Finland waanza mbinu za kuepuka gesi ya Urusi, jameni Putin anazidi kuzika nchi yake kiuchumi na kijeshi

Angalia anguko la high tech πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»

F35 FAMBA TU au niendelee kukuorodheshea zingine 😊😊😊

Miafrika bana, uvivu ndio zetu, yaani umekaa hapo kufurahia changamoto za kiteknolojia, ni mambo ya kawaida hayo, kwa taarifa yako F-35 zimenunuliwa balaa na ndio the best na zinazidi kuboreshwa, tatizo hiyo dini yenu ya mwarabu huwafanya muwe wazembe sana hata kwenye kutumia akili.
 
"The best" hivi unaakili? Ndege zaidi ya 8 zimeanguka kwenye mazoezi ndani ya mwaka unaita ze best?
 
Changamoto za kitaalam kwenye mfumo mpya ni jambo la kawaida bwana ustaadhi, hizo ndege zimeuzwa zaidi ya 300 na kuna ukisoma uwezo wake yaani ndio best tena kumi tu zina uwezo wa kuchakaza uarabuni kote.
 
Mfumo mpya? Maiden flight ilikuwa mwaka gani? US anahua sana kupromote bidhaa zake ila uwanjani hakuna kitu angalia HIMARS hakuna any positive effects imeleta pale Ukraine ndege vita za Russia zinatamba hadi Kyiv
 
Endelea kuota kama kawaida yako

Kwa namna ule msafara wa kwenda kupiga Kyev ulivyofyekwa na wabeba javelin, nilidhani naota, maana mwanzo nilikua najua Urusi ni baba lao, ila kumbe ni bonge la useless.
 
Mfumo mpya? Maiden flight ilikuwa mwaka gani? US anahua sana kupromote bidhaa zake ila uwanjani hakuna kitu angalia HIMARS hakuna any positive effects imeleta pale Ukraine ndege vita za Russia zinatamba hadi Kyiv

Hehehe umehamia kwenye HIMARS, siku nyingine usithubutu kubeza F-35, anyway, sasa ndio umekuja penyewe, HIMARS chache tu zimemliza urusi mpaka ameishiwa pumzi hadi anaokoteza vijana vijiweni waende wakapigane, na mpaka sasa Mrusi hajafaulu kupiga HIMARS hata moja licha ya kujinasibu ambavyo amezipiga.
Waarabu wenu wanatamani sana kuziagiza, na hapo ujue kuna madude mengi tu zaidi ya HIMARS hayajapelekwa Ukraine, hiyo ilikua kionjo tu.
 
Hizo F35 ni Israel pekee aliyezitumia kwenye combat tena Syria ambapo hata f14 tomcat na f15 eagle zinatumika saana maana hakuna maajabu sasa kama kwenye mazoezi 8+ zimeanguka unadhani kuna nini hapo? Niendelee kukuoa orodha ya zingine au hizo5 zinakutosha? Nimekuuliza zimeanza operations mwaka gani hadi uite mfumo mpya?
 
πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ» nyingine hiyo mwezi wa kumi
 
Attachments

  • Screenshot_20221231-073910_Chrome.jpg
    Screenshot_20221231-073910_Chrome.jpg
    224 KB · Views: 1
Hii F35A October imekula mzinga.
Juzi F35B πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… imeanguka na hizi wanaziangusha wenyewe US Mazoezini sasa wameamua kuzi-GROUND Endelea kusifia UJINGA
 
Still want more?
 
Attachments

  • Screenshot_20221231-074357_Google.jpg
    Screenshot_20221231-074357_Google.jpg
    175.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20221231-074727_Chrome.jpg
    Screenshot_20221231-074727_Chrome.jpg
    312.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20221231-075402_Chrome.jpg
    Screenshot_20221231-075402_Chrome.jpg
    360.2 KB · Views: 1
  • Screenshot_20221231-075438_Google.jpg
    Screenshot_20221231-075438_Google.jpg
    175 KB · Views: 1
Hizo F35 ni Israel pekee aliyezitumia kwenye combat tena Syria ambapo hata f14 tomcat na f15 eagle zinatumika saana maana hakuna maajabu sasa kama kwenye mazoezi 8+ zimeanguka unadhani kuna nini hapo? Niendelee kukuoa orodha ya zingine au hizo5 zinakutosha? Nimekuuliza zimeanza operations mwaka gani hadi uite mfumo mpya?

Kwa taarifa yako zinatmika na mataifa kumi bora kijeshi, aina ya mataifa ambayo hufanya thorough due diligence kabla kununua zana zozote, maana wana akili sio kama waarabu wenu.
F35 ndio replacement ya mindege yote ya kivita.
 
πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ» nyingine hiyo mwezi wa kumi

Hizi sio issue, miradi mikubwa kama F35 huwa tunazingatia mambo mengi sana, it's a successful project.
 
Ujerumani ndio biggest importer, hadi Ujerumani na Ulaya yote itakapopata mbadala wa gesi ndipo Putin atakua kapata pigo
Hili litachukua muda, miaka 5 au zaidi
Kasome habari mpya imetolewa jana na Germany
 
Unaongea huku moyo unakusuta

Najivunia sana kwa Marekani kuwa na madude kama F35, maana yanatumika kuogopesha waarabu na waajemi machizi wa kidini, wakiachiwa waongoze dunia tumeisha.
 
Kwa taarifa yako zinatmika na mataifa kumi bora kijeshi, aina ya mataifa ambayo hufanya thorough due diligence kabla kununua zana zozote, maana wana akili sio kama waarabu wenu.
F35 ndio replacement ya mindege yote ya kivita.
Elewa unapoambiwa sio unakaza fuvu, hizo nchi zingine zipi zinavita?
 
Attachments

  • Screenshot_20221231-094427_Google.jpg
    Screenshot_20221231-094427_Google.jpg
    143.2 KB · Views: 1
Elewa unapoambiwa sio unakaza fuvu, hizo nchi zingine zipi zinavita?

Hizo nchi za kidini za waarabu zingekua na madude au akili kama Marekani, tungeisha hii dunia.... Ni vyema sana kwa Marekani kumiliki madude kama haya ya F35 na HIMARS na mengine mengi ambayo ni siri yao, at-least dunia inatulia.
 
Back
Top Bottom