UDSM limebaki jina tu! Ni kweli wana wahadhiri wengi na maprofesa wengi na majengo mengi na vifaa vingi (hivi vyote husaidia kuonekana kiko juu na wakaguzi), lakini morale iko chini sana!
Ok kakojoe ulale
UDSM limebaki jina tu! Ni kweli wana wahadhiri wengi na maprofesa wengi na majengo mengi na vifaa vingi (hivi vyote husaidia kuonekana kiko juu na wakaguzi), lakini morale iko chini sana!
UbarikiweKimsingi ndugu zangu, mm ninachokielewa na kwa research zangu,
UDOM is the best growing University in East and Central Africa (This was named ktk International Youth Leadership Conference-South Africa: nilishiriki, just last month)
Mpaka sasa UDOM imekamilika kwa 40% but still ipo top 5 za taifa.
Hata hivyo, nime-experience uwezo wa vijana wa UDOM na UDSM currently,
Wa UDOM wanaonekana kua competent and disciplined zaid ya UDSM hasa kwenye ualimu na Information technology;
Uwezo wa technology walionao vijana wa UDOM unaivutia JWTZ: miezi michache iliyopita kati ya maafisa 106 wa JWTZ walioapishwa na rais, 36 walitoka UDOM na wote ni kutoka college of informatics.
Saiv kwenye admission, UDOM ndiyo kimbilio la watoto wa wakulima na ni chuo kinachoongoza kudahili wanafunzi wengi zaid nchini.
Ukiangalia wengi wanaoichafua UDOM ni wanafunzi wa UDSM ambao primarily ni wivu tu kuona Tanzania kuna chuo kinaibuka na kuja kwa kasi kuliko wao.
Binafsi nilitamani mwanangu asome UDSM but baada ya kuona mwenendo wa vijana wengi wa UDSM sikutamani tena.
Unakuta kijana mtaani yeye ndo yeye, hakuna wa kuzungumza jambo zaidi yake,
Unamkuta kijana anakwambia yupo UDSM then kaweka earphones na suruali mlegezo anadunda barabarani but muulize ana action plan ipi ya maisha yake au anajihusisha na mambo yapi ya kuisaidia familia na jamii yake, hapo anapata kigugumizi.
Ningeomba tu vijana wa vyuoni tusiwe na majivuno yasiyo na msingi,
Elimu na ubora wetu utaonekana ktk mchango wetu kwa FAMILIA na JAMII yetu, sio majigambo
Na tufahamu kua (hasa undergraduate) mashirika na watafiti wanapo-rank vyuo wanazingatia vigezo kama, Number of search engines, popularity, number of professors n.k.
Vigezo hivi wakati mwingine hutegemea umri wa chuo na Mara nyingi, undergraduate wana mchango wa 0.001% ktk world university ranking.
Siwez kuandika yote but kwa ufupi tu,
Nimeshuhudia vijana wa UDOM wa mwaka wa Pili 2016/2017 wakisaidia watoto 17 mjini Dodoma kupata haki yao ya msingi ya kupata elimu. Nimeshuhudia mengi yakifanywa na wanachuo wa SUA, SAUT na chip vingine ambavyo wao,
Wakiona mtu anakosea humrekebisha na kumsaidia afanye vzr na sio kumcheka na kumuona hafai.
Vijana someni mlisaidie taifa,
Ni aibu kwa msomi kumuona msomi mwenzie hafai.
Tz elimu yetu inadolola,
Saiv Africa hata 30 bora hatumo then vijana maneno meengii.
NAWAPENDA WANACHUO WOTE: NATAMANI KWA WINGI WENU TAIFA LIPATE TIJA NA MAENDELEO KUPITIA NINYI.
Mkuu ulisha confirm?kama ulisha confirm naomba uscreen short profile yako ili nione inavyo onekana kwa sasa,mi pia nimepata apo,naomba msaada kwa ilo,Mtoa mada akiona hivi bas anachukiaaaa
[HASHTAG]#TuacheTwendeUDSM[/HASHTAG]View attachment 603760
Povu nalo hili!!!Kimsingi ndugu zangu, mm ninachokielewa na kwa research zangu,
UDOM is the best growing University in East and Central Africa (This was named ktk International Youth Leadership Conference-South Africa: nilishiriki, just last month)
Mpaka sasa UDOM imekamilika kwa 40% but still ipo top 5 za taifa.
Hata hivyo, nime-experience uwezo wa vijana wa UDOM na UDSM currently,
Wa UDOM wanaonekana kua competent and disciplined zaid ya UDSM hasa kwenye ualimu na Information technology;
Uwezo wa technology walionao vijana wa UDOM unaivutia JWTZ: miezi michache iliyopita kati ya maafisa 106 wa JWTZ walioapishwa na rais, 36 walitoka UDOM na wote ni kutoka college of informatics.
Saiv kwenye admission, UDOM ndiyo kimbilio la watoto wa wakulima na ni chuo kinachoongoza kudahili wanafunzi wengi zaid nchini.
Ukiangalia wengi wanaoichafua UDOM ni wanafunzi wa UDSM ambao primarily ni wivu tu kuona Tanzania kuna chuo kinaibuka na kuja kwa kasi kuliko wao.
Binafsi nilitamani mwanangu asome UDSM but baada ya kuona mwenendo wa vijana wengi wa UDSM sikutamani tena.
Unakuta kijana mtaani yeye ndo yeye, hakuna wa kuzungumza jambo zaidi yake,
Unamkuta kijana anakwambia yupo UDSM then kaweka earphones na suruali mlegezo anadunda barabarani but muulize ana action plan ipi ya maisha yake au anajihusisha na mambo yapi ya kuisaidia familia na jamii yake, hapo anapata kigugumizi.
Ningeomba tu vijana wa vyuoni tusiwe na majivuno yasiyo na msingi,
Elimu na ubora wetu utaonekana ktk mchango wetu kwa FAMILIA na JAMII yetu, sio majigambo
Na tufahamu kua (hasa undergraduate) mashirika na watafiti wanapo-rank vyuo wanazingatia vigezo kama, Number of search engines, popularity, number of professors n.k.
Vigezo hivi wakati mwingine hutegemea umri wa chuo na Mara nyingi, undergraduate wana mchango wa 0.001% ktk world university ranking.
Siwez kuandika yote but kwa ufupi tu,
Nimeshuhudia vijana wa UDOM wa mwaka wa Pili 2016/2017 wakisaidia watoto 17 mjini Dodoma kupata haki yao ya msingi ya kupata elimu. Nimeshuhudia mengi yakifanywa na wanachuo wa SUA, SAUT na chip vingine ambavyo wao,
Wakiona mtu anakosea humrekebisha na kumsaidia afanye vzr na sio kumcheka na kumuona hafai.
Vijana someni mlisaidie taifa,
Ni aibu kwa msomi kumuona msomi mwenzie hafai.
Tz elimu yetu inadolola,
Saiv Africa hata 30 bora hatumo then vijana maneno meengii.
NAWAPENDA WANACHUO WOTE: NATAMANI KWA WINGI WENU TAIFA LIPATE TIJA NA MAENDELEO KUPITIA NINYI.
Wadau msaada kidogo hapa, nimechaguliwa udsm na udom,udsm kwenye profile yangu walinipongeza na wakatoa remarks kuwa ,pending TCU approval, nikatulia,udom wakatoa majina nikawemo pia,usiku wa Jana wakanitumia SMS ya hongera na kunitaka nithibitishe kama Nita enda udom,nikathibitisha,kwa maana niende udom, sasa narudi kwa file la udsm nakuta ile remarks haipo ,sasa maana yake ni nin?,
Then akishajisifia inakuwaje?hahahahahaa watu kama wewe mna shida si kidogo aisee sasa asijione kusoma chuo kikuu kikongwe na bora katka ranks za vyuo vikuu kuliko hivulyo ulivyovitaja?!! umepanic umekosa ama ni nn?? nimesoma SUA but siwezi nikaanzakuponda chuo eti sijui MD ya kcmc na ya ud au archetecture ya ardhi na ud na huwezi ukajua kinagaubaga kila kitu cha coz ya chuo ambacho hujasoma TUACHE KUICHUKIA UDSM BILA SABABU ZA MSINGI
ni fahari yake sema nyie ndo baada ya yy kujisifia povu linawatoka kama hiviThen akishajisifia inakuwaje?
Kuna baadhi ya mambo yanatofautisha "kitu bora" na "bora kitu". Umewahi jiuliza kwanini kila mtu anadiss udsm na sio udsm kudiss wengine?Hicho chuo cha kawaida sana .
Halafu si kila kozi inayotolewa hapo ni bora kuliko vyuo vingine.
Kuna baadhi ya kozi zinazotolewa hapo zinatolewa chini ya kiwango kulinganisha na vyuo vingine
Mfano
a)MD.
Huwezi kufananisha MD inayotolewa Muhas au Cuhas au KCMC na hiyo Ud.
Lakini utakuta lijitu limbukeni kisa lipo udsm basi linajiona linajuwaaaa kumbe mavi matupu.
b)Architecture
Huwezi kumfananisha architect aliye graduate ardhi na aliye graduate udsm
Huyu wa ardhi anavitu vingi sana unique amemuacha mbali sana huyo wa udsm
Anajua kuchora kuanzia kwa mikono mpaka kwa PC
Humdanganyi chochote kuhusu mambo ya archcard na autocard sijui GIS na takataka nyingine zote.
c)Building Economy /quantity survey
QS wa udsm kamwe hamfikii hata kidogo QS wa Aru
Hata course anazosoma Qs wa aru Qs wa ud hajawahi kuzisoma hata mara moja.
d)Law.
Law inayotolewa mzumbe ni mara 3 kwa ubora kuliko ile ya udsm.
e)Engineering courses
Engineering courses especially mechanical engineering inayotolewa D.I.T inamuandaa mwanafunzi kivitendo zaidi kuliko ya udsm inayomuandaa kinadharia
f)education
Kozi za education zinazotolewa udom ni bora zaidi kuliko za udsm
Ila ukiwa limbukeni huwezi kutambua hili.
g)Agricultural courses
Kozi za kilimo zinazotolewa Sua ni mara tano kwa ubora kuliko za hapo udsm
Kwanza ni rahisi hata field zake kuliko zinazotolewa hapo udsm
Madogo acheni wenge hiyo udsm ni chuo cha kawaida sana ila kinabebwa na viongozi tu.
Kumbe hata huelewi unaongea nini. Sasa aliyekwambia UDSM kuna MD ni nani? Ndio maana unaambiwa una chuki zako.Dunia nzima vyuo vizuri vya udaktari wa tiba viko attached na hospitali. Kwa sababu udaktari ea tiba ni fani unayosoma nadharia, halafu unaenda kuangalia na kufanya vitu practical. Utasoma kuhusu miili ya watu halafu utatakiwa kuiangalia. Utasoma kuhusu wagonjwa wa magonjwa fulani halafu utatakiwa kuwaangalia.
Sasa UDSM kuna hospitali gani pale?
Labda nimeondoka Tanzania siku nyingi, siku hizi wamejenga hospitali ya viwango vya kufundishia udaktari pale?
Mtu anayeelewa udaktari atajua kwamba, ceteris paribus, Muhimbili au hata Bugando patafundisha udaktari vizuri zaidi ya UDSM. For the simple reason that UDSM doesn't have a hospital, to my knowledge.
Hakuna chuo bora. Kuna chuo bora kwa kitu fulani.
Kuna watu wa technology wanapata nafasi kwenda Harvard wanakataa. Kwa sababu katika technology Harvard si chuo mahiri. Katika technology unaongea MIT, Stanford na vyuo kama hivyo ambavyo havipo hata kwenye Ivy League.
Harvard kiko stronger kwenye business, governanve na law.
Sasa kama Harvard kinaonekana kwenye mambo mengine kimepwaya, kuna vyuo havina status ya Ivy League vinakishinda, utasemaje UDSM ni chuo bora zaidi bila hata kuangalia bira katika nyanya gani na kwa nini?
Mimi kama naajiri MD, graduate wa Muhimbili ana advantage over wa UDSM right out the gate.
Kwani aliyesema UDSM kuna MD ni nani?Kumbe hata huelewi unaongea nini. Sasa aliyekwambia UDSM kuna MD ni nani? Ndio maana unaambiwa una chuki zako.
Haya kama huna chuki twambie wewe sasa udsm ni bora kwenye nini maana hakijawahi ondolewa no. 1 in Tz katika Rankings
Eti eeeh...Mtoa uzi unamejaa wivu na husda.. udsm n chuo bora tz huwez kulinganisha na vyuo njaa vingine uko ndio maana rais alsema uksoma UD ata chet chako hakigeuzwi geuzwi kama vyuo vngn wakat wa usail
Fahari ya mtu hutokana na yeye kutimiza malengo yake ya maisha either short term or long term goals.ni fahari yake sema nyie ndo baada ya yy kujisifia povu linawatoka kama hivi