sanahimogita
Member
- Oct 8, 2017
- 94
- 71
Kwahio ulitaka aseme ya udsm ni bora?Scroll page uone mleta mada alivyoandika
Mara law ya mzumbe ni bora,mara kozi ya Ardhi ni bora mara IFM ni bora[emoji23] [emoji23]
Labda ungeuliza ametumia vigezo gani
Kwahio ulitaka aseme ya udsm ni bora?Scroll page uone mleta mada alivyoandika
Mara law ya mzumbe ni bora,mara kozi ya Ardhi ni bora mara IFM ni bora[emoji23] [emoji23]
[emoji38] [emoji38] ulitaka aseme ya udsm ni bora??Scroll page uone mleta mada alivyoandika
Mara law ya mzumbe ni bora,mara kozi ya Ardhi ni bora mara IFM ni bora[emoji23] [emoji23]
Wewe ungetaka hoja za mtu wa chuo kikuu basi ungetaja chuo chako ili twende sawaHivi hii ni hoja ya mtu wa chuo kikuu?
Sinaga upuuzi huo mm najivunia maarifa niliyonayo.Wewe ungetaka hoja za mtu wa chuo kikuu basi ungetaja chuo chako ili twende sawa
Mwende wapi??Wewe ungetaka hoja za mtu wa chuo kikuu basi ungetaja chuo chako ili twende sawa
Wewe ndo umesema unaweza kua mwalimu wangu[emoji23] [emoji23]Mwende wapi??
Mtoa uzi unamejaa wivu na husda.. udsm n chuo bora tz huwez kulinganisha na vyuo njaa vingine uko ndio maana rais alsema uksoma UD ata chet chako hakigeuzwi geuzwi kama vyuo vngn wakat wa usail
Tuanze na ww umesoma wapi kwanza ? Unaeza kuta umesoma sociology theofilo kisanji
Hicho chuo cha kawaida sana .
Halafu si kila kozi inayotolewa hapo ni bora kuliko vyuo vingine.
Kuna baadhi ya kozi zinazotolewa hapo zinatolewa chini ya kiwango kulinganisha na vyuo vingine
Mfano
a)MD.
Huwezi kufananisha MD inayotolewa Muhas au Cuhas au KCMC na hiyo Ud.
Lakini utakuta lijitu limbukeni kisa lipo udsm basi linajiona linajuwaaaa kumbe mavi matupu.
b)Architecture
Huwezi kumfananisha architect aliye graduate ardhi na aliye graduate udsm
Huyu wa ardhi anavitu vingi sana unique amemuacha mbali sana huyo wa udsm
Anajua kuchora kuanzia kwa mikono mpaka kwa PC
Humdanganyi chochote kuhusu mambo ya archcard na autocard sijui GIS na takataka nyingine zote.
c)Building Economy /quantity survey
QS wa udsm kamwe hamfikii hata kidogo QS wa Aru
Hata course anazosoma Qs wa aru Qs wa ud hajawahi kuzisoma hata mara moja.
d)Law.
Law inayotolewa mzumbe ni mara 3 kwa ubora kuliko ile ya udsm.
e)Engineering courses
Engineering courses especially mechanical engineering inayotolewa D.I.T inamuandaa mwanafunzi kivitendo zaidi kuliko ya udsm inayomuandaa kinadharia
f)education
Kozi za education zinazotolewa udom ni bora zaidi kuliko za udsm
Ila ukiwa limbukeni huwezi kutambua hili.
g)Agricultural courses
Kozi za kilimo zinazotolewa Sua ni mara tano kwa ubora kuliko za hapo udsm
Kwanza ni rahisi hata field zake kuliko zinazotolewa hapo udsm
Madogo acheni wenge hiyo udsm ni chuo cha kawaida sana ila kinabebwa na viongozi tu.

[emoji23] [emoji23]ww jamaa unawi
labda nianze na swali hili wewe ulisoma chuo gani kati ya hivyo ulivyo vitaja
au isije ikawa umetemwa round ya kwanza hapo udsm maana hua mnakua na mapovu sana
Sikuwahi kuwaza kusoma chuo chochote Tanzania,Wewe ndo umesema unaweza kua mwalimu wangu[emoji23] [emoji23]
Tatizo hukuchaguliwa udsm ungesoma udsm haya yote usingekua unani-quote kwa hizo non-sense.
Endelea ku-quote sibishani na st. Kayumba mkuu
Unapaswa kuelewa,[emoji23] [emoji23]
Huyu kaikosa udsm na kama sio awamu hii basi itakua aliomba miaka ya nyuma na wakamtema sasa kale kauchungu hakajaisha rohoni
Potezea sasa mbona povu sanaUnapaswa kuelewa,
Udsm sio priority ya watu wote
Kasome kamusi ya kiswahili sanifu ujue maana ya povu.Potezea sasa mbona povu sana
Pole mkuuKasome kamusi ya kiswahili sanifu ujue maana ya povu.
Usiige misemo
AsantePole mkuu
Chuo hakikuwa na ubora wa kufundisha MD ndio maana wali ipin.wanafunzi wengi n bora inshu ni udhaifu wa chuoKwa kukusaidia
Ma lecturer wengi wanafanya part time kweny hivyo vyuo vngne. .mfano Ardhi
Sasa hapo shda ni wanafunzi au kitu gan?
Na kuhusu MD sasa hv haipo na iliwekwa Mara moja na ukitaka kuamin kuwa ni best wanafunzi wale wanahamishiwa Muhimbili
Nakupinga mkuu vyuo vinatofautiana katika number ya courses zinazotolewa.Utofauti ni nn acheni kudanganyana vijana. Utofauti unafanywa na mwanafunzi mwenyewe. Course content vyuo vingi huwa vnafanana. Utofauti unafanywa na mwanafunzi..
Alafu haya mambo kwamba chuo fulani kinafundisha practical chuo fulani kinafundisha theory sijui huwa mnayatoa wapi.. Labda mngekua mnatoa na mifano, labda useme Udsm hawafanyi practical hii, but D. I. T wanafanya practical hii,.
Sina experience kwenye hayo mambo ya sheria kwa hyo siwez kukupinga wala kukubali, nina experience kwenye mambo ya engineering especially kwenye civil engineering.. Mitaala mingi ya vyuo huwa inafanana. Hii sio tu Tanzania bali ni ulimwenguni kote, kinachotutofautisha wao na sisi ni technology na uwezo wa mtu binafsi kutafsiri mambo aliyofundishwa darasani kuyaleta kwenye reality...Nakupinga mkuu vyuo vinatofautiana katika number ya courses zinazotolewa.
Si ajabu kabisa kukuta course hii inafundishwa na chuo hiki wakati chuo kingine hiyo course haipo lakini degree programme ni moja
Nikutolee mfano mdogo tuu. Katika degree ya sheria Udom kuna course zinafundishwa pale nakuhakikishia tafuta chuo chochote Tanzania hutopta hiyo course, mfano, udom kuna course inaitwa Disability law hii course inafundishwa udom peke yake Tanzania nzima.
Kwa maana hiyo mtu anaesoma sheria Udom atakuwa na mambo mengi kuliko yule ambae kasoma sheria chuo tofauti na udom.
Kwa mantiki hii mlete mtu wa chuo kingine apambane nae huyo aliesoma mambo mengi nakuhakikishia hatomweza kwakuwa mwenzie amesoma vitu vingi kuliko mwenzie
Kwa hiyo usishangae watu wawili wana degree moja lakini mwenzie yupo competent kuliko mwengine, kwakuwa vyuo vyao ni tofauti.