Unaonekana wewe ni mpumbavu na hongera kwa jamaa kwa kuliepuka Bomu hili, maana ni Mungu tu amemuokoa
1. Wewe ni Malaya Sema unatamani kuolewa lakini kama hivyo tabia ni kama ngozi huwa haifichiki
2. Show me your friends and I will tell you who you are. Unahisi ku pretend kupiga magoti usiyomaanisha ndio heshima lakini uhalisia wako haujachukua hata masaa 3 kujileta
3. Wanaume by nature ni watu wanao amini kwenye sex then ndio tujuane inaonekana hata saikolojia hiyo huijui ndio maana ulikuwa surprised na unimproved hilo ni kwamba dau lake lilikuwa dogo. Ungekuwa kweli ni mtu kichwa na mwenye staha basi ungeanza kwa kuhamisha mawazo na hisia zake kutoka kuwaza mapenzi na kumuonyesha what u can be na trust me angekupa heshima zaidi nakukuona ni mtu unayejielewa
4. Concept ya date ni kujuana na sio kuleta mambo ya kutaka uonekane expensive that's why ulipochagua date kwenye hotel jamaa alijua we ni muuzaji tu na alijiandaa kuja mbaruzane. Date inaweza kuwa popote kwenye mgahawa, sehemu ya garden, matembezi mafupi n.k ni idea simple ila ww umechagua kuonyesha ulimbukeni wako
5. Lastly, unahitaji ku enjoy your dates or making friends basi be genuinely interested katika vitu vya msingi. Mf mtu hujui hata masuala ya geopolitics, investments, uptrending world market, international and local world business view and predictions unataka muongee nini na ww kitu pekee unajua ni BDSM, umbea, 3somes na mashoga zako, club mpya mjini n.k. hamuwezi kuwa sawa
Kuwa interested basi na vitu vina matter, Soma vitabu mbalimbali.