 CONAS nina jamaa zangu walimaliza PCM na three zao za 13 na 14 wakadahiliwa coz za engineering kibao UDOM mmoja alipata mpaka tele lakn cha ajabu UDSM tele cut off one ya tano wenye two labda waliambulia mineral processing, hapo je hakuna utofauti?
 
Wote mnaobishana vyuo sijui mnalevel gani ya elimu mana mwanafunzi kuwa bora haiangalii elimu inayotolewa chuoni bali yeye mwenyewe tu kama boga atakuwa boga hakuna kingne
 
Wote mnaobishana vyuo sijui mnalevel gani ya elimu mana mwanafunzi kuwa bora haiangalii elimu inayotolewa chuoni bali yeye mwenyewe tu kama boga atakuwa boga hakuna kingne
Mkuu siku hizi watu wanapenda sana kubishan kuhusu vyuo......ukisoma chuo Fulani utaonekan bora kuliko mwingine
 
Mkuu siku hizi watu wanapenda sana kubishan kuhusu vyuo......ukisoma chuo Fulani utaonekan bora kuliko mwingine
Hivi kati ya London University na University os Cambridge kipi ni bora kuliko chenzake?
 
Bora kulimbuka first year ukamaliza kulimbuka mwaka huo kuliko kuendelea kulimbuka mpaka Ph.D Ikulu.
 
Hivi kati ya London University na University os Cambridge kipi ni bora kuliko chenzake?
Kuhusu vyuo vya nje sina info nazo sana ila hata M/mungu akijaalia niende nikachukue masters nje ya nchi....
 
Kuhusu vyuo vya nje sina info nazo sana ila hata M/mungu akijaalia niende nikachukue masters nje ya nchi....
Inshallah nakuombea. Mimi pia nilikuwa na ndoto hizo nikazitimiza. Namshukuru Allah.
 
Ubora wa chuo unategemeana na kile kitolewacho!!
Huwezi kulinganisha
Lawyer wa havard vs Udsm!
Engineer wa maji wa WDMI vs Udsm
Md wa Muhas vs Udom
Japo wote husoma kitu kimoja kwa jina!!
Lakini ubora hutofautiana!!!
Kwa hali halisi the best university hap Tanzania ni UDSM!!!
lakini hiyo haizuihi chuo Fulani kuwa the best kwa koz Fulani!!
Kwa mfano!
Degree ya maji ya Udsm ni differ ki ubora na hile inayopatikan WI
Lakin hiyo haifanyi udsm kutokuwa bora!!
Pia wanandugu mnatakiwa mkumbuke kuwa Elimu ni wewe na wala siyo majengo au rank!!
Wakati nipo O level nilibahatika kusoma special school
Huko kuna mwanafunzi alikuwa hapend kusoma coz haliamin kuwa yupo shule kubwa so atafaulu looh kilichomkuta Mungu ndiyo anajua!!
Concl:mleta maada hujajaribu kudadavua na kufanya watu wakuelewe!!
 
Hicho chuo cha kawaida sana .

Halafu si kila kozi inayotolewa hapo ni bora kuliko vyuo vingine.

Kuna baadhi ya kozi zinazotolewa hapo zinatolewa chini ya kiwango kulinganisha na vyuo vingine

Mfano

a)MD.
Huwezi kufananisha MD inayotolewa Muhas au Cuhas au KCMC na hiyo Ud.

Lakini utakuta lijitu limbukeni kisa lipo udsm basi linajiona linajuwaaaa kumbe mavi matupu.

b)Architecture

Huwezi kumfananisha architect aliye graduate ardhi na aliye graduate udsm

Huyu wa ardhi anavitu vingi sana unique amemuacha mbali sana huyo wa udsm

Anajua kuchora kuanzia kwa mikono mpaka kwa PC

Humdanganyi chochote kuhusu mambo ya archcard na autocard sijui GIS na takataka nyingine zote.


c)Building Economy /quantity survey

QS wa udsm kamwe hamfikii hata kidogo QS wa Aru

Hata course anazosoma Qs wa aru Qs wa ud hajawahi kuzisoma hata mara moja.

d)Law.
Law inayotolewa mzumbe ni mara 3 kwa ubora kuliko ile ya udsm.

e)Engineering courses
Engineering courses especially mechanical engineering inayotolewa D.I.T inamuandaa mwanafunzi kivitendo zaidi kuliko ya udsm inayomuandaa kinadharia

f)education
Kozi za education zinazotolewa udom ni bora zaidi kuliko za udsm
Ila ukiwa limbukeni huwezi kutambua hili.

g)Agricultural courses
Kozi za kilimo zinazotolewa Sua ni mara tano kwa ubora kuliko za hapo udsm
Kwanza ni rahisi hata field zake kuliko zinazotolewa hapo udsm


Madogo acheni wenge hiyo udsm ni chuo cha kawaida sana ila kinabebwa na viongozi tu.

Waliojiunga chuo kikuu enzi zile UDSM wakati Muhimbili ikiwa ni College ya UDSM wana-comment wapi?
 
Back
Top Bottom