First date yako ilikuwaje? Nini kilikushangaza?!

Tuikutana kwenye basi safari ya Dar-Arusha. Mkaka mrefu mweusi halafu hb kiasi (mambo nipendayo). Mie nikisafiri sio mtu wa kuhangaika na niliyekaa nae. Nikishasalimia basi ear phone zangu natulia au nasinzia.

Kufika moshi ndio tukaanza kuzungumza baada ya kuniuliza kitu maana mie kidogo nilikuwa mwenyeji. Mwisho wa safari tukabadilishana namba za simu.

Baada ya kuwasiliana kwa miezi mitatu tukapanga kuonana kwa first date Dar hotel fulani hivi. Nilitupia nikapendeza sana. Ile kufika akawa na kazi ya kusifia tu. Tukapata chakula na vinywaji then kufika mida fulani nikamuaga, akaomba niende nae kwake tukalale. Nikamwambia asiwe na haraka maana mambo mazuri hayataki haraka. Hivyo tujipe muda zaidi wa kufahamiana.

Episode 3 ndio ilikuja kunimaliza nguvu , nilivyotoka hapo ndio ikawa nitolee. Alinitafuta sikupokea wala kujibu msg.
Tunda ulimpa ama hukumpa?
 
Nyinyi ndio zinanoga zaidi kwakuwa hamna mambo mengi kichwani, umri wenu mna relax kama afya ni nzuri majukumu mengi mmemaliza mnakuwa na muda wa kufurahia maisha na kurudi utotoni
Uzee ni hatua inayohitaji kujiandaa na kujipanga nako

Ukiweza kujiwekeza katika rika la ujana na ukawa na nidhamu ya kipato chako, Uzee ni muda wa kufurahia

Ni umri wa kustarehe na kupumzika

Kama una biashara kubwa na kati, utakuwa unaonekana kwenye vikao vya bodi tu

Muda mwingi unatumia kusafiri kwaajili ya kutuliza akili na ku-relax

Leo umekwenda Japan, miezi miwili ijayo unakwenda South Africa

February upo zako Pwani ya Mombasa unakula seafood
 
First date ni kwaajili ya vijana zaidi, sisi wa mwaka 47 sio rahisi kuwa na hizo moments 🤪
Kwakuwa umekuja kwenye uzi huu siyo vibaya kueleza kilichotokea kwenye ile siku yako ya kwanza bila kujali umri wako.
Shea simulizi yako ya kuvutia ili vijana wajifunze na kufurahia mapito yako bro🤣🤣🤣
 
Nakumbuka Wazee ndiyo walienda kumchumbia mke kwa niaba yangu

Sikuwa namjua kabla

Nipo zangu Chuo Kikuu mwaka wa mwisho, naambiwa ukimaliza masomo Urudi nyumbani, Kuna jambo la muhimu tuzungumze (Mzee ndiyo ananipa hayo maelezo kwenye barua aliyonitumia kwa Posta)

Baada ya kurudi nyumbani, nakutana na mgeni ambaye hakuwa mwanafamilia

Jioni Mzee akiwa na Wazee wenzie wakanipa taarifa kwamba yule binti aliyekuwa anatutengea chakula mchana, ndiyo mke wangu

Sikuwa na jinsi, niliitikia maana mchumba mwenyewe alikuwa kisu balaa

Shape nzuri, mrefu kiasi, lips laini, nywele nyeusi, amezifunga na kibanio Cha Uzi

Kuingia naye kitandani usiku, nakuta kitu sealed

Baada ya siku mbili ndiyo nikafanikiwa kulenga goli

Ndiyo bibienu huyo, tupo tunazeeka pamoja tangu mwaka 47 hadi sasa 🙏🙏
 
Nimependa sana Simulizi yako bro.
Hongera.
Kwa kijana wa miaka hii hata ukimuwekea bint ambaye ni kisu na sealed hamtaki kwa kuwa hajamchagua mwenyewe.
 
Nakumbuka Wazee ndiyo walienda kumchumbia mke kwa niaba yangu

Sikuwa namjua kabla

Nipo zangu Chuo Kikuu mwaka wa mwisho, naambiwa ukimaliza masomo Urudi nyumbani, Kuna jambo la muhimu tuzungumze (Mzee ndiyo ananipa hayo maelezo kwenye barua aliyonitumia kwa Posta)

Baada ya kurudi nyumbani, nakutana na mgeni ambaye hakuwa mwanafamilia

Jioni Mzee akiwa na Wazee wenzie wakanipa taarifa kwamba yule binti aliyekuwa anatutengea chakula mchana, ndiyo mke wangu

Sikuwa na jinsi, niliitikia maana mchumba mwenyewe alikuwa kisu balaa

Shape nzuri, mrefu kiasi, lips laini, nywele nyeusi, amezifunga na kibanio Cha Uzi

Kuingia naye kitandani usiku, nakuta kitu sealed

Baada ya siku mbili ndiyo nikafanikiwa kulenga goli

Ndiyo bibienu huyo, tupo tunazeeka pamoja tangu mwaka 47 hadi sasa 🙏🙏
Safi safi
 
Uzee ni hatua inayohitaji kujiandaa na kujipanga nako

Ukiweza kujiwekeza katika rika la ujana na ukawa na nidhamu ya kipato chako, Uzee ni muda wa kufurahia

Ni umri wa kustarehe na kupumzika

Kama una biashara kubwa na kati, utakuwa unaonekana kwenye vikao vya bodi tu

Muda mwingi unatumia kusafiri kwaajili ya kutuliza akili na ku-relax

Leo umekwenda Japan, miezi miwili ijayo unakwenda South Africa

February upo zako Pwani ya Mombasa unakula seafood
Ewaaaaa....
 
Nakumbuka Wazee ndiyo walienda kumchumbia mke kwa niaba yangu

Sikuwa namjua kabla

Nipo zangu Chuo Kikuu mwaka wa mwisho, naambiwa ukimaliza masomo Urudi nyumbani, Kuna jambo la muhimu tuzungumze (Mzee ndiyo ananipa hayo maelezo kwenye barua aliyonitumia kwa Posta)

Baada ya kurudi nyumbani, nakutana na mgeni ambaye hakuwa mwanafamilia

Jioni Mzee akiwa na Wazee wenzie wakanipa taarifa kwamba yule binti aliyekuwa anatutengea chakula mchana, ndiyo mke wangu

Sikuwa na jinsi, niliitikia maana mchumba mwenyewe alikuwa kisu balaa

Shape nzuri, mrefu kiasi, lips laini, nywele nyeusi, amezifunga na kibanio Cha Uzi

Kuingia naye kitandani usiku, nakuta kitu sealed

Baada ya siku mbili ndiyo nikafanikiwa kulenga goli

Ndiyo bibienu huyo, tupo tunazeeka pamoja tangu mwaka 47 hadi sasa 🙏🙏
Aiseee, zamani hakukuwa na mambo meusi ndio maana mnadumu hadi leo na kuwa pamoja, unakuta mtu ni asilia kabisa hajachakachuliwa, hata miili inakuwa mitamu kitandani😅😅
 
Kwa kweli, hata kule down ukiwa mpenzi wa kwenda uvinza

Unakutana na kaharufu naturally kabisa

Useme utaulizwa, ulipojifunzia hiyo style 🤪

Na wengi walipitia mafunzo ya unyago, kwahiyo ni hodari pia wa kuzungusha kiuno kilichopambwa na shanga kadhaa 🤭

Koh koh
 
Kati ya wewe na yeye nani alimtongoza mwezake? Alafu date si huandaliwa na mwanaume??
 
Back
Top Bottom