First years na ulimbukeni wa kusoma udsm

First years na ulimbukeni wa kusoma udsm

Hata hivyo UDSM inamaabara nzuri sana haya wanafunzi wa SUA wanaendaga kwa practical kama sikosei ...the same to hao was ARDHI wanaendaga sana ktk kitivo cha uhandisi.

Kuhusu sheria ya mzumbe kuna mwaka Fulani kuna mtu alishawai kukataliwa kujiunga na masters degree ya sheria akiwa na GPA ya juu sana ya mzumbe ilikuwa story sana hiyo miaka ile kwa
 
ww hayo ni maneno tu UDSM chuo bora kinaonekana hata jinsi kinavyoendesha hii mchakato mzima wa applications
Mtiga anafundisha Physics Loyola pia anafundisha physics part time feza boys je Loyola ni bora kuliko feza?
Ungejua tofauti ya ma-lecturer na ma-teacher usingeandika hicho ulichokiandika
 
Mtoa mada akiona hivi bas anachukiaaaa
[HASHTAG]#TuacheTwendeUDSM[/HASHTAG]
Screenshot_20171005-085859.png
 
Y hatn UD!? Ukipata nafasi ya kufanya kazi na graduate from vyuo mbalimbali ndio unajua kuwa. The home of interlectures ina maana gani!
 
Enyi wahitimu wa form 6 mnaobishana kwny uzi huu tambueni hakuna chuo bora ila kuna mwanafunzi bora, nakubaliana kuna chuo kinakua na mazingira mazur na facilities kwa ajil ya course flan lakin sio guarantee kutoa wahitim wazur, nawatakia masomo mema ila nawakumbusha mtaan kuna folen ya ajira kama ya miaka mitano hivi, someni mpate elimu msiwaze ajira sana. Ushaur wangu kazaneni kubeti na kucheza biko mtaani kugum
Embu pitia kwa mangi hapo upate Pepsi baridi kidogo
 
Hicho chuo cha kawaida sana .

Halafu si kila kozi inayotolewa hapo ni bora kuliko vyuo vingine.

Kuna baadhi ya kozi zinazotolewa hapo zinatolewa chini ya kiwango kulinganisha na vyuo vingine

Mfano

a)MD.
Huwezi kufananisha MD inayotolewa Muhas au Cuhas au KCMC na hiyo Ud.

Lakini utakuta lijitu limbukeni kisa lipo udsm basi linajiona linajuwaaaa kumbe mavi matupu.

b)Architecture

Huwezi kumfananisha architect aliye graduate ardhi na aliye graduate udsm

Huyu wa ardhi anavitu vingi sana unique amemuacha mbali sana huyo wa udsm

Anajua kuchora kuanzia kwa mikono mpaka kwa PC

Humdanganyi chochote kuhusu mambo ya archcard na autocard sijui GIS na takataka nyingine zote.


c)Building Economy /quantity survey

QS wa udsm kamwe hamfikii hata kidogo QS wa Aru

Hata course anazosoma Qs wa aru Qs wa ud hajawahi kuzisoma hata mara moja.

d)Law.
Law inayotolewa mzumbe ni mara 3 kwa ubora kuliko ile ya udsm.

e)Engineering courses
Engineering courses especially mechanical engineering inayotolewa D.I.T inamuandaa mwanafunzi kivitendo zaidi kuliko ya udsm inayomuandaa kinadharia

f)education
Kozi za education zinazotolewa udom ni bora zaidi kuliko za udsm
Ila ukiwa limbukeni huwezi kutambua hili.

g)Agricultural courses
Kozi za kilimo zinazotolewa Sua ni mara tano kwa ubora kuliko za hapo udsm
Kwanza ni rahisi hata field zake kuliko zinazotolewa hapo udsm


Madogo acheni wenge hiyo udsm ni chuo cha kawaida sana ila kinabebwa na viongozi tu.
Vip kwa civil engineering mm nmechaguliwa must na udsm je unanishaur niend wap
 
Vip kwa civil engineering mm nmechaguliwa must na udsm je unanishaur niend wap

Hiyo iko wazi, nenda UD kijana ila jipange kukomaa sana maana pale hakuna masihara na shule. Usidanganywe na watu eti ooh pale magumashi ooh kilienda kikarudi, ni wivu wao wa kik.e tu.
 
mtoa maada inaonesha alipenda xna asome UDSM. bt system il mtengaa. uwez ukakosoa kila course itolewayo. UDSM sawa utofaut upo ktk kada ztolewazo bt not all mtoa mada pls make appraisal upya xo kushabkiaa too kma xo msomi vile
Kwa bahati mbaya au nzuri kozi ninayosoma au niliyokuwa nataka kusoma ipo Ardhi pekee East Africa nzima.

Kwa hiyo sikuwahi kukifikiria hicho chuo mnachodangayika nacho.
 
Mkuu ulizo ziongelea hapo asilimia kubwa ni mpya bado product yake haijaonekana mtaani tusubiri tuione kisha ndo tujudge. Ni hayo tu
Mechanical nayo ni mpya?? Law je??
 
ww hayo ni maneno tu UDSM chuo bora kinaonekana hata jinsi kinavyoendesha hii mchakato mzima wa applications

Ungejua tofauti ya ma-lecturer na ma-teacher usingeandika hicho ulichokiandika
Wewe mtoto wa kidato cha sita unajua nini wewe?

Umeshafanya UE hata moja ?

Unaelewa hata maana ya sup,disco,incomplete?
 
bado utoto unakusumbua
Wewe hujisomi kabisa,
UDSM haichukui njegere kabisa
Hapa jamii forum umeingia juzi tu kutoka koromije...pole na kunguru kama wewe utabaki kuuza papuchi yako...
State University
Vyuo vyote vinasubiri mwongozo kutoka pale...mkuu ndugu wako mwongozo hauna mantiki
 
Wewe hujisomi kabisa,
UDSM haichukui njegere kabisa
Hapa jamii forum umeingia juzi tu kutoka koromije...pole na kunguru kama wewe utabaki kuuza papuchi yako...
State University
Vyuo vyote vinasubiri mwongozo kutoka pale...mkuu ndugu wako mwongozo hauna mantiki
sibishani na vitoto ambavyo hata test moja ya chuo hawajafanya.

nenda kwa watoto wenzako kule mkashauriane mnafanyaje usajili vyuoni.
 
Wewe hujisomi kabisa,
UDSM haichukui njegere kabisa
Hapa jamii forum umeingia juzi tu kutoka koromije...pole na kunguru kama wewe utabaki kuuza papuchi yako...
State University
Vyuo vyote vinasubiri mwongozo kutoka pale...mkuu ndugu wako mwongozo hauna mantiki
Unaijua hata maana ya UE wewe?
 
Utofauti ni nn acheni kudanganyana vijana. Utofauti unafanywa na mwanafunzi mwenyewe. Course content vyuo vingi huwa vnafanana. Utofauti unafanywa na mwanafunzi..

Alafu haya mambo kwamba chuo fulani kinafundisha practical chuo fulani kinafundisha theory sijui huwa mnayatoa wapi.. Labda mngekua mnatoa na mifano, labda useme Udsm hawafanyi practical hii, but D. I. T wanafanya practical hii,.
Sometimes hata course content zinatofautiana
 
Back
Top Bottom