First date yako ilikuwaje? Nini kilikushangaza?!

😅😅😅, lakini yote haya hayakumzuia kuonyesha patterns zake kwenye haiba ya kiume( kujiamini, kuwa mstaarabu, uadilifu) , sikumzuia, ningeyaona hayo mapema hadithi ingebadilika, kama nilivyosema hapo awali mwanaume anahudumiwa na mwanamke kama mtoto na si vinginevyo.
Sasa ulicho kifanya hapo ni kubeba majukumu yake, lazima a feel insecure
 
Kudeka? Unadhani kwanini date imefail? Unadhani imefeli sababu jamaa kadindisha mwanzo mwisho? Na kama aliona jamaa kadinda kwanini moyoni asijisemee kwamba "jamaa limenielewa hili" halafu aset sasa mitego yake bila kuharibu momentum. Acheni ushamba nyie
Ningejuaje amenielewa? Sex huwa ni hatua ya mwisho kabisa... na ningekuaje kama amepaka mkongo unamuumbua?
 
😅😅😅, lakini yote haya hayakumzuia kuonyesha patterns zake kwenye haiba ya kiume( kujiamini, kuwa mstaarabu, uadilifu) , sikumzuia, ningeyaona hayo mapema hadithi ingebadilika, kama nilivyosema hapo awali mwanaume anahudumiwa na mwanamke kama mtoto na si vinginevyo.
Bado sister, ndio maana inaitwa first date, kusomana kujuana, kufahamiana. Huwez kumjudge mtu at first sight, mpe nafasi uone uwezo wake kwanza mana kila mmoja ana turn off zake hata we unazo pia no offence. Hujadili na jamaa kama mtu mzima
 
Sasa ulicho kifanya hapo ni kubeba majukumu yake, lazima a feel insecure
REjea nilibeba majukumu ya awali ( maandalizi) baadae nilimuachia show masaa mawili tu akaaga, means matarajio yake yalikywa tofauti, na mwanaume huonyesha uanaune pale mambo yanapokuwia magumu, biki zilipokuwaa zinakuja dabodabo akaaga, angeweza kunitex kwamba hapa nimeushiwa tunafanyaje, nilikuwa na pesa nyingi francs ningechenji na kama unayojua faranga ipo juu yaani hadi kungekucha ningewamudu
 
Ningejuaje amenielewa? Sex huwa ni hatua ya mwisho kabisa... na ningekuaje kama amepaka mkongo unamuumbua?
Kwa sabab mwanaume hasimamishi hovyo bila kuwa na kitu kitu kinachomfanya adinde. Dada mkongo haufanyi mtu adinde, unafanya kichwa kipunguze sensitivity tu. Mpe shoga mkongo uone kama atasimamisha. Nikidindiaha mbele Yako ujue kina kitu nmeona kwako kimenivutia hadi control imenishinda. Hamtuelewi kumbe bado
 
REjea nilibeba majukumu ya awali ( maandalizi) baadae nilimuachia show masaa mawili tu akaaga, means matarajio yake yalikywa tofauti, na mwanaume huonyesha uanaune pale mambo yanapokuwia magumu, biki zilipokuwaa zinakuja dabodabo akaaga, angeweza kunitex kwamba hapa nimeushiwa tunafanyaje, nilikuwa na pesa nyingi francs ningechenji na kama unayojua faranga ipo juu yaani hadi kungekucha ningewamudu
Nasubiri mualiko wa date hio 😀😀😀
 
Kwa sabab mwanaume hasimamishi hovyo bila kuwa na kitu kitu kinachomfanya adinde. Dada mkongo haufanyi mtu adinde, unafanya kichwa kipunguze sensitivity tu. Mpe shoga mkongo uone kama atasimamisha. Nikidindiaha mbele Yako ujue kina kitu nmeona kwako kimenivutia hadi control imenishinda. Hamtuelewi kumbe bado
TAbia za fisi hizo, kama nina ukimwi mkali najifanya na mimi nina upwiru nakubana bila kinga nahakikisha tunachubuka kisawasawa nikupake vizuri, mwanaume lazima uwe kna kanuni za kujilinda usiendekeze ngono bila mpangilio
 
biki zilipokuwaa zinakuja dabodabo akaaga, angeweza kunitex kwamba hapa nimeushiwa tunafanyaje, nilikuwa na pesa nyingi francs ningechenji na kama unayojua faranga ipo juu yaani hadi kungekucha ningewamudu
Hii ni mindset ya Mwanamke mwenye ulimbukeni.. Huwezi kuwa na nia nzuri na mtu alafu ukaanze kujaribu kwa ujinga wa namna hii
 
TAbia za fisi hizo, kama nina ukimwi mkali najifanya na mimi nina upwiru nakubana bila kinga nahakikisha tunachubuka kisawasawa nikupake vizuri, mwanaume lazima uwe kna kanuni za kujilinda usiendekeze ngono bila mpangilio
Unachoongea ni kweli lakini kwanini wewe huwa unaanzisha harakati za kuwatafuta na kuwaingiza kwenye mikenge? Kwanini usitulie mwanaume sahihi akakutafuta mwenyewe?
 
Back
Top Bottom