First years na ulimbukeni wa kusoma udsm

First years na ulimbukeni wa kusoma udsm

Vijana wa siku hizi bana mna taabu kweli. Ebu nendeni mkasome mahali mlipochaguliwa, tena mpambane kweli kweli.
Sasa hili povu lote la nn?
Nakumbuka kipindi tunasoma sisi Ardhi, Muhimbili vyote vilikuwa part ya UDSM. Watu wa Ardhi walikuja Coet kusoma baadhi ya kozi na kuchagia vifaa pia. Bachi ya kwanza kutoka Ardhi waliwahi kugomea vyeti vyao kuandikwa Ardhi University, Walitaka viwe na nembo ya UDSM.Sikumbuki sakata hilo liliishaje kipindi hicho. Waalimu wengi wa vyuo hivyo wanaofundisha wenye PHD au ma Prof wengi wametoka UDSM. Nina jamaa zangu wa Mining na Geology wanaofundisha UDOM 80% wote ni product za UDSM.
Haya upande wa Law school/School of Law wanaofundisha hapo unajua wametoka wapi?
Ubora wa chuo unaanza na wewe. Ukibweteka na jina la chuo itakula kwako.
Maandazi wewe.
Mpaka mm namaliza CoET mwaka juzi bado wanafunzi wa ardhi walikua wanakuja kufanya workshop. Alafu huyu pimbi anakuja huku kumwaga povu
 
Points a, b and g nakubali 100%. Sina uhakika na maelezo yaliyobaki.
 
Mpaka mm namaliza CoET mwaka juzi bado wanafunzi wa ardhi walikua wanakuja kufanya workshop. Alafu huyu pimbi anakuja huku kumwaga povu
Hahaaa.
UDSM mi mzazi wa vyuo vingi nchini.
Na pia waalimu wengi wa vyuo anavyovitaja kuwa ni bora wamepitia hapo. Ni vizuri angewatahadharisha kuhusu changamoto wanazoenda kukutana navyo hawa vijana kwenye vyuo wanavyoenda kujiunga navyo na sio dharau ya hivi.
 
Hahaaa.
UDSM mi mzazi wa vyuo vingi nchini.
Na pia waalimu wengi wa vyuo anavyovitaja kuwa ni bora wamepitia hapo. Ni vizuri angewatahadharisha kuhusu changamoto wanazoenda kukutana navyo hawa vijana kwenye vyuo wanavyoenda kujiunga navyo na sio dharau ya hivi.
Hawa vijana kinachowasumbua ni kujishtukia tu... Kwanza huku makazini watu wala hatuulizani umesoma chuo gani.. Mm sjawah kumuona mtu anayesoma UDSM et anajisifu kwa watu wengine, lakini hawa watu kila sku wanaanzisha mada kuiponda Udsm..
 
Ina maana Agriculture, Law,Architecture, Engineering, MD ni mpya?

Agriculture, MD, Architecture,QS ndo kwanza wapo mwaka wa kwanza na wa pili wakifungua ndo wawepo mwaka wa tatu
 
Mpaka mm namaliza CoET mwaka juzi bado wanafunzi wa ardhi walikua wanakuja kufanya workshop. Alafu huyu pimbi anakuja huku kumwaga povu

Hata mleta mada naye anafanya workshop ud[emoji28][emoji28]
 
Mpaka mm namaliza CoET mwaka juzi bado wanafunzi wa ardhi walikua wanakuja kufanya workshop. Alafu huyu pimbi anakuja huku kumwaga povu
Co workshop tu...hata wanafunz wa B.E na E.E( environment eng) wanaosoma ardhi ..kuna baadhi ya koz na presentation wanafanyiaga UD.!!!
Sasa huyu boya cjui kwann anakiponda ud..
 
Katika kozi zote mtoa mada ulizotaja hapo juu nakuunga mkono kozi moja tu ya MD na kwa sababu Uddm hawana hospitali kubwa ukilinganisha na hao ulio wataja kwani MD ni vitendo zaidi, zingine sivyo yamkini ni fitina tu still wako vema sema wasikurupuke na kujua ndiyo chuo pekee kizuri hapo ndiyo tunakosea watu wa first year, ila kuna majina ya kozi binafsi sijawahi kuyapenda mfano Bcom- ikiwa na maana ya accountancy, marketing, procurement na finance pia cheti kinaandikwa Bcom wote hao nadhani wange split tu iwe B of accountancy, procurement etc
 
Tuambie na program gani inayotolewa UDSM ina ubora kuliko vyuo vingine, au kama hazipo pia tujulishe
Acheni kujidanganya UDSM ni state University na ni chuo bora Africa Mashariki na kati. Kozi kama za Law Engeneering hakuna chuo kingine kinatoa kozi bora kama hizo
 
Bro/sister hiyo kozi unayoenda kuisomea ardhi elewa mipango yote ya kuanzishwa na kufundishwa ni jopo la watu wa UD..hata administrators wa ardhi wanavaa nametag ya UD..NI kama kwenu kuna nyumba kubwa mzee akasema nyumba ya chini ijitegemee sasa ivi ndo ilivyo ardhi..
Upo sahihi kabisa Ardhi university formerly ilikuwa ni UCLAS under the great UDSM. Hata hyo Muhimbili na SUA zote zilikuwa under UDSM na mpaka Leo zinaitegemea UDSM kwa ajili ya utaalamu na maendeleo yao
 
Wadau msaada kidogo hapa, nimechaguliwa udsm na udom,udsm kwenye profile yangu walinipongeza na wakatoa remarks kuwa ,pending TCU approval, nikatulia,udom wakatoa majina nikawemo pia,usiku wa Jana wakanitumia SMS ya hongera na kunitaka nithibitishe kama Nita enda udom,nikathibitisha,kwa maana niende udom, sasa narudi kwa file la udsm nakuta ile remarks haipo ,sasa maana yake ni nin?,
maana yake ndo ushaenda UDOM kama ukitaka kurud UDSM mpaka uje ufate taratibu za kuhama chuo baadaye
 
Pia Mzumbe wapo vizuri taaluma za utawala na management kuliko UDSM.

Ila kwa sheria UD wapo vzur tu sawa na Mzumbe
 
Hapo kwenye course za engineering ume nena, ni hovyo sana, hawajui, wapo chini kwa level kubwa sana,,
 
Hapo kwenye course za engineering ume nena, ni hovyo sana, hawajui, wapo chini kwa level kubwa sana,,
Unapata ujasiri gani kuongea uongo, college of engineering and technology CoET imeanzishwa mwaka 1975..ndo college ya kwanza ya engineering kwa Tz, hata hao walimu wako waliokufundisha wewe ni zao la CoET. Mkuu wa chuo wa D. I. T prof. NDOMBA ni zao la UDSM kasoma kuanzia degree ya kwanza mpaka PhD hapa CoET. Makampuni ya kizalendo makubwa ya kihandisi. Mengi ni graduate wa CoET.. Kampuni niliyopo mim, consulting firm ni kampuni ya wazawa ambayo tumeshiriki kufanya designing structure kubwa tu hapa Tanzania na nje ya mipaka ya Tz..
LAPF tower ina zaidi ya ghorofa 30.na engineer aliyedesign ile structure engineer, pamoja na project managers wote ni zao la CoET..
Huu ujasiri wa kuidharau CoET sijui mnatoa wapi nyinyi watoto..
Huyo chairman wa E. R. B. PROF LEMA ni mwalimu wa hapo CoET.. Alafu wew mpuuzi mmoja unakuja kuongea et elimu ya CoET haina ktu, no sense kabisa..
 
Hapo kwenye course za engineering ume nena, ni hovyo sana, hawajui, wapo chini kwa level kubwa sana,,
Wewe utakua ulikosa nafasi UD kama sio ulidisco, hakuna chuo hapa Tz unachoweza linganisha Engineering inayotolewa pale CoET.
 
Hiyo udom unayosema ni bora kwenye education kuliko udsm mbona hao malecturer wa udom wengi wao wamesoma udsm? Isitoshe udom huwa na desturi ya kuiba mitihani ya udsm na kwenda kubadilisha title na tarehe.....je unalijua hilo?
Usimtukane baba yako kuwa hafai wakati kakuachia minazi ya urithi.
 
Back
Top Bottom