amos eglan
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 310
- 464
Tuanze na ww umesoma wapi kwanza ? Unaeza kuta umesoma sociology theofilo kisanji
nenda udomWadau msaada kidogo hapa, nimechaguliwa udsm na udom,udsm kwenye profile yangu walinipongeza na wakatoa remarks kuwa ,pending TCU approval, nikatulia,udom wakatoa majina nikawemo pia,usiku wa Jana wakanitumia SMS ya hongera na kunitaka nithibitishe kama Nita enda udom,nikathibitisha,kwa maana niende udom, sasa narudi kwa file la udsm nakuta ile remarks haipo ,sasa maana yake ni nin?,
Vp mkuu ushapata mwanafunz wa kukubeba[emoji23]Hicho chuo cha kawaida sana .
Halafu si kila kozi inayotolewa hapo ni bora kuliko vyuo vingine.
Kuna baadhi ya kozi zinazotolewa hapo zinatolewa chini ya kiwango kulinganisha na vyuo vingine
Mfano
a)MD.
Huwezi kufananisha MD inayotolewa Muhas au Cuhas au KCMC na hiyo Ud.
Lakini utakuta lijitu limbukeni kisa lipo udsm basi linajiona linajuwaaaa kumbe mavi matupu.
b)Architecture
Huwezi kumfananisha architect aliye graduate ardhi na aliye graduate udsm
Huyu wa ardhi anavitu vingi sana unique amemuacha mbali sana huyo wa udsm
Anajua kuchora kuanzia kwa mikono mpaka kwa PC
Humdanganyi chochote kuhusu mambo ya archcard na autocard sijui GIS na takataka nyingine zote.
c)Building Economy /quantity survey
QS wa udsm kamwe hamfikii hata kidogo QS wa Aru
Hata course anazosoma Qs wa aru Qs wa ud hajawahi kuzisoma hata mara moja.
d)Law.
Law inayotolewa mzumbe ni mara 3 kwa ubora kuliko ile ya udsm.
e)Engineering courses
Engineering courses especially mechanical engineering inayotolewa D.I.T inamuandaa mwanafunzi kivitendo zaidi kuliko ya udsm inayomuandaa kinadharia
f)education
Kozi za education zinazotolewa udom ni bora zaidi kuliko za udsm
Ila ukiwa limbukeni huwezi kutambua hili.
g)Agricultural courses
Kozi za kilimo zinazotolewa Sua ni mara tano kwa ubora kuliko za hapo udsm
Kwanza ni rahisi hata field zake kuliko zinazotolewa hapo udsm
Madogo acheni wenge hiyo udsm ni chuo cha kawaida sana ila kinabebwa na viongozi tu.
Kumbe wewe wa Ardhi. Ardhi ulisoma koz ganHicho chuo cha kawaida sana .

mzee mpaka mishipa ya shingo imekusimama bila shaka ulitemwa na ud.Hicho chuo cha kawaida sana .

Dunia nzima vyuo vizuri vya udaktari wa tiba viko attached na hospitali. Kwa sababu udaktari wa tiba ni fani unayosoma nadharia, halafu unaenda kuangalia na kufanya vitu practical. Utasoma kuhusu miili ya watu halafu utatakiwa kuiangalia. Utasoma kuhusu wagonjwa wa magonjwa fulani halafu utatakiwa kuwaangalia.Kwa kukusaidia
Ma lecturer wengi wanafanya part time kweny hivyo vyuo vngne. .mfano Ardhi
Sasa hapo shda ni wanafunzi au kitu gan?
Na kuhusu MD sasa hv haipo na iliwekwa Mara moja na ukitaka kuamin kuwa ni best wanafunzi wale wanahamishiwa Muhimbili
Tuliza Mshono Wewe.Hicho chuo cha kawaida sana .
Halafu si kila kozi inayotolewa hapo ni bora kuliko vyuo vingine.
Kuna baadhi ya kozi zinazotolewa hapo zinatolewa chini ya kiwango kulinganisha na vyuo vingine
Mfano
a)MD.
Huwezi kufananisha MD inayotolewa Muhas au Cuhas au KCMC na hiyo Ud.
Lakini utakuta lijitu limbukeni kisa lipo udsm basi linajiona linajuwaaaa kumbe mavi matupu.
b)Architecture
Huwezi kumfananisha architect aliye graduate ardhi na aliye graduate udsm
Huyu wa ardhi anavitu vingi sana unique amemuacha mbali sana huyo wa udsm
Anajua kuchora kuanzia kwa mikono mpaka kwa PC
Humdanganyi chochote kuhusu mambo ya archcard na autocard sijui GIS na takataka nyingine zote.
c)Building Economy /quantity survey
QS wa udsm kamwe hamfikii hata kidogo QS wa Aru
Hata course anazosoma Qs wa aru Qs wa ud hajawahi kuzisoma hata mara moja.
d)Law.
Law inayotolewa mzumbe ni mara 3 kwa ubora kuliko ile ya udsm.
e)Engineering courses
Engineering courses especially mechanical engineering inayotolewa D.I.T inamuandaa mwanafunzi kivitendo zaidi kuliko ya udsm inayomuandaa kinadharia
f)education
Kozi za education zinazotolewa udom ni bora zaidi kuliko za udsm
Ila ukiwa limbukeni huwezi kutambua hili.
g)Agricultural courses
Kozi za kilimo zinazotolewa Sua ni mara tano kwa ubora kuliko za hapo udsm
Kwanza ni rahisi hata field zake kuliko zinazotolewa hapo udsm
Madogo acheni wenge hiyo udsm ni chuo cha kawaida sana ila kinabebwa na viongozi tu.
Mtiga anafundisha Physics Loyola pia anafundisha physics part time feza boys je Loyola ni bora kuliko feza?Kwa kukusaidia
Ma lecturer wengi wanafanya part time kweny hivyo vyuo vngne. .mfano Ardhi
Sasa hapo shda ni wanafunzi au kitu gan?
Na kuhusu MD sasa hv haipo na iliwekwa Mara moja na ukitaka kuamin kuwa ni best wanafunzi wale wanahamishiwa Muhimbili
Sad truth hiyo sio chukiumezidisha mpaka unaonekana ni chuki kwa udsm alumni
tatizo lako ni utoto na ulimbukeniTuliza Mshono Wewe.
Law Ya Mzumbe Ni Mara 3
Ya Udsm?
Bora Nisikutusi Ila Una Schizophrenia Wewe.
Pole Kwa Kukosa State University. [emoji28]
Ha ha ha ha!tatizo lako ni utoto na ulimbukeni
Ngoja ukifika chuo utaelewa nazungumzia nini maana hapo ulipo u form six bado hujakutoka.
Nakusihi kuwa makini, ukiconfirm universities zaidi ya 1, inakula kwako!Wadau msaada kidogo hapa, nimechaguliwa udsm na udom,udsm kwenye profile yangu walinipongeza na wakatoa remarks kuwa ,pending TCU approval, nikatulia,udom wakatoa majina nikawemo pia,usiku wa Jana wakanitumia SMS ya hongera na kunitaka nithibitishe kama Nita enda udom,nikathibitisha,kwa maana niende udom, sasa narudi kwa file la udsm nakuta ile remarks haipo ,sasa maana yake ni nin?,
acha unafki kjana maneno ya kuambiwa xo mazur. tnataka fact apa eg nimesoma tere ud zen nmesoma DIT nmekuta iv .Mkuu nakubalia na ww telecommunications ya D.I.T na udsm tofauti
Hii ilitokana na over ambitious ya VC anataka kukipaisha chuo ktk kipindi kifupi cha umaliziaji wake u VC hapo UDSM . lakini hakukuwa na haja ya kuazisha program za utabibu mapema namna hii. Hospital ya Chuo haiwezi kukidhi mahitaji ya hizo kozi. Labda alitegemea kuna hospital kubwa inajengwa pale mbele ya hostel za maguful kuwa ingetumika lakini pia huwezi kujiaminisha kwa vitu ambavyo ni uncertain.Dunia nzima vyuo vizuri vya udaktari wa tiba viko attached na hospitali. Kwa sababu udaktari ea tiba ni fani unayosoma nadharia, halafu unaenda kuangalia na kufanya vitu practical. Utasoma kuhusu miili ya watu halafu utatakiwa kuiangalia. Utasoma kuhusu wagonjwa wa magonjwa fulani halafu utatakiwa kuwaangalia.
Sasa UDSM kuna hospitali gani pale?
Labda nimeondoka Tanzania siku nyingi, siku hizi wamejenga hospitali ya viwango vya kufundishia udaktari pale?
Mtu anayeelewa udaktari atajua kwamba, ceteris paribus, Muhimbili au hata Bugando patafundisha udaktari vizuri zaidi ya UDSM. For the simple reason that UDSM doesn't have a hospital, to my knowledge.
Hakuna chuo bora. Kuna chuo bora kwa kitu fulani.
Kuna watu wa technology wanapata nafasi kwenda Harvard wanakataa. Kwa sababu katika technology Harvard si chuo mahiri. Katika technology unaongea MIT, Stanford na vyuo kama hivyo ambavyo havipo hata kwenye Ivy League.
Harvard kiko stronger kwenye business, governanve na law.
Sasa kama Harvard kinaonekana kwenye mambo mengine kimepwaya, kuna vyuo havina status ya Ivy League vinakishinda, utasemaje UDSM ni chuo bora zaidi bila hata kuangalia bira katika nyanya gani na kwa nini?
Mimi kama naajiri MD, graduate wa Muhimbili ana advantage over wa UDSM right out the gate.
VC kama huyo kupitisha jambo kama hilo ana reflect chuo kisivyo na review process na due diligence checks.Hii ilitokana na over ambitious ya VC anataka kukipaisha chuo ktk kipindi kifupi cha umaliziaji wake u VC hapo UDSM . lakini hakukuwa na haja ya kuazisha program za utabibu mapema namna hii. Hospital ya Chuo haiwezi kukidhi mahitaji ya hizo kozi. Labda alitegemea kuna hospital kubwa inajengwa pale mbele ya hostel za maguful kuwa ingetumika lakini pia huwezi kujiaminisha kwa vitu ambavyo ni uncertain.