First years na ulimbukeni wa kusoma udsm

First years na ulimbukeni wa kusoma udsm

Wadau msaada kidogo hapa, nimechaguliwa udsm na udom,udsm kwenye profile yangu walinipongeza na wakatoa remarks kuwa ,pending TCU approval, nikatulia,udom wakatoa majina nikawemo pia,usiku wa Jana wakanitumia SMS ya hongera na kunitaka nithibitishe kama Nita enda udom,nikathibitisha,kwa maana niende udom, sasa narudi kwa file la udsm nakuta ile remarks haipo ,sasa maana yake ni nin?,
C kwamba ww umeshachagua udom maana iyi udsm wameshapokea info zako kwamba umechagua udom so nafasi yako haipo tena.
 
Kimsingi ndugu zangu, mm ninachokielewa na kwa research zangu,

UDOM is the best growing University in East and Central Africa (This was named ktk International Youth Leadership Conference-South Africa: nilishiriki, just last month)

Mpaka sasa UDOM imekamilika kwa 40% but still ipo top 5 za taifa.

Hata hivyo, nime-experience uwezo wa vijana wa UDOM na UDSM currently,
Wa UDOM wanaonekana kua competent and disciplined zaid ya UDSM hasa kwenye ualimu na Information technology;
Uwezo wa technology walionao vijana wa UDOM unaivutia JWTZ: miezi michache iliyopita kati ya maafisa 106 wa JWTZ walioapishwa na rais, 36 walitoka UDOM na wote ni kutoka college of informatics.

Saiv kwenye admission, UDOM ndiyo kimbilio la watoto wa wakulima na ni chuo kinachoongoza kudahili wanafunzi wengi zaid nchini.

Ukiangalia wengi wanaoichafua UDOM ni wanafunzi wa UDSM ambao primarily ni wivu tu kuona Tanzania kuna chuo kinaibuka na kuja kwa kasi kuliko wao.

Binafsi nilitamani mwanangu asome UDSM but baada ya kuona mwenendo wa vijana wengi wa UDSM sikutamani tena.
Unakuta kijana mtaani yeye ndo yeye, hakuna wa kuzungumza jambo zaidi yake,
Unamkuta kijana anakwambia yupo UDSM then kaweka earphones na suruali mlegezo anadunda barabarani but muulize ana action plan ipi ya maisha yake au anajihusisha na mambo yapi ya kuisaidia familia na jamii yake, hapo anapata kigugumizi.

Ningeomba tu vijana wa vyuoni tusiwe na majivuno yasiyo na msingi,
Elimu na ubora wetu utaonekana ktk mchango wetu kwa FAMILIA na JAMII yetu, sio majigambo

Na tufahamu kua (hasa undergraduate) mashirika na watafiti wanapo-rank vyuo wanazingatia vigezo kama, Number of search engines, popularity, number of professors n.k.
Vigezo hivi wakati mwingine hutegemea umri wa chuo na Mara nyingi, undergraduate wana mchango wa 0.001% ktk world university ranking.

Siwez kuandika yote but kwa ufupi tu,
Nimeshuhudia vijana wa UDOM wa mwaka wa Pili 2016/2017 wakisaidia watoto 17 mjini Dodoma kupata haki yao ya msingi ya kupata elimu. Nimeshuhudia mengi yakifanywa na wanachuo wa SUA, SAUT na chip vingine ambavyo wao,
Wakiona mtu anakosea humrekebisha na kumsaidia afanye vzr na sio kumcheka na kumuona hafai.

Vijana someni mlisaidie taifa,
Ni aibu kwa msomi kumuona msomi mwenzie hafai.

Tz elimu yetu inadolola,
Saiv Africa hata 30 bora hatumo then vijana maneno meengii.

NAWAPENDA WANACHUO WOTE: NATAMANI KWA WINGI WENU TAIFA LIPATE TIJA NA MAENDELEO KUPITIA NINYI.

Umesema kweli kabisa majivuno si ya muhimu kwa wasomi wetu. Kinachotakiwa ni kujijenga wawapo chuoni ili wasaidie jamii zao kulingana na taaluma zao. Nchi zilizoendelea wanafanikiwa kwa sababu msomi haendi chuoni ili ailingishie jamii taaluma yake bali anakwenda chuo kupata ujuzi na maarifa ya kuinyanyua jamii yake ndio maana kila kukicha wanafanya ubunifu wa mambo mengi. Tubadilike.
 
Kwa kukusaidia

Ma lecturer wengi wanafanya part time kweny hivyo vyuo vngne. .mfano Ardhi

Sasa hapo shda ni wanafunzi au kitu gan?

Na kuhusu MD sasa hv haipo na iliwekwa Mara moja na ukitaka kuamin kuwa ni best wanafunzi wale wanahamishiwa Muhimbili
nimeambiwa figisu za muhas kwa udsm zimeshndwa madogo wanaendelea na md pale science complex!?
 
Afu wewe si yule dogo uliekua unaombwa kubebwa Ardhi? ushaanza kuwatukana wahenga kabla hujayaona maisha...angaliaaaa
 
Hicho chuo cha kawaida sana .

Halafu si kila kozi inayotolewa hapo ni bora kuliko vyuo vingine.

Kuna baadhi ya kozi zinazotolewa hapo zinatolewa chini ya kiwango kulinganisha na vyuo vingine

Mfano

a)MD.
Huwezi kufananisha MD inayotolewa Muhas au Cuhas au KCMC na hiyo Ud.

Lakini utakuta lijitu limbukeni kisa lipo udsm basi linajiona linajuwaaaa kumbe mavi matupu.

b)Architecture

Huwezi kumfananisha architect aliye graduate ardhi na aliye graduate udsm

Huyu wa ardhi anavitu vingi sana unique amemuacha mbali sana huyo wa udsm

Anajua kuchora kuanzia kwa mikono mpaka kwa PC

Humdanganyi chochote kuhusu mambo ya archcard na autocard sijui GIS na takataka nyingine zote.

c)Building Economy /quantity survey

QS wa udsm kamwe hamfikii hata kidogo QS wa Aru

Hata course anazosoma Qs wa aru Qs wa ud hajawahi kuzisoma hata mara moja.

d)Law.
Law inayotolewa mzumbe ni mara 3 kwa ubora kuliko ile ya udsm.

e)Engineering courses
Engineering courses especially mechanical engineering inayotolewa D.I.T inamuandaa mwanafunzi kivitendo zaidi kuliko ya udsm inayomuandaa kinadharia

f)education
Kozi za education zinazotolewa udom ni bora zaidi kuliko za udsm
Ila ukiwa limbukeni huwezi kutambua hili.

g)Agricultural courses
Kozi za kilimo zinazotolewa Sua ni mara tano kwa ubora kuliko za hapo udsm
Kwanza ni rahisi hata field zake kuliko zinazotolewa hapo udsm

Madogo acheni wenge hiyo udsm ni chuo cha kawaida sana ila kinabebwa na viongozi tu.
Njoja wakutukane mpaka utajuta. Sisi tulikwisha tukanwa sana tuliposema course ya Accounting ya IFM ni bora kuliko ya UDSM. Tulimwagiwa mvua ya matusi tukajificha chini ya meza.
 
Huyu jamaa anachuk ya moyon kabsa na udsm,..tuliosoma hapo tunafaham jins wasiosoma hapo wanavyokihusudu chuo chetu.hahaha[emoji23][emoji23]
 
najivunia kuwa alumn wa udsm..elimu niliyoipata pale imekua msaada mkubwa kwangu na jamii inayonizunguka
 
Unapata ujasiri gani kuongea uongo, college of engineering and technology CoET imeanzishwa mwaka 1975..ndo college ya kwanza ya engineering kwa Tz, hata hao walimu wako waliokufundisha wewe ni zao la CoET. Mkuu wa chuo wa D. I. T prof. NDOMBA ni zao la UDSM kasoma kuanzia degree ya kwanza mpaka PhD hapa CoET. Makampuni ya kizalendo makubwa ya kihandisi. Mengi ni graduate wa CoET.. Kampuni niliyopo mim, consulting firm ni kampuni ya wazawa ambayo tumeshiriki kufanya designing structure kubwa tu hapa Tanzania na nje ya mipaka ya Tz..
LAPF tower ina zaidi ya ghorofa 30.na engineer aliyedesign ile structure engineer, pamoja na project managers wote ni zao la CoET..
Huu ujasiri wa kuidharau CoET sijui mnatoa wapi nyinyi watoto..
Huyo chairman wa E. R. B. PROF LEMA ni mwalimu wa hapo CoET.. Alafu wew mpuuzi mmoja unakuja kuongea et elimu ya CoET haina ktu, no sense kabisa..
Vijana wa juzi hawa ni wapuuzi sana ndugu hawafikirii nje ya box.
 
Hicho chuo cha kawaida sana .

Halafu si kila kozi inayotolewa hapo ni bora kuliko vyuo vingine.

Kuna baadhi ya kozi zinazotolewa hapo zinatolewa chini ya kiwango kulinganisha na vyuo vingine

Mfano

a)MD.
Huwezi kufananisha MD inayotolewa Muhas au Cuhas au KCMC na hiyo Ud.

Lakini utakuta lijitu limbukeni kisa lipo udsm basi linajiona linajuwaaaa kumbe mavi matupu.

b)Architecture

Huwezi kumfananisha architect aliye graduate ardhi na aliye graduate udsm

Huyu wa ardhi anavitu vingi sana unique amemuacha mbali sana huyo wa udsm

Anajua kuchora kuanzia kwa mikono mpaka kwa PC

Humdanganyi chochote kuhusu mambo ya archcard na autocard sijui GIS na takataka nyingine zote.

c)Building Economy /quantity survey

QS wa udsm kamwe hamfikii hata kidogo QS wa Aru

Hata course anazosoma Qs wa aru Qs wa ud hajawahi kuzisoma hata mara moja.

d)Law.
Law inayotolewa mzumbe ni mara 3 kwa ubora kuliko ile ya udsm.

e)Engineering courses
Engineering courses especially mechanical engineering inayotolewa D.I.T inamuandaa mwanafunzi kivitendo zaidi kuliko ya udsm inayomuandaa kinadharia

f)education
Kozi za education zinazotolewa udom ni bora zaidi kuliko za udsm
Ila ukiwa limbukeni huwezi kutambua hili.

g)Agricultural courses
Kozi za kilimo zinazotolewa Sua ni mara tano kwa ubora kuliko za hapo udsm
Kwanza ni rahisi hata field zake kuliko zinazotolewa hapo udsm

Madogo acheni wenge hiyo udsm ni chuo cha kawaida sana ila kinabebwa na viongozi tu.
Naona una hasira na udsm, kila kozi eti chuo flani kinatoa wahitimu bora kuliko udsm, we hiyo analysis unefanyia wapi?
Architecture ipo Udsm?
Kama hukukanyaga udsm tulia acha wivu wa kike mkuu, huko kwenye chuo chako cha kata komaa tu.

Udsm inaanza wengine mnajikongoja kama hutaki kamuulize hata babu yako atakwambia.
 
Hivi mnadhani kusoma udsm ni sifa?

Hebu nambie utofauti wa mhitimu wa udsm na vyuo vingine katika maisha halisi na halali ya mtaani
 
Naona una hasira na udsm, kila kozi eti chuo flani kinatoa wahitimu bora kuliko udsm, we hiyo analysis unefanyia wapi?
Architecture ipo Udsm?
Kama hukukanyaga udsm tulia acha wivu wa kike mkuu, huko kwenye chuo chako cha kata komaa tu.

Udsm inaanza wengine mnajikongoja kama hutaki kamuulize hata babu yako atakwambia.
Hivi kwann udsm hamnaga hoja zaidi ya matusi na kejeli
 
Njoja wakutukane mpaka utajuta. Sisi tulikwisha tukanwa sana tuliposema course ya Accounting ya IFM ni bora kuliko ya UDSM. Tulimwagiwa mvua ya matusi tukajificha chini ya meza.
Yani hua hawapendi kuambiwa ukweli, wanakazania university ranking wakati ukisoma ad mwisho wa hiyo ranking wanaeleza kwamba isitumike kujaj academic excellence ya vyuo maana haijazingatia zaid academic ranking.
 
Hivi kwann udsm hamnaga hoja zaidi ya matusi na kejeli
Mkianzisha mada ya kitoto mnataka majibu ya kiutu uzima?
Kwani vyuo vipo vingapi Tz mbona Udsm inawatoa kamasi namna hii?
Wakuu mkubaliane na hali haiwezekani kila mtu asome udsm, soma hata huko teofilo kisanji shida iko wapi? Kila siku mada kibao kuikashifu udsm kwani iliwakosea nini?
 
Hakuna utoto kama wa kujiona wewe ni bora kuliko watu wengine.

Hamna mtu wa kuvisema vyuo vingine kwasababu vimetulia bila majivuno, matusi, kejeli wala ulimbukeni usiokua na msingi.
Udsm mnaleta sifa mbaya kwa wanachuo nchini ila hamjielewi tu
 
Mnaanzisha mada alafu mnaanza kulialia.
Hivi nani kaanzisha mada humu? Nyie ndo mnaanzisha mada za kuiponda udsm mkipondwa mnalialia.
Acheni utoto wa kutafuta ligi za kijinga.

Kwani mkitulia bila kuanzisha hizi mada kuna wa udsm ataanzisha kuwaponda nyie na vyuo vyenu?

Mkiona mtu kavaa ID ya udsm mnaanzish uzi, mkiona mtu kaulizia udsm selection mnaanzisha uzi, yaani hamna agenda maalum? Au hamna kazi ya kufanya??
 
sisi tulio graduate chuo bora duniani stanford university tunawachora tu vijana wa kibongo mnavyobishana kuhusu vyuo uchwara vya tanzania.

tupo wawili tu nchi hii,mimi kadoda11 na yule jamaa mtanzania shombe shombe wa kuitwa benjamin fernandes.
6761a4b5d35c1bc8e43bc0a1b398ecdc.jpg
 
Back
Top Bottom