Sijui kwanini UDSM inawatesa kiasi hili?Mtoa uzi unamejaa wivu na husda.. udsm n chuo bora tz huwez kulinganisha na vyuo njaa vingine uko ndio maana rais alsema uksoma UD ata chet chako hakigeuzwi geuzwi kama vyuo vngn wakat wa usail
Ukumbuke D.I.T wanatoa B.Eng na UDSM wanatoa BSc. ni vitu viwili tofauti msichanganye hapo.Utofauti ni nn acheni kudanganyana vijana. Utofauti unafanywa na mwanafunzi mwenyewe. Course content vyuo vingi huwa vnafanana. Utofauti unafanywa na mwanafunzi..
Alafu haya mambo kwamba chuo fulani kinafundisha practical chuo fulani kinafundisha theory sijui huwa mnayatoa wapi.. Labda mngekua mnatoa na mifano, labda useme Udsm hawafanyi practical hii, but D. I. T wanafanya practical hii,.
Hakuna anayeteseka, ila watu wanaambiwa ukweli waache ulimbukeni coz wanakosa vyuo kwa kung'ang'ania UD Wakati program wanazozitaka hata vyuo vingine wanatoa kwa ubora, tena zaidi hata ya UD.Sijui kwanini UDSM inawatesa kiasi hili?
Sasa kwa nini mnatumia nguvu nyiiingi kitu kama kizuri kitajiuza tu bila shaka,ila punguzeni dhihaka kwa udsm kwa kufananisha na vyuo vya kujinga jinga muwe na adabu kidogoHakuna anayeteseka, ila watu wanaambiwa ukweli waache ulimbukeni coz wanakosa vyuo kwa kung'ang'ania UD Wakati program wanazozitaka hata vyuo vingine wanatoa kwa ubora, tena zaidi hata ya UD.
Duuh! ina maana hujaelewa kabisa nlichoandika hapo!!!Sasa kwa nini mnatumia nguvu nyiiingi kitu kama kizuri kitajiuza tu bila shaka,ila punguzeni dhihaka kwa udsm kwa kufananisha na vyuo vya kujinga jinga muwe na adabu kidogo
Daaahhh we jamaa umenigusa kbs, mimi nimesoma SAUT bachelor, Masters nasoma Open saiv, japo sina inferiority complex..lkn nafkir PhD nikichukulia University of Nairobi itapendeza zaidi au mnasemaje wadauUnasumbuliwa na inferiority complex mkuu jitahidi Masters au phd yako ukachukulie UDSM hilo tatizo lako litakwisha lasivyo litazidi kukutafuna
UDOM ni chuo kikuu cha kata!!!!nenda udom
UDOM ni chuo kikuu cha kata!!!!
√√√Kusoma chuo sio kazi, ila kubadili elimu yako kuwa fedha ndy kisanga