First date yako ilikuwaje? Nini kilikushangaza?!

First date yako ilikuwaje? Nini kilikushangaza?!

Dates za jf vituko tupu
Nilikutana na mmoja kwanza alinikwaza alichelewa sana kufika
Halafu ni mchafu
Alikula kwa mikono anatumbukiza vidole vyote mdomoni 😬
Anatafuna nyam nyam nyam 🤤
Kiharufu cha jasho sasa 🙌

Kwakweli sikutaka kwenda mbali 🙌
Najua utasoma hii comment nisamehe bure rafiki yangu.
Nilisharekebisha bhana😀
 
Sio sheria it’s just how it goes! Yani mwanamke unafika location wa kwanza af ni first date😅?? How desperate are you??
Hapana , hayo huwezi kujua kama umekulia kwa wazazi wakulima, tuliotoka kwenye familia zenye kash kash na vita ndio tunaelewa, siko desperate na ndio maana baada ya lisaa limoja nikatupia date kwa dustbin
 
Tuikutana kwenye basi safari ya Dar-Arusha. Mkaka mrefu mweusi halafu hb kiasi (mambo nipendayo). Mie nikisafiri sio mtu wa kuhangaika na niliyekaa nae. Nikishasalimia basi ear phone zangu natulia au nasinzia.

Kufika moshi ndio tukaanza kuzungumza baada ya kuniuliza kitu maana mie kidogo nilikuwa mwenyeji. Mwisho wa safari tukabadilishana namba za simu.

Baada ya kuwasiliana kwa miezi mitatu tukapanga kuonana kwa first date Dar hotel fulani hivi. Nilitupia nikapendeza sana. Ile kufika akawa na kazi ya kusifia tu. Tukapata chakula na vinywaji then kufika mida fulani nikamuaga, akaomba niende nae kwake tukalale. Nikamwambia asiwe na haraka maana mambo mazuri hayataki haraka. Hivyo tujipe muda zaidi wa kufahamiana.

Episode 3 ndio ilikuja kunimaliza nguvu , nilivyotoka hapo ndio ikawa nitolee. Alinitafuta sikupokea wala kujibu msg.
Aisee Tuma lipa namba
 
Dates za jf vituko tupu
Nilikutana na mmoja kwanza alinikwaza alichelewa sana kufika
Halafu ni mchafu
Alikula kwa mikono anatumbukiza vidole vyote mdomoni 😬
Anatafuna nyam nyam nyam 🤤
Kiharufu cha jasho sasa 🙌

Kwakweli sikutaka kwenda mbali 🙌
Najua utasoma hii comment nisamehe bure rafiki yangu.
Aseeee nimechekaaa😅😅😅🙌
 
Kamdinyo unaonekana huna solo, na huna mvuto na uko desperate kuolewa kwa Mujibu wa hadithi yako.

Kosa kubwa linaloonesha value yako ni ndogo kuliko unachojaribu kuelewa, I akuwaje Mwanamke ndio uandae date kila kitu? Ulimtongoza wewe? Mbona kama ulikuwa unajipendekeza Sana? Bills zote ulipie wewe, hadi location uchgue wewe, Ile Women experience unaipataje?

Jamaa naye ni lofa tu
Nakazia
 
Dates za jf vituko tupu
Nilikutana na mmoja kwanza alinikwaza alichelewa sana kufika
Halafu ni mchafu
Alikula kwa mikono anatumbukiza vidole vyote mdomoni 😬
Anatafuna nyam nyam nyam 🤤
Kiharufu cha jasho sasa 🙌

Kwakweli sikutaka kwenda mbali 🙌
Najua utasoma hii comment nisamehe bure rafiki yangu.
Kumbe huwa mnakutanaga kweli, najuaga ni utani tu
 
Kwanza kwa maoni yangu,mtoa mada ametufundisha kitu kimoja kikubwa sana

Mosi,first date ni kufahamiana na kujuana na kubadilishana maongezi ya hapa na pale,sio siku ya kuichapa

Pili,siku ya first date sio siku ya kulewa,angalia huyo mwamba alilewa akaishia kusimamisha hovyo matokeo yake akaonekana nyege zinamtawala

Tatu,siku ya first date jua kwamba upo kwenye kipimo,watu mnasomana,kwahiyo usiharibu kabisa

Ila mtoa mada nawe umefanya makosa,natambua kwa dakika kadhaa ulizokuwepo na jamaa ulisha msoma kwamba hafiti kwenye criteria zako,ilitosha kumuepusha na gharama ambazo ulimsababishia,ingetosha tu kumalizia date yenu pamoja na mapungufu yake ungemmwaga mazima

Lakini hasara ulizo mpa huenda imekula bajeti yake ya mwezi mzima maskini ya Mungu

Sina tatizo na wewe kuandaa maandalizi pale kwenye date,lau ningekuwa mimi baada ya kuona yale mandhari ningekwambia wazi kuwa mfuko wangu haumudu kile kiwanja,sasa kazi kwako unidharau au uniheshimu kwakuwa nipo real na sifake maisha

Na lau ungenidharau basi ingekuwa umenirahisishia kujua kwamba wewe sio vitu vyangu

Na lau ungenielewa basi ningejua wewe ndio mwanamke wa maisha yangu
 
Japo hadithi yako ina chumvi nyingi za kumshusha mwanaume thaman na kupandisha thaman yako maradufu hapa jamvini. Nimeipenda stori umeniudhi pahala padogo tu, mwanaume kakuona kadindisha unakuja kumnanga baada ya kusifia kuwa uko na kidume kweli kisichohitaji booster ili mnara uende hewani. Kamdinyo wanaume wanao dindisha bila booster siku hizi tumebaki wachache.
 
Sure mkuu demu akishajiona ana hela ujue tuu hata mapenzi hawezi kuyahandle wengi wanaishia kukodisha wanaume wanawala maisha yanaenda ila wanakujaga kuolewa na watu wakawaida sana baada ya muda kuwaacha solemba
Mwanamke mwenye hela na Mwanamke Mzuri mwisho wao huwa unafanana
 
Kwanza kwa maoni yangu,mtoa mada ametufundisha kitu kimoja kikubwa sana

Mosi,first date ni kufahamiana na kujuana na kubadilishana maongezi ya hapa na pale,sio siku ya kuichapa

Pili,siku ya first date sio siku ya kulewa,angalia huyo mwamba alilewa akaishia kusimamisha hovyo matokeo yake akaonekana nyege zinamtawala

Tatu,siku ya first date jua kwamba upo kwenye kipimo,watu mnasomana,kwahiyo usiharibu kabisa

Ila mtoa mada nawe umefanya makosa,natambua kwa dakika kadhaa ulizokuwepo na jamaa ulisha msoma kwamba hafiti kwenye criteria zako,ilitosha kumuepusha na gharama ambazo ulimsababishia,ingetosha tu kumalizia date yenu pamoja na mapungufu yake ungemmwaga mazima

Lakini hasara ulizo mpa huenda imekula bajeti yake ya mwezi mzima maskini ya Mungu

Sina tatizo na wewe kuandaa maandalizi pale kwenye date,lau ningekuwa mimi baada ya kuona yale mandhari ningekwambia wazi kuwa mfuko wangu hamudu kile kiwanja,sasa kazi kwako unidharau au uniheshimu kwakuwa nipo real na sifake maisha

Na lau ungenidharau basi ingekuwa umenirahisishia kujua kwamba wewe sio vitu vyangu

Na lau ungenielewa basi ningejua wewe ndio mwanamke wa maisha yangu
Upo sahihi, nilipomfikisha v.i.p alishituka niligundua na kama angekuwa wazi kusema uwezo hana nikimpokea, niliandaa mazingira ambayo hata mimi nayamudu, ndio maana nikasema alikosa kujihami na haiba ya uwazi, aliye mwaminifu kwa kidogo huwa mwamonifu kwa kikubwa pia, hasara nilimpa ili asirudie huo ujinga siku ingine au awe makini zaidi, nilim provoke nijui anaweza ku handle vipi hali ngumu yenye shinikizo, angejiamini na kuwa mtulivu nami ningemuamini, sio ananidindishia uboo
 
Sure mkuu demu akishajiona ana hela ujue tuu hata mapenzi hawezi kuyahandle wengi wanaishia kukodisha wanaume wanawala maisha yanaenda ila wanakujaga kuolewa na watu wakawaida sana baada ya muda kuwaacha solemba
Sio mimi 😅😅
 
Back
Top Bottom