Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,312
- 55,715
Atakua na mafua makali.Huna “n” kwa keyboard?
Atakua na mafua makali.Huna “n” kwa keyboard?
Kwa hio wanaleta standard ambao hata wao zinawasumbua kuzimudu sio?Wapo wengi Mkuu na walikuwa wanapiga kama hizi , lakini kiuhalisia walikuwa wanaomba elfu 3 🤣🤣🤣
Wana changamoto kibao lakini wanashindwa kulitumia vizuri hili jukwaa kupata ufumbuzi wa changamoto zao
Nipe uzoefu wako au mlikuwa mnakutana kwenye miparachichi mnashikana shikana kinapigwa kimoja cha afya then kila mtu anarudi kwao.😅kuchukua uzoefu
Walikuwepo wengi na tulishawahi kuchombeza lakini Uhalisia ni hakuna 😀M
Mnyanza unahisi anatupia kwamba?
Hahaha haya mambo yabaki hapa hapa jukwani Tu, huku field mambo ni tofauti kabisaWalikuwepo wengi na tulishawahi kuchombeza lakini Uhalisia ni hakuna 😀
Mkuu uhalisia haupo hizi standards hazipo nakumbuka miaka fulani nilikomaa na superstar fulani humu siku ya kuonana naye alikuwa amevaa dera limepauka kama anafanya kazi milling machine 😃Kwa hio wanaleta standard ambao hata wao zinawasumbua kuzimudu sio?
Naelewa Mkuu 😀Hahaha haya mambo yabaki hapa hapa jukwani Tu, huku field mambo ni tofauti kabisa
Sina uzoefu wowoteNipe uzoefu wako au mlikuwa mnakutana kwenye miparachichi mnashikana shikana kinapigwa kimoja cha afya then kila mtu anarudi kwao.
Usishangae wewe ni muhitimu wa SAUT na hapo ulipo hata kuendesha gari haujui...hii ndio jamii forumSasa migari ilivyojaaa hapa dar si ni kama wote tunayo? Kama huna sio shida zetu😅
Au unamtaka huyu nikufanyie mpango 🤓😅😅 Dah ila
Tofauti sana na mimi, mimi makuzi yangu nimekulia porini baba yangu ni mmoja wa askari waandamizi RPF, baadae akawa ni shushusu na mtu wa mipango huko KIVU, tumeishi huko kabla sijaamua kuingia Tanzania kwa mama, kwahiyo pesa yangu mimi ni ya mambo ya kihuni huko porini kwenye madini, ndio maana nakwambia nikiingia huko ni heshima moja kwa moja, sijakulia kwenye mfumo wa kawaida wa maisha ya mabinti wa kitanzania, mimi type ya tofauti kabisa.Wapo wengi Mkuu na walikuwa wanapiga kama hizi , lakini kiuhalisia walikuwa wanaomba elfu 3 🤣🤣🤣
Wana changamoto kibao lakini wanashindwa kulitumia vizuri hili jukwaa kupata ufumbuzi wa changamoto zao
Mtakatifu Chica wa Tangibovu.Sina uzoefu wowote
Halafu kulikuwa na dogo mmoja akiitwa kidukulilo nae alikimbiza sanaUmeona eeh. Kuna M JF mmoja anaitwa Mpolee nae alikuja napigo kama hizi miaka kadhaa hapo nyuma
Naomba date basi halafu uje unianzishie uzi.Tofauti sana na mimi, mimi makuzi yangu nimekulia porini baba yangu ni mmoja wa askari waandamizi RPF, baadae akawa ni shushusu na mtu wa mipango huko KIVU, tumeishi huko kabla sijaamua kuingia Tanzania kwa mama, kwahiyo pesa yangu mimi ni ya mambo ya kihuni huko porini kwenye madini, ndio maana nakwambia nikiingia huko ni heshima moja kwa moja, sijakukia kwenye mfumo wa kawaida wa maisha ya mabinti wa kitanzania, mimi type ya tofauti kabisa.
Gari haiwezi kuwa kipaumbele bro.Kipaumbele cha sasa nitafute gari.
Kuhusu pesa na mali anazomilikinipe uzoefu kidog unapenda ukikutana na mwanaume kwa mara ya kwanza azungumzie kuhusu nin?
Oyaaa Mzee mwenzangu ile avatar ndio ilikuwa inakutambulisha vyemaMtakatifu Chica wa Tangibovu.
Wewe unaamini kisa hiki?Gari haiwezi kuwa kipaumbele bro.
Kipaumbele ni dushee na confidence uliyonayo tu.
Si umeona mwenzako ameenda na gari lakini mwisho wa picha kapigwa chini.
Rwandani Patriotic front hili ilikuwa kama jopo la.....!Tofauti sana na mimi, mimi makuzi yangu nimekulia porini baba yangu ni mmoja wa askari waandamizi RPF, baadae akawa ni shushusu na mtu wa mipango huko KIVU, tumeishi huko kabla sijaamua kuingia Tanzania kwa mama, kwahiyo pesa yangu mimi ni ya mambo ya kihuni huko porini kwenye madini, ndio maana nakwambia nikiingia huko ni heshima moja kwa moja, sijakulia kwenye mfumo wa kawaida wa maisha ya mabinti wa kitanzania, mimi type ya tofauti kabisa.