First date yako ilikuwaje? Nini kilikushangaza?!

First date yako ilikuwaje? Nini kilikushangaza?!

First date nilipelekwa beach fulani kaliiii hapa Dar
Ilikuwa usiku

Shida ya yule kijana ni mafua, sijui ana allergy ya upepo wa bahari yule
Alikuwa na mafua mixer chafya za kutosha kiasi kwamba hisia zangu zikapotea kwa zile chafya

Enwei, nilipiga chini usiku ule ule
Kuna ndugu yangu ana allergy ikifika jioni pua zina msumbua zinaziba anapiga chafya. Hasa kama kuna upepo mkali.
Nilipoona hii comment yako nimejiuliza watu wenye shida hiyo kosa lao nini?
Na jamaa anapesa ya kutosha, kiufupi dola zinaingia za kutosha hagusi salary yake ya 'sirikali'.
Plus ana investment zinamuingizia pesa zaidi.
 
Wewe unaamini kisa hiki?
Kisa hiki kina ukweli furani.
Kama ni simulizi basi ndani kuna vitu vimepunguzwa au kuongezwa kutoka kwenye tukio la kweli.
Stori hii ina somo/fundisho
Kubwa ni kwamba wanawake ni kama walivyo wanaume nao wanahitaji mahusiano.
Ukimsoma kwa makini mleta uzi huu utaelewa kuwa anatafuta mtu sahihi wa maisha yake, kwamba hahitaji Waonjaji ambao tuko wengi miongoni mwa wanaume.
Kama umemuelewa omba kikao bila kujali una gari au laa...
 
Hahaaaa…..nilikuwa na mshikaji wangu mmoja ambaye ndo aliniunganishia kwa Mary.

Mary na Mwasiti walikuwa marafiki.

Basi siku moja tukakubaliana kwenda kwenye double date Coco Beach…..enzi hizo za mwaka 47 😃 [miaka ya 90].

Coco beach weekends, hususan Jumapili ndo palikuwa panabamba sana.

Basi, Jumapili moja nikachukua gari la mshua, nikampitia huyo mshikaji wangu halafu tukaenda kuwachukua Mary na Mwasiti.

Hawa wachuchu walikuwa wanasoma Jangwani enzi hizo.

Basi tukaenda Coco, tukafurahia, na kadhalika.

Baadaye bana si nikaja kugundua kuwa huyo mshikaji wangu anawakula wote Mary na Mwasiti wakati Mary nilidhani ni wa kwangu peke yangu 🤣.

Iliniuma sana. Basi tokea wakati huo nikaweka nadhiri kuwa hakuna tena kuamini wachuchu.

Ni kukulana kwa machale tu. Yeyote utayempata ni kumkula tu halafu unasonga mbele kwa wengine.

Hakuna kuwekeza hisia zako kwa mtu.

Ila, kwa vile huwa sikubali kushindwa kirahisi, baadaye na mimi nikaja kuwakula wote wawili kwa wakati tofauti tofauti.
Vipi mwamba alikuja kujua kwamba mkeka umetoa GG both teams to score?😊
 
Kuna ndugu yangu ana allergy ikifika jioni pua zina msumbua zinaziba anapiga chafya. Hasa kama kuna upepo mkali.
Nilipoona hii comment yako nimejiuliza watu wenye shida hiyo kosa lao nini?
Na jamaa anapesa ya kutosha, kiufupi dola zinaingia za kutosha hagusi salary yake ya 'sirikali'.
Plus ana investment zinamuingizia pesa zaidi.
Hebu nitumie no zake nimuulize🤔
 
Dates za jf vituko tupu
Nilikutana na mmoja kwanza alinikwaza alichelewa sana kufika
Halafu ni mchafu
Alikula kwa mikono anatumbukiza vidole vyote mdomoni 😬
Anatafuna nyam nyam nyam 🤤
Kiharufu cha jasho sasa 🙌

Kwakweli sikutaka kwenda mbali 🙌
Najua utasoma hii comment nisamehe bure rafiki yangu.
 
acha nije pm tuombane vizuri msamaha nimeshabadilika
 
Dates za jf vituko tupu
Nilikutana na mmoja kwanza alinikwaza alichelewa sana kufika
Halafu ni mchafu
Alikula kwa mikono anatumbukiza vidole vyote mdomoni 😬
Anatafuna nyam nyam nyam 🤤
Kiharufu cha jasho sasa 🙌

Kwakweli sikutaka kwenda mbali 🙌
Najua utasoma hii comment nisamehe bure rafiki yangu.
Huyu nishamjua!😆
 
Back
Top Bottom