First years na ulimbukeni wa kusoma udsm

Umejiunga JF July 2017 baada ya kuhitimu F6....ume apply UD ukakosa,umekubaliwa Ardhi kitaa kuna njemba amekuambia huo upuuzi ili kukutuliza.....[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umejiunga JF July 2017 baada ya kuhitimu F6....ume apply UD ukakosa,umekubaliwa Ardhi kitaa kuna njemba amekuambia huo upuuzi ili kukutuliza.....[emoji23][emoji23][emoji23]
Pumbavu kabisa kumbe ni katoto cha form six, kanaingia first year kanakuja kutukana humu, nimepoteza nguvu zangu bure kabisa kuchangia hii mada...
Na haka jinsi kanavoonekana kataliwa kichwa mwaka wa kwanza tu,
 
huuu ubishano hutakuja isha hiii nchi
Mkuu tatzo ni hawa watoto wa form six, kama huyu mtoa mada hata chuo hajaanza sasa huko mtaani kwao amekutana na mpuuzi mwenzake kamlingishia kuwa kapata UDSM basi anakuja humu kutukana UDSM wote
 
Kuna baadhi ya mambo yanatofautisha "kitu bora" na "bora kitu". Umewahi jiuliza kwanini kila mtu anadiss udsm na sio udsm kudiss wengine?

Nani anahakiki ubora wa chuo na elimu itolewayo? Ni maneno kama hayo yako (ya chuki) au kuna taasisi zinazotumia vigezo husika kufanya hivyo?

Swala la watu kudiss kitu fulani baada ya kukikosa lipo kila mahala

Hata ukienda USA waliokosa Havard wanaidiss, kadhalika waliokosa Makerere Uganda etc. Simply leta university rankings za taasisi yoyote unayoamini tuthibitishe hayo usemayo.

Sio kila mtu lazima aende udsm hivyo wewe ridhika na huko uliko.

Mtu unamaliza semister nzima unafundishwa na ma TAs pekee sasa unatofauti gani na mwanafunzi wa Form 5 Benjamin Mkapa. Eti mtu anafanya Masters anasimamiwa na wa Masters mwenzake [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sometimes tuweni na hoja,

Vyuo vyote nchini ni bora kwa maana tumeshuhudia uhakiki ukifanyika vyuo vikuu na vyuo vyote visivyo na ubora vimefungiwa.

Kuhusu watu kudiss UDSM hakuna ukweli hapo: Tumeshuhudia matukio mengi ya wanafunzi udsm wakichafua vyuo vingine hasa UDOM na hii imevifanya vyuo hivi kua kama Simba na Yanga.

Ukweli ni kwamba, udsm inaheshimika kwasababu ni chuo kilichozalisha wataalamu wengi sana nchini lkn hili ni swala la muda tu, vyuo vingine bado vichanga but vinakuja vizuri sana.

Kuhusu wivu au chuki sitasemea maana yawezekana pakawa na ukweli au hamna,
Inategemeana ni kitu gani na kwa namna sababu na wakati gani kinajadiliwa.

Ila tu tufaham kua si kila mwanafunzi ana ndoto za kusoma udsm.

But binafsi hua sishangai kwa udsm kuhisi wao ni bora kuliko wanachuo wengine maana hili linatokana hata na namna ya nchi yetu,
Mtu aliyepo ndiye anahisi kua yuko Tanzania na si kama yule aliyeko Simiyu au Njombe.
Unakuta mtu anauza nyanya Dar lkn anamdharau mfanyabiashara mkubwa anayeishi Katavi.
 
Hiyo udom unayosema ni bora kwenye education kuliko udsm mbona hao malecturer wa udom wengi wao wamesoma udsm? Isitoshe udom huwa na desturi ya kuiba mitihani ya udsm na kwenda kubadilisha title na tarehe.....je unalijua hilo?
Usimtukane baba yako kuwa hafai wakati kakuachia minazi ya urithi.
Duuuh [emoji15] [emoji15] [emoji15] UDOM tunakuchora TUUU... Ina maana kwamba hadi mitihani tunaiba ya udsm... Wewe kiazi kweli
Vip kwa civil engineering mm nmechaguliwa must na udsm je unanishaur niend wap
 
Hiyo udom unayosema ni bora kwenye education kuliko udsm mbona hao malecturer wa udom wengi wao wamesoma udsm? Isitoshe udom huwa na desturi ya kuiba mitihani ya udsm na kwenda kubadilisha title na tarehe.....je unalijua hilo?
Usimtukane baba yako kuwa hafai wakati kakuachia minazi ya urithi.
The quality of education shall never be raised above the quality of teachers.

Kama walimu waliopo UDOM wanayoka UDSM then UDOM itoe product mbaya,
What do you think might be the root?

Ndo maana wenzenu wanawaambia mmebaki jina maana hata reasoning yenu inaaibisha.
 
Tofauti inaletwa na intake ya wanafunzi na ww pia una reasoning capacity ndogo, angalia intake ya wanafunzi telecommunication ya UDSM, alafu uilinganishe na Ya UDOM, angalia intake ya wanafunzi petroleum engineering ya Udsm, fananisha na ya UDOM,
 
Hamna kitu kama hicho,

Vigezo vya admission vinatolewa na TCU kwa maana ya kwamba atakayetimiza point elekezi basi anafundishika ktk eneo husika.

Fikiria walimu wanaofundisha watoto wenye mental retardation, wanawezaje?
 
Umetaka utofauti nimekuonyeshea, hayo mambo ya kuwa retarded ni yako, huo ndo utofauti uliopo,

Kama unataka kubisha wew bisha ila ukweli unaujua,
 
Tofauti inaletwa na intake ya wanafunzi na ww pia una reasoning capacity ndogo, angalia intake ya wanafunzi telecommunication ya UDSM, alafu uilinganishe na Ya UDOM, angalia intake ya wanafunzi petroleum engineering ya Udsm, fananisha na ya UDOM,
UDOM ni chuo cha serikali na serikali haiwez kuweka chuo kwa ajili ya kupokea watu wasio na vigezo

Ukaguzi wa TCU vyuoni ulihusisha sifa za wadahiliwa na walioonekana kudahili kinyume na taratibu wamefungiwa na hata program zilizokua na scarcity ya facilities zilifungiwa
 
Umetaka utofauti nimekuonyeshea, hayo mambo ya kuwa retarded ni yako, huo ndo utofauti uliopo,

Kama unataka kubisha wew bisha ila ukweli unaujua,
Huo utofauti umeuoneshaje???

Kwa maneno au??

Tuwekee records za ufaulu wa wanafunzi waliodahiliwa UDSM na za wa UDOM.

Nimekueleza swala mental retardation kukuonesha kua hata mtu asiye na akili anafundishika iweje mwanachuo asifundishike??
 
UDOM ni chuo cha serikali na serikali haiwez kuweka chuo kwa ajili ya kupokea watu wasio na vigezo

Ukaguzi wa TCU vyuoni ulihusisha sifa za wadahiliwa na walioonekana kudahili kinyume na taratibu wamefungiwa na hata program zilizokua na scarcity ya facilities zilifungiwa
Mkuu tunachobishania sijui nin, kwenye kufaulu huwa kuna madaraja ingawa wote mmekua mmefaulu,
Ndivo ilivo kwenye uchaguzi wa vyuo, ndo mana kuna wengine huwa wamekidhi vigezo vya TCU lakini selection waliotaka wao huwa hawaipati, the same scenario ukija kwenye hoja yetu, nilichokuambia ni kuwa utofaut huwa unaletwa na wanafunzi wenye we nikakupa mfano uangalie intake ya hvo vyuo je ni sawa??
Hainingii akilini wanafunzi waliofanya vzuri form six hawa wote wakifika chuo eti waje kuwa vilaza, na wale waliofaulu kawaida waje kuwa vipanga,

By the way usiku mwema huu ubishani huna tija kwangu na kwako ila siwezi kukaa kimya endapo nikiona mtu anapotosha.
 
Mimi baada ya kuona kila tukiwa tunapiga soga kuhusu mambo ya chuo jamaa zangu wananiuliza UDSM ulisoma mwaka gani pale. Hili swali likawa linanipa shida sana, nikaona isiwe shida mtaani nikaamua kusoma masters pale UDSM. Sikutaka kukosa kusoma chuo chenye sifa na historia inayoheshimika.
 
mashuleshule nyie tatzo madftari yanatawala bongo zenu we soma ud. .UDOM. .sua..kokote mwisho uwe na maarifa ya kuweka kitu tumboni
 
Mkuu tunachobishania sijui nin, kwenye kufaulu huwa kuna madaraja ingawa wote mmekua mmefaulu,
Ndivo ilivo kwenye uchaguzi wa vyuo, ndo mana kuna wengine huwa wamekidhi vigezo vya TCU lakini selection waliotaka wao huwa hawaipati, the same scenario ukija kwenye hoja yetu, nilichokuambia ni kuwa utofaut huwa unaletwa na wanafunzi wenye we nikakupa mfano uangalie intake ya hvo vyuo je ni sawa??
Hainingii akilini wanafunzi waliofanya vzuri form six hawa wote wakifika chuo eti waje kuwa vilaza, na wale waliofaulu kawaida waje kuwa vipanga,

By the way usiku mwema huu ubishani huna tija kwangu na kwako ila siwezi kukaa kimya endapo nikiona mtu anapotosha.
Sawa rafiki ila mm sibishani nakueleza ukweli,

Mm ni mwalim by profession,
Huu ni mwaka wa 12 kazini na mwaka wa 8 nafundisha advance hivyo nna record nzuri tu kwa vijana Wangu walioko vyuo mbalimbali nchini.
Naelewa ufaulu wao na uwezo wao kiujumla.
 
Sawa ila ni vzuri ungeangalia record zako vzuri, kwa kukusaidia tu unaweza ukagoogle admission results za UDSM kwa mwaka 2012 tu peke ake ndio ambao nina uhakika bado ipo google.. Itafute alafu uangalie wanafunzi waliodahiriwa kuchukua hizi course, telecommunications, computer engineering, civil engineering, law, mining engineering, mechanical engineering..
 
The quality of education shall never be raised above the quality of teachers.

Kama walimu waliopo UDOM wanayoka UDSM then UDOM itoe product mbaya,
What do you think might be the root?

Ndo maana wenzenu wanawaambia mmebaki jina maana hata reasoning yenu inaaibisha.
Rudi shuleni ukajifunze namna ya kuandika kwanza!
 
Kiazi ni nyie mnaotegemea maintellectuals watunge mitihani halafu nyie mnajifanya kukopi na kupesti baadae mnakuja kuongea pumba humu! Kama elimu inayotolewa pale udsm ni mbovu, si mtunge mitihani yenu.......kwa nini mchukue vibovu? Ndio mtambue kuwa mheshimiwa rais alivyowaita nyie ni vilaza hakukosea wala kukurupuka.
 
Nna wasi wasi kama wewe ni mwanachuo,

Kila chuo kina mtaala wake na hata baadhi ya course zikitokea kufanana kuna variation of content.

By the way intellectuals wana-argue kwa reference na evidence, twambie; chuo gani kiliiba mtihani wa course gani, ngazi gani na semester gani.

Hata hivyo mlishasema lecturers wengi ktk vyuo hivi wanatoka udsm,
So kama wana copy mitihani bas tutasema tu mtoto wa nyoka ni nyoka
 
Back
Top Bottom