First date yako ilikuwaje? Nini kilikushangaza?!

First date yako ilikuwaje? Nini kilikushangaza?!

Hii branding imekaa kimkakati mno,.location umechagua wewe, eneo la kufika umewahi wewe kabla ya jamaa, vinywaji umeandaa, muhudumu umemuandaa wewe, zawadi sijui umeandaa wewe pia. Sasa hapo uanamke wako upo wapi? Mbona ni kama wewe ndo ulimtongoza mshkaji hivyo ikabidi wewe ndo uwajibike kwa kila kitu.
Mwanamke upokelewe bhana, jamaa akuone kwa mbali unavokuja taratibu, akuthaminishe ulivyovaa, ufike jamaa akwambie umependeza, akuvutie kiti nyuma kidogo ukae vizuri, jamaa aite "muhudumu njoo umsikilize bibie hapa" Sasa mimi nitakwambiaje umependeza wakati ndio nimekukuta hata sijaona mwendo wako vzuri ukitembea, sijaona unavorusha mkono ukitembea, nk. We ni mshamba wa date kama sio much know ukaua vibe. Tangazo hujali-edit vizuri sistaduu mchovu
 
Hajamanisha hivyo! Wanaume wengi wanakutana na mtu kwa kumjaribu, ukimchekea kidogo tu imo, sasa lazima mwanamke aoneshe msimamo wake kuwa yuko tofauti kidogo anahitaji jambo serious na sio huo ushenzi alokuja nao mwanaume au kijana mjinga!
Sawa hatukatai jamaa kaja na nyege mkononi.

Ila bidada alitakiwa amkate ngebe kwa kumwambia hayuko sawa leo kwenda chumban.
simple.

Sasa ameshaona mwanaume hayuko na confidence . Ila bado unamletea kilinge kingine.
For what?. Ilikuwa na ulazima?.

Mwanaume pia unajua ameondoka na lipi kichwan kwake?.
Kuwa amekomolewa.
Wote wameshindwana.
Pengne Manzi inajua yenyewe ndio imeanza kumpa block. Kumbe na jamaa alivyotoa tu gar nae alimpiga block. Kote kimeumana 😊😊😊😊.

Wote wanaume kwa wanawake Tujifunze ni nini first date ina hitaji.
 
Tofauti sana na mimi, mimi makuzi yangu nimekulia porini baba yangu ni mmoja wa askari waandamizi RPF, baadae akawa ni shushusu na mtu wa mipango huko KIVU, tumeishi huko kabla sijaamua kuingia Tanzania kwa mama, kwahiyo pesa yangu mimi ni ya mambo ya kihuni huko porini kwenye madini, ndio maana nakwambia nikiingia huko ni heshima moja kwa moja, sijakulia kwenye mfumo wa kawaida wa maisha ya mabinti wa kitanzania, mimi type ya tofauti kabisa.
Kwa Staili hii sioni Wife Material hapa.
 
Hii branding imekaa kimkakati mno,.location umechagua wewe, eneo la kufika umewahi wewe kabla ya jamaa, vinywaji umeandaa, muhudumu umemuandaa wewe, zawadi sijui umeandaa wewe pia. Sasa hapo uanamke wako upo wapi? Mbona ni kama wewe ndo ulimtongoza mshkaji hivyo ikabidi wewe ndo uwajibike kwa kila kitu.
Mwanamke upokelewe bhana, jamaa akuone kwa mbali unavokuja taratibu, akuthaminishe ulivyovaa, ufike jamaa akwambie umependeza, akuvutie kiti nyuma kidogo ukae vizuri, jamaa aite "muhudumu njoo umsikilize bibie hapa" Sasa mimi nitakwambiaje umependeza wakati ndio nimekukuta hata sijaona mwendo wako vzuri ukitembea, sijaona unavorusha mkono ukitembea, nk. We ni mshamba wa date kama sio much know ukaua vibe. Tangazo hujali-edit vizuri sistaduu mchovu
Rejea sijakulia maisha ya kawaida, most of time nimekulia kwenye mapori ya jeshi, huko huduma zote hutolewa na wanawake , huwezi kujuta mwanaume anaandaa chochote, lakini pia uwezo ninao wa kufanya chochote kukipa uzito ninachokitaka. Na yes nikikupenda naweza kukuhudumia kwakuwa ndio nilivyolelewa, kingine sina haiba laini ya mikogo ya kike, mimi ni mtoto wa nyoka. Sio laini laini.
 
Tulipanga siku, muda na hoteli ya kukutana, kama mnavyojua tena kunakuwa na hisia mchanganyiko, hamu ya kuonana, hofu na vitu kama hivyo.
Siku ya siku nikajiandaa mapema nilifika saa nzima kabla ya muda tuliopanga kukutana ili kuweza kuyasoma na kuyazoea mazingira ya hapo.
Sikujiandaa tu kwa mavazi na urembo, nilibeba pia fedha za kutosha shilingi ya Tanzania na faranga ya Rwanda kwahiyo nilikuwa full package.
Nikafika nika book eneo la V.I.P lakini kama haitoshi niliomba muhudumu mmoja awe karibu muda wote nitakaokuwa pale ahakikishe huduma zote anatuhumia na ahakikishe nakuwa salama yaani anilinde( nililipia huduma hii). Sababu ninkwamba nakutana na mtu ambaye hatujawahi kuonana na pia sijui tabia zake.
Baada ya kukamilisha yote nikaagiza kinywaji taratibu kuvuta muda niweze kumpokea " mwenzangu".
Tuliwasiliana kwa njia ya simu na alinieleza hayupo mbali anakaribia mahali nilipo muda si mrefu, na kweli baada ya dakika chache aliwasili akiwa katika gari dogo nyeupe, niliitambua kwakuwa alikuwa anakuja aliniambia nitafika hapo kwa gari nyeupe .
Baada ya kugundua muhusika ni yeye kwa heshima nilienda kumsalimia kwa kumpa mkono na kupiga goti la heshima( huwezi jua huenda ndio mume huyo😅😋).
Nikamuelekeza mahali ambapo ndio tutakaa kwa mazungumzo ( ingawa hapa alionyesha mshituko kidogo mana kulikuwa v.i.p na hakuna mtu hata mmoja zaidi ya yule dada muhudumu niliye book)

KWahiyo nikamkaribisha sehemu ya kukaa na binti akasogea hapo kwa ajili ya kuchukua oda ya vinywaji na chakula. ( mwanaume ni handsome na nakiri ana "vitu vyangu".

Kosa la kwanza: nikiona kama amepoteza kujiamini , wasiwasi na hofu vimemkumba as if hakutarajia yote haya au hakujipanga ipasavyo. Sikujali.
Tukaendelea kunywa na kula huku tukibadilishana maongezi ya hapa na pale huku nikimsoma.
Kosa la pili: hakuwa na cha maana kabisa cha kuzungumza yaani kama haelewi au akili imehama kabisa hakuwa comfotable.
Akaniuliza kwanini tusihame hapo twende tukaongelee chumbani hoteli?😅😅

Nikawaza hee... huyu umbwa anataka kuichapa leo leo😅😅" "nikawaza leo utato..ba moto"

Kosa la tatu: akakosa utulivu na heshima baada ya pombe kukolea, akawa toliet mara kwa mara na muda wote sehemu ya uume imesimama na kutuna anahangaika kubadili mikao tu😅😅 " kama umenipakia mkongo leo utajua hujui.

Muda wote sasa mada ni kunibembeleza to book chumba tuhamie ndani .
NAmi kufikia hatua hiyo nikawa nimeshamshusha thamani na kujua kwamba huyu sie niliyemtegemea. Kwamba hanifai na sio siri nilipata hasira kwasababu nilichukulia date kwa uzito mkubwa na shauku ya kukutana na mtu ambae kama ingekuwa bahati nzuri basi awe mume wangu.
Nimalizaje hasira zangu? Nikapiga simu chap kwa mashoga zangu waje nilipo, baada ya lisaa walikuwepo hapo na nikawatambulisha kinafki kwamba nipo na shemeji yenu karibuni kufahamiana.( jamaa alionyesha mshituko akanywea tulii)
Vikaangizwa vyakula hapo na pombe za kutosha, kwa fujo sana timu ikawa inashambulia bandika bandua, ( nikajisemea kama akishindwa kulipa nitalipa, lakini lazima nimuachie somo ili siku nyingine awe na heshima.vilipigwa vyombo ikaja bili ya kwanza akalipa, ikaja ya pili akalipa, tunaagiza ya tatu akawa kama amekata moto, hofu imemjaa , wasiwasi + Kutetemeka nadudu yake imepotea kutuna😅😅. Nikasema hapa ndio penyewe lazima ukome.

Baada ya kuona sasa mambo magumu akaanza kutafuta nafasi ya kujinasua amelewa chakari, akaaga aondoke tutaonana siku ingine.
Nikatoka nae nimsindikize , lakini pia nikamwabia twende nikupe zawadi yako( nilinunua ua pamoja na saa nzuri sana nilipanga nimpe) tunafika kwenye gari yangu sio kwa mshituko huo aliopata( disco 4 black lipo kama jini au shetani)😅😅( pombe imemtoka anauliza "hii yako?" Nikamwambia "eeh yangu") akaguna "duh!"
Nikamuaga hapo na kiss na hug , alipowasha na kuondoka tu nikachapa block kila mahali na ignore juu kwenye mtandao huu.
Nikarudi zangu ndani tukamalizia vinyaji tukaondoka.

Matarajio yangu : haikuwa sex wala pesa, nilitamani kufahamiana nae vizuri nikitarajia aewe mtu muhimu kwenye maisha yangu lakini tabia aliyoionyesha kwa muda mfupi ule akawa amepoteza sifa ya mtu niliyemtarajia.

Funzo kwake kama alipenda ngono zaidi haikuwa na sababu ya kuhangaika angeenda tu kununua una book hoteli unaitisha mwanamke anakuja unakula nae maisha mambo mengine yanaendelea.
Kwanini umsumbue mtu PM wiki kadhaa wakati huna cha ku offer zaidi ya tamaa ya ngono?

NIlijua ukideti humu unaweza kupata mtu wa maana😅😅😅.
Basi ndugu zangu hivyo ndio ilivyokuwa.
Sasa hapo dada hadi ukabook vip sehemu isiyo na watu, unafika saa moja kabla kusoma mazingira na unaweka hadi mlinzi karibu kwani wewe ulikuwa umeenda kufanya ujasusi unapokutana na gaidi?
 
Yes! Rejea mtoto wa nyoka ni nyoka, baba yangu ni jasusi kwahiyo hujakosea unachowaza, nimuamini mtu siku ya kwanza nikiwekewa dawa za kulevya nikarekoduwa video baba angu nitamuweka katika wakati gani? Funny boe
 
Sawa hatukatai jamaa kaja na nyege mkononi.

Ila bidada alitakiwa amkate ngebe kwa kumwambia hayuko sawa leo kwenda chumban.
simple.

Sasa ameshaona mwanaume hayuko na confidence . Ila bado unamletea kilinge kingine.
For what?. Ilikuwa na ulazima?.

Mwanaume pia unajua ameondoka na lipi kichwan kwake?.
Kuwa amekomolewa.
Wote wameshindwana.
Pengne Manzi inajua yenyewe ndio imeanza kumpa block. Kumbe na jamaa alivyotoa tu gar nae alimpiga block. Kote kimeumana 😊😊😊😊.

Wote wanaume kwa wanawake Tujifunze ni nini first date ina hitaji.
Was kilinge necessary 🤣🤣🤣

Hata hivyo sio date zote hutick mi sijaona cha ajabu hapo!
 
Hebu nioneshe nilipoandika kijana ni wa mwanaJF
Komradhi.
Nikajua ni Kijana wa JF.

Mtoa mada amesema amekutana na mwanaume hamjui na wala hajawah kumuona kabla.

Obvious wamekutana mitandaoni.
Sasa mitandao mingne ina kupa chance ya kuona sura ya mtu unaeenda kukutana nae. Except JF.

Kwahiyo nikadhan is the same na scenerio yako.

Ila pia kwenda kichwa kichwa kuonana na mtu humjui nayo inahitaji moyo.
Bora hata utumiwe picha ufichiwe sura au baadhi ya details
Kama wanavyofanya kule kwenye uzi wa ku-snap. 😊😊😊

Si ndio Seran
 
Komradhi.
Nikajua ni Kijana wa JF.

Mtoa mada amesema amekutana na mwanaume hamjui na wala hajawah kumuona kabla.

Obvious wamekutana mitandaoni.
Sasa mitandao mingne ina kupa chance ya kuona sura ya mtu unaeenda kukutana nae. Except JF.

Kwahiyo nikadhan is the same na scenerio yako.

Ila pia kwenda kichwa kichwa kuonana na mtu humjui nayo inahitaji moyo.
Bora hata utumiwe picha ufichiwe sura au baadhi ya details.

Case yangu sio mtu wa JF

Hata hivyo nilivyomuelewa kamdinyo sio kwamba hakuvutiwa na sura/muonekano , bali tabia
 
Back
Top Bottom