Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,284
- 40,897
Bila hayo maelekezo atakuwa amekwama kabisa,asije akaleta Range maana tumezizoeaSawa kaka mwenyewe ameshasikia hili😀
Bila hayo maelekezo atakuwa amekwama kabisa,asije akaleta Range maana tumezizoeaSawa kaka mwenyewe ameshasikia hili😀
😅😅😅😅Their motto should sound like, where we dare to fall and love unknowingly.
Tuna kuadhibu Kama kuku was kafara😂😂nimewakosea nini 😂
mnakataliwa huko, hasira mnaniletea mimi 😂Tuna kuadhibu Kama kuku was kafara😂😂
Hiyo crown si ndiyo itachukua 10yrs[emoji3][emoji3]
kwani haji manara kakukosea nn?nimewakosea nini 😂
😂😂😂😂😂😆😆😆😆😆😆😆😆
Babe anajua humu warogi wengi…
Amesema ananiweka kwnye billboard pale daslama hakuna sehem ya ku comment
Joined 25 may 2019, 4 years [emoji848] sawasawa.Sijui mamna yakumtag mtu mkuu. Naomba nifundishe
geniusUnaweza kuprovide hizo financial services kwake Ili awe your Darlin? Au umejikoki tu. Kama wewe ni Very poor Stayfar from yeye.
kama umemind TUKANA UONE
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38] sasa wewe babu tena na mjukuu wako wapi? Akitaka jogging kidogo jioni km 5 utaweza?
Basi sawa imeishaa hiyooo harusi ipoooPopote unapotaka wewe tu! Twende hata huko kwa katekista au lwa Father.Kwanza hapa nina mlezi wangu zangu father
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mzee wa upako [emoji23][emoji23]
Mimba si yako wee hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani ni kweli unataka kuolewa...Na hiyo mimba mwenyewe yupo wapi...Kama katangulia cheti cha kifo kipo na kaburi lipo wapi![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na komunio na kipaimara utakua wee udugu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe uduguu mu RC mwenzangu! mtoto wenu wa kwanza mama wa ubatizo nipo hapa nimejaa [emoji3059]
Sasa baba tamu haelewekii na moyo wangu uko kwakee, sasa nikitegemea yeye afu akaja kuzingua mwshoni mbna jau, acha nicheze betting [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nyieeeee hao wanaume watauana