First date yako ilikuwaje? Nini kilikushangaza?!

First date yako ilikuwaje? Nini kilikushangaza?!

Uko kwenye radar, huwezi kumdhalilisha mwanaume humu kisa alikuwa wanapiga chafya, hiyo sio turn off, je kama alikuwa anaumwa
Sasa chafya na mafua ni udhalilishaji Godlove? 😃

Kama alikuwa anaumwa si angesubiri apone ndo aombe tutoke?

Zile chafya na the way alikuwa anavuta makamasi ni turn off kwangu mzee
 
Sasa chafya na mafua ni udhalilishaji Godlove? 😃

Kama alikuwa anaumwa si angesubiri apone ndo aombe tutoke?

Zile chafya na the way alikuwa anavuta makamasi ni turn off kwangu mzee
Ila wewe jamaa na lafudhi yako hii..

Sawa brother, ila unngemuuliza na kumdadisi zaid huenda ungetambua nini kinamsibu.
 
First date nilipelekwa beach fulani kaliiii hapa Dar
Ilikuwa usiku

Shida ya yule kijana ni mafua, sijui ana allergy ya upepo wa bahari yule
Alikuwa na mafua mixer chafya za kutosha kiasi kwamba hisia zangu zikapotea kwa zile chafya

Enwei, nilipiga chini usiku ule ule
Huenda mafua yalimpata kutokana na harufu yako ya Perfume au cozya upepo wa baharini,ni jambo la kawaida hilo ila hua ni mafua ya muda mfupi tu,

Anyway mimi sina mafua,nakuja PM.
 
Hata kama ulimwona miyeyusho. Ndoa umuitie marafiki zako wanywe kwa gharama zake? Mambo gani haya?
Hata wewe hufai.
Potelea mbali, atajilipa kwenye saa niliyompa kama zawadi , imegharimu pesa nyingi tu kama sawa na bili alizolipia
 
Tulipanga siku, muda na hoteli ya kukutana, kama mnavyojua tena kunakuwa na hisia mchanganyiko, hamu ya kuonana, hofu na vitu kama hivyo.

Siku ya siku nikajiandaa mapema nilifika saa nzima kabla ya muda tuliopanga kukutana ili kuweza kuyasoma na kuyazoea mazingira ya hapo.

Sikujiandaa tu kwa mavazi na urembo, nilibeba pia fedha za kutosha shilingi ya Tanzania na faranga ya Rwanda kwahiyo nilikuwa full package

Nikafika nika book eneo la V.I.P lakini kama haitoshi niliomba muhudumu mmoja awe karibu muda wote nitakaokuwa pale ahakikishe huduma zote anatuhumia na ahakikishe nakuwa salama yaani anilinde( nililipia huduma hii).

Sababu nikikwamba nakutana na mtu ambaye hatujawahi kuonana na pia sijui tabia zake.

Baada ya kukamilisha yote nikaagiza kinywaji taratibu kuvuta muda niweze kumpokea " mwenzangu".

Tuliwasiliana kwa njia ya simu na alinieleza hayupo mbali anakaribia mahali nilipo muda si mrefu, na kweli baada ya dakika chache aliwasili akiwa katika gari dogo nyeupe, niliitambua kwakuwa alikuwa anakuja aliniambia nitafika hapo kwa gari nyeupe .

Baada ya kugundua muhusika ni yeye kwa heshima nilienda kumsalimia kwa kumpa mkono na kupiga goti la heshima( huwezi jua huenda ndio mume huyo😅😋).

Nikamuelekeza mahali ambapo ndio tutakaa kwa mazungumzo ( ingawa hapa alionyesha mshituko kidogo mana kulikuwa v.i.p na hakuna mtu hata mmoja zaidi ya yule dada muhudumu niliye book)

KWahiyo nikamkaribisha sehemu ya kukaa na binti akasogea hapo kwa ajili ya kuchukua oda ya vinywaji na chakula. ( mwanaume ni handsome na nakiri ana "vitu vyangu".

Kosa la kwanza: nikiona kama amepoteza kujiamini , wasiwasi na hofu vimemkumba as if hakutarajia yote haya au hakujipanga ipasavyo. Sikujali.

Tukaendelea kunywa na kula huku tukibadilishana maongezi ya hapa na pale huku nikimsoma.
Kosa la pili: hakuwa na cha maana kabisa cha kuzungumza yaani kama haelewi au akili imehama kabisa hakuwa comfotable.

Akaniuliza kwanini tusihame hapo twende tukaongelee chumbani hoteli?😅😅

Nikawaza hee... huyu umbwa anataka kuichapa leo leo😅😅" "nikawaza leo utato ba moto"

Kosa la tatu: akakosa utulivu na heshima baada ya pombe kukolea, akawa toliet mara kwa mara na muda wote sehemu ya uume imesimama na kutuna anahangaika kubadili mikao tu😅😅 " kama umenipakia mkongo leo utajua hujui.

Muda wote sasa mada ni kunibembeleza to book chumba tuhamie ndani

NAmi kufikia hatua hiyo nikawa nimeshamshusha thamani na kujua kwamba huyu sie niliyemtegemea. Kwamba hanifai na sio siri nilipata hasira kwasababu nilichukulia date kwa uzito mkubwa na shauku ya kukutana na mtu ambae kama ingekuwa bahati nzuri basi awe mume wangu.

Nimalizaje hasira zangu? Nikapiga simu chap kwa mashoga zangu waje nilipo, baada ya lisaa walikuwepo hapo na nikawatambulisha kinafki kwamba nipo na shemeji yenu karibuni kufahamiana.( jamaa alionyesha mshituko akanywea tulii)

Vikaangizwa vyakula hapo na pombe za kutosha, kwa fujo sana timu ikawa inashambulia bandika bandua, ( nikajisemea kama akishindwa kulipa nitalipa, lakini lazima nimuachie somo ili siku nyingine awe na heshima.

Vilipigwa vyombo ikaja bili ya kwanza akalipa, ikaja ya pili akalipa, tunaagiza ya tatu akawa kama amekata moto, hofu imemjaa , wasiwasi + Kutetemeka nadudu yake imepotea kutuna😅😅.

Nikasema hapa ndio penyewe lazima ukome.

Baada ya kuona sasa mambo magumu akaanza kutafuta nafasi ya kujinasua amelewa chakari, akaaga aondoke tutaonana siku ingine.

Nikatoka nae nimsindikize , lakini pia nikamwabia twende nikupe zawadi yako( nilinunua ua pamoja na saa nzuri sana nilipanga nimpe) tunafika kwenye gari yangu sio kwa mshituko huo aliopata( disco 4 black lipo kama jini au shetani)😅😅( pombe imemtoka anauliza "hii yako?" Nikamwambia "eeh yangu")

Akaguna "duh!"

Nikamuaga hapo na kiss na hug , alipowasha na kuondoka tu nikachapa block kila mahali na ignore juu kwenye mtandao huu.

Nikarudi zangu ndani tukamalizia vinyaji tukaondoka.

Matarajio yangu: Haikuwa sex wala pesa, nilitamani kufahamiana nae vizuri nikitarajia aewe mtu muhimu kwenye maisha yangu lakini tabia aliyoionyesha kwa muda mfupi ule akawa amepoteza sifa ya mtu niliyemtarajia.

Funzo kwake kama alipenda ngono zaidi haikuwa na sababu ya kuhangaika angeenda tu kununua una book hoteli unaitisha mwanamke anakuja unakula nae maisha mambo mengine yanaendelea.
Kwanini umsumbue mtu PM wiki kadhaa wakati huna cha ku offer zaidi ya tamaa ya ngono?

NIlijua ukideti humu unaweza kupata mtu wa maana😅😅😅

Basi ndugu zangu hivyo ndio ilivyokuwa.
Ungempa aichape tu, maana nawe ulikuwa na hamu.
 
Nina sex pale ninapojiridhisha kwamba unastahili kunikula, situmiagi kinga kwahiyo kuna kipengeke cha vipimo kabla kwahiyo ni ngumu sana kunila kwa mapema lazima niwweke vipengele
Kupima unaona ni kipengele?, kunagharimu nini zaidi ya muda?
 
Huenda mafua yalimpata kutokana na harufu yako ya Perfume au cozya upepo wa baharini,ni jambo la kawaida hilo ila hua ni mafua ya muda mfupi tu,

Anyway mimi sina mafua,nakuja PM.

Crushie unaweza kuamini natumia deodorant tu siku hizi? Unajua bhana

Enwei, mafua yake the way alikuwa anayavuta kama mtoto ndio turn off yenyewe

Twende beach kwanza tuone kama huna mafua
 
M
Kupima unaona ni kipengele?, kunagharimu nini zaidi ya muda?
MUda huo huo ndio una gharama! Tunatakiwa tupate muda mzuri kufahamiana kabla hatujafikia kilele cha mapenzi
 
Tuikutana kwenye basi safari ya Dar-Arusha. Mkaka mrefu mweusi halafu hb kiasi (mambo nipendayo). Mie nikisafiri sio mtu wa kuhangaika na niliyekaa nae. Nikishasalimia basi ear phone zangu natulia au nasinzia.

Kufika moshi ndio tukaanza kuzungumza baada ya kuniuliza kitu maana mie kidogo nilikuwa mwenyeji. Mwisho wa safari tukabadilishana namba za simu.

Baada ya kuwasiliana kwa miezi mitatu tukapanga kuonana kwa first date Dar hotel fulani hivi. Nilitupia nikapendeza sana. Ile kufika akawa na kazi ya kusifia tu. Tukapata chakula na vinywaji then kufika mida fulani nikamuaga, akaomba niende nae kwake tukalale. Nikamwambia asiwe na haraka maana mambo mazuri hayataki haraka. Hivyo tujipe muda zaidi wa kufahamiana.

Episode 3 ndio ilikuja kunimaliza nguvu , nilivyotoka hapo ndio ikawa nitolee. Alinitafuta sikupokea wala kujibu msg.
Tunda ulimpa ama hukumpa?
 
Back
Top Bottom