First date yako ilikuwaje? Nini kilikushangaza?!

First date yako ilikuwaje? Nini kilikushangaza?!

Unajiita kamdinyo afu hutaki kudinywa..!! 😹😹😹

Wanaume wa JF washajiaminisha mkikutana ni show show 😹

Bahati yako uko vizuri kifedha, hapo wengine wangeliwa na pic zao tungeletewa wambea yote mliyofanya kwenye first date yenu…!!

Kumbe ni ww na yule mwenzako ndio mnaletewaga picha?😎😎😎.

Najiuliza. Hao watu wamewaletea maumbea na mapicha. Nyinyi kama nani?.

Anyway. Hayanihusu.
 
Kumbe ni ww na yule mwenzako ndio mnaletewaga picha?😎😎😎.

Najiuliza. Hao watu wamewaletea maumbea na mapicha. Nyinyi kama nani?.

Anyway. Hayanihusu.
Sisi masijala lazima kumbukumbu zitunzwe ili kurahisisha lolote likitokea pindi penzi liki-expire 😹😹😹

Sisi ndo wale tunaoibuka na risiti..!!
 
Nakumbuka Wazee ndiyo walienda kumchumbia mke kwa niaba yangu

Sikuwa namjua kabla

Nipo zangu Chuo Kikuu mwaka wa mwisho, naambiwa ukimaliza masomo Urudi nyumbani, Kuna jambo la muhimu tuzungumze (Mzee ndiyo ananipa hayo maelezo kwenye barua aliyonitumia kwa Posta)

Baada ya kurudi nyumbani, nakutana na mgeni ambaye hakuwa mwanafamilia

Jioni Mzee akiwa na Wazee wenzie wakanipa taarifa kwamba yule binti aliyekuwa anatutengea chakula mchana, ndiyo mke wangu

Sikuwa na jinsi, niliitikia maana mchumba mwenyewe alikuwa kisu balaa

Shape nzuri, mrefu kiasi, lips laini, nywele nyeusi, amezifunga na kibanio Cha Uzi

Kuingia naye kitandani usiku, nakuta kitu sealed

Baada ya siku mbili ndiyo nikafanikiwa kulenga goli

Ndiyo bibienu huyo, tupo tunazeeka pamoja tangu mwaka 47 hadi sasa 🙏🙏
Mweusi, Maji ya kunde au Mweupe?
 
Is moaning during sex a natural reflex, or something we've picked up from watching porn as a product of white culture?
 
Popote napopata huduma hasa ya chakula na vinywaji naenda na formula kama na solve maswali ya hesabu yaani nimekula nalipa on the spot,,

Jichanganye na mashoga zako mje tisa hutoamini

Kope zitatoka bila kubanduliwa

Kingine mbn ulitumia gharam nyingi kiasi hiko mwenetu kamdiii
 
Back
Top Bottom