First years na ulimbukeni wa kusoma udsm

Mnaanzisha mada alafu mnaanza kulialia.
Hivi nani kaanzisha mada humu? Nyie ndo mnaanzisha mada za kuiponda udsm mkipondwa mnalialia.
Acheni utoto wa kutafuta ligi za kijinga.

Kwani mkitulia bila kuanzisha hizi mada kuna wa udsm ataanzisha kuwaponda nyie na vyuo vyenu?

Mkiona mtu kavaa ID ya udsm mnaanzish uzi, mkiona mtu kaulizia udsm selection mnaanzisha uzi, yaani hamna agenda maalum? Au hamna kazi ya kufanya??
Kabla hujaandika hivyo, pita ktk platform nyingine uone majibizano yaliyopo.

Toa hoja kijana acha ujuaji
 
sisi tulio graduate chuo bora duniani stanford university tunawachora tu vijana wa kibongo mnavyobishana kuhusu vyuo uchwara vya tanzania.

tupo wawili tu nchi hii,mimi kadoda11 na yule jamaa mtanzania shombe shombe wa kuitwa benjamin fernandes.
6761a4b5d35c1bc8e43bc0a1b398ecdc.jpg
Bora yako ata bwana,
Kuliko hawa wanaojivuna huku wana zero competence, zero content.
African ranking, Tz hatumo ata 30 best.

Then watu wajuaji kupita maelezo.
 
Toa hoja sio kejeli,

Mm ni darasa la nne

Huu uzi hauhitaji hoja, umeanzishwa kwa kejeli nami ntatoa kejeli tu.

Kama wewe ni darasa la nne tafuta wenzio, najua umesoma ila unaona aibu kutaja jina la chuo chako.

Pambana na hali yako.
 
Chuo, fani na level niliyosoma yawezekana we ni mwanafunzi wangu
 
Ata ukiichezea arsenal ni sawa tu kwa vitu vingi kama kuiichezea Real Madrid lakini ndio ivyo tena kuichezea Madrid ni [emoji13] [emoji13]
Mkuu nimekuelew San ,,,,,

Ujue mpak nashindwa nimjib nin mweny Uzi kwan hajaniconvice ata kidogo zaid ya kutoa ya moyon yake
 
Utofauti ni nn acheni kudanganyana vijana. Utofauti unafanywa na mwanafunzi mwenyewe. Course content vyuo vingi huwa vnafanana. Utofauti unafanywa na mwanafunzi..

Alafu haya mambo kwamba chuo fulani kinafundisha practical chuo fulani kinafundisha theory sijui huwa mnayatoa wapi.. Labda mngekua mnatoa na mifano, labda useme Udsm hawafanyi practical hii, but D. I. T wanafanya practical hii,.
Safi mkuu bora walete evidence APA
 
Chuo, fani na level niliyosoma yawezekana we ni mwanafunzi wangu
Basi hukustahili kuingia uzi huu na kuanza kulumbana mambo ya kijinga.

Huu uzi umeletwa na watu waliokosa nafasi udsm na wanadhani wakiiponda udsm itasaidia kuwapunguzia machungu.
 
Huwezi kuja na hoja za kufikirika na kuanza kukashifu chuo tegemewa Tanzania halafu uachwe hivi hivi. Kama umefanya utafiti kuhusu ubora wa vyuo Tanzania basi publish ijulikane chuo chako kimekizidi Udsm otherwise nenda Google ukaangalie vyuo bora Africa na useme hao watafiti wamenunuliwa na serikali kuipendelea udsm .
Kama umeikosa kubaliana na matokeo, umeelemishwa kwamba wataalamu wa sheria, engineers, walimu wa vyuo vyako wengi n zao la Udsm na wengne wana kufundisha part time ila payrolls zinawasoma wako udsm .Acha ushamba komaa upate GPA nzuri uje kusoma Udsm Masters
 
Hiyo ni nadharia tu, na hata ukiambiwa uithibitishe huwezi kuthibitisha,

Aliyeanzisha Uzi nadhani kuna vitu vilivyomkera
 
Hakuna ranking iliyowahi kufanywa ya vyuo TZ au Africa, ikazingatia academic excellence.

Kila chuo kina mtaala wake,

Kama ni mfatiliaji mzuri utagundua vigezo vya ranking hizo
 
Hiyo ni nadharia tu, na hata ukiambiwa uithibitishe huwezi kuthibitisha,

Aliyeanzisha Uzi nadhani kuna vitu vilivyomkera
Watu wanahangaika kila siku kulinganisha vyuo vyao na udsm[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwezi kuja na hoja za kufikirika na kuanza kukashifu chuo tegemewa Tanzania halafu uachwe hivi hivi. Kama umefanya utafiti kuhusu ubora wa vyuo Tanzania basi publish ijulikane chuo chako kimekizidi Udsm otherwise nenda Google ukaangalie vyuo bora Africa na useme hao watafiti wamenunuliwa na serikali kuipendelea udsm .
Kama umeikosa kubaliana na matokeo, umeelemishwa kwamba wataalamu wa sheria, engineers, walimu wa vyuo vyako wengi n zao la Udsm na wengne wana kufundisha part time ila payrolls zinawasoma wako udsm .Acha ushamba komaa upate GPA nzuri uje kusoma Udsm Masters
Hoja zote zinathibitika apo.

Mm nimeshuhudia kijana wa udsm akiwa field,
Staff mtu haongei; si walimu wazoefu wala walio field, yeye kwake wote hawafaham vitu isipokua yeye ndo anafaham,

Hazikupita ata wiki mbili, wanafunzi wakamkataa darasani hawamwelewi.
Na kibaya zaid hata staff haelewani nao.

Pigeni kazi vijana acheni mambo yasiyo na msingi
 
Sasa tangu lini mliosoma St . Nanii na vyuo vya kata mkaanza kushirikiana na wanafunzi wa udsm? Kwanza mkiona mtu wa udsm mnaanza kujitenga mnaanza kuhisi mnadharauliwa kumbe hamna kitu mnajihisi tu.

Mjiamini acheni uoga, mtu udsm hana shida kuhusu ku-sociolize ila nyie mnajistukia sasa[emoji23] [emoji23]

Akikaa kimya oooh anajidai, akiongea ooh anajifanya anajua[emoji23] [emoji23]

Poleni wote mliokosa kusoma udsm, mwisho wa siku haya ni maisha tu.
 
Hivi hii ni hoja ya mtu wa chuo kikuu?
 
Back
Top Bottom