Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,872
- 28,125
Nimeipenda hii🤣🤣Bluu tiki nyie mnatakiwa kuomba nije PM sio njoo PM 😂
Nimeipenda hii🤣🤣Bluu tiki nyie mnatakiwa kuomba nije PM sio njoo PM 😂
Safi umeeleweka vizuri sanaUpo sahihi, nilipomfikisha v.i.p alishituka niligundua na kama angekuwa wazi kusema uwezo hana nikimpokea, niliandaa mazingira ambayo hata mimi nayamudu, ndio maana nikasema alikosa kujihami na haiba ya uwazi, aliye mwaminifu kwa kidogo huwa mwamonifu kwa kikubwa pia, hasara nilimpa ili asirudie huo ujinga siku ingine au awe makini zaidi, nilim provoke nijui anaweza ku handle vipi hali ngumu yenye shinikizo, angejiamini na kuwa mtulivu nami ningemuamini, sio ananidindishia uboo
Sure kuna hawa waliosoma,wawe na hela na vipodozi vinakubali japo sio wote wapo ambao hawana drama kama hawa walioko huku yani kama unamfata mtu DM mnakubaliana maana ni privacy afu anakujakukuanika huku broo ata ingekuwa ni wewe lazma upate msongo sasa sielewagi lengo la hawa viumbe ,imagine umeweka ndani 😴Mwanamke mwenye hela na Mwanamke Mzuri mwisho wao huwa unafanana
Staki ni weweSio mimi 😅😅
Ili wengine wajifunze , uchafu upo huko PM wanaume wa humu wasumbufu hawajiheshimu, nadhani wanawake wengi mashuhuda na hawasemi, wanaume waharinifu sio wa kuwachekeaWajifunzeSure kuna hawa waliosoma,wawe na hela na vipodozi vinakubali japo sio wote wapo ambao hawana drama kama hawa walioko huku yani kama unamfata mtu DM mnakubaliana maana ni privacy afu anakujakukuanika huku broo ata ingekuwa ni wewe lazma upate msongo sasa sielewagi lengo la hawa viumbe ,imagine umeweka ndani 😴
Tuishi na hivi viumbe kwa Akili kubwa Pole sana kwa Mwamba naamini kama ni hela alitumia zisharudi.
Kwani mnakwenda wapi?Kwa uzoefu wangu mwanamke akishasema ivi, najua kabisa hapa hatutafika mbali Seran Joanah binti kiziwi Mallerina ShesRise_1 Luna79 leo dada
😹😹😹😹 Wewe ulikutana na wenye kazi zao..!!Tulikubaliana tukutane bar ya uswahilini.Akaja tumepiga stori kula vyombo ,akaniambia unajua Leo nimekuja sijavaa chupi? Nikamjibu ndio napenda ,ndio naona raha.Kila akienda kukojoa uchochoroni nimemshika mkono namsimamia,manyang'au yasije yakakimbia na mwali wangu.Peleka gheto nikamchumisha matembele dirisha wazi litaa linawaka.Bahati yangu majirani wenzangu simu za kuzoom ilikuwa mtihani kipindi hicho.
Ndimi,
Mwalimu wa muziki na mapenzi.
Na ndio wajifunze standard matters, na niliweka mlinzi incase labda nikawekewa dawa ya kulevya kwenye kinywaji so nikilipia ulinzi na nikawapa dhamana lolote likinikuta watawajibika kwahiyo binti yule maalumu alikywepo pale anaangalia movement zote sikwenda kizembe.Unajiita kamdinyo afu hutaki kudinywa..!! 😹😹😹
Wanaume wa JF washajiaminisha mkikutana ni show show 😹
Bahati yako uko vizuri kifedha, hapo wengine wangeliwa na pic zao tungeletewa wambea yote mliyofanya kwenye first date yenu…!!
Wahala 😹😹😹Ukiwa mgenu jf unaweza jua kumejaa wanawake classy. Kumbe classic women huwezi wakuta katika nyuzi za hivi. Vijana mnaosoma mada hii Chin Up, usijione mnyonge. Mtoa mada akila anakokoa hadi ukoko wa ugali
Kuna namna sasa yakufikisha ujumbe sister kwani kutongoza ni kosa, kosa gani kubwa huyu jamaa alikufanyia hadi udhamirie kumchafua hivyo najaribu kuwaza kama angekufanya jambo baya mfano akuwekee madawa,akimbie bili,akutukane,au akubake,au gharama ulizoingia kuandaa afu astokee 🤔 spati picha ,Sometimes tunaplay smart sana afu mnatuchkulia poa something is wrong !!!Ili wengine wajifunze , uchafu upo huko PM wanaume wa humu wasumbufu hawajiheshimu, nadhani wanawake wengi mashuhuda na hawasemi, wanaume waharinifu sio wa kuwachekea
LAzima nijione na kujiamini, 23 years , tutsi / sukuma , nina hela, ninachapa bunduki kuliko wanajeshi wenu wengi wamajeshi ya ulinzi na usalama (nimekulia vitani muda mwingi) .kwahiyo lazima niwe classyKwa maandishi yake anajiona sana, bado binti mdogo sana huyu
Exactly, kuna somo la kujifunza…Na ndio wajifunze standard matters, na niliweka mlinzi incase labda nikawekewa dawa ya kulevya kwenye kinywaji so nikilipia ulinzi na nikawapa dhamana lolote likinikuta watawajibika kwahiyo binti yule maalumu alikywepo pale anaangalia movement zote sikwenda kizembe.
kwo nidinywe siku ya kwanza?
23 yrs kumbe na umekula kitengo jeshi?LAzima nijione na kujiamini, 23 years , tutsi / sukuma , nina hela, ninachapa bunduki kuliko wanajeshi wenu wengi wamajeshi ya ulinzi na usalama (nimekulia vitani muda mwingi) .kwahiyo lazima niwe classy
Huu ni udhalilishaji sasaDates za jf vituko tupu
Nilikutana na mmoja kwanza alinikwaza alichelewa sana kufika
Halafu ni mchafu
Alikula kwa mikono anatumbukiza vidole vyote mdomoni 😬
Anatafuna nyam nyam nyam 🤤
Kiharufu cha jasho sasa 🙌
Kwakweli sikutaka kwenda mbali 🙌
Najua utasoma hii comment nisamehe bure rafiki yangu.
Mwanamke ambae sio bikra akiniletea mashauzi kwenye kunitunuku kitumbua huwa sijui namuonaje .naweza nikarequest mwingne chap nikafidia ,,😂😂Exactly, kuna somo la kujifunza…
Nasubiri mimi nikienda kukutana na member mmoja hivi anajifanya kaka kijana, sijui nimwamkie shikamoo aone aibu kuomba kitoumbua 😹😹😹
Wanaume wa JF jau kweli ndiomana tunaogopa kukutana nao..!!
Ayiiiii Sa unamkomesha nani? 😹😹😹Mwanamke ambae sio bikra akiniletea mashauzi kwenye kunitunuku kitumbua huwa sijui namuonaje .naweza nikarequest mwingne chap nikafidia ,,😂😂