financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,191
- 43,536
Inasemaje hiyo barua; am here😀financial services Kuna barua yako nimeletewa toka serikali ya mtaa 😀😀
Inasemaje hiyo barua; am here😀financial services Kuna barua yako nimeletewa toka serikali ya mtaa 😀😀
Uifuate hapa Tarime,ni ujumbe mzuri 🤣Inasemaje hiyo barua; am here😀
Aiseee 😁😀, no comment. Ila chawa wako nitakuja kuchora hata kwa mkaa😁😁 Darlin😆😆😆😆😆😆😆😆
Babe anajua humu warogi wengi…
Amesema ananiweka kwnye billboard pale daslama hakuna sehem ya ku comment
Sasa Muraa nitoke Sumbawanga hadi Tarime, ujumbe utakua umeshaexpire sasa😀Uifuate hapa Tarime,ni ujumbe mzuri 🤣
Madam Hebu tupe hints za jibu la kijana wa nanjilinjii 😁😁Inasemaje hiyo barua; am here😀
Mbona nimemjibu vizuri tu jamani 😝Madam Hebu tupe hints za jibu la kijana wa nanjilinjii 😁😁
Aah IST hadi leo haijafika 5yrs now😀
Siku hizi kuna Ndege muraaa,pale Musoma kuna kiwanja,njoo na praiveti jet.......Sasa Muraa nitoke Sumbawanga hadi Tarime, ujumbe utakua umeshaexpire sasa😀
Aah IST hadi leo haijafika 5yrs now[emoji3]
Hiyo crown si ndiyo itachukua 10yrs😀😀Kadogo kale
Me nataka nku bless crown babe[emoji28]
Hebu fanya kunitag hilo jibu, kabla sijampeleka kwa kamati ya wanyonge gamboshi😁😁Mbona nimemjibu vizuri tu jamani 😝
Sawa ntakuja na ndege wangu faster(mnyama) 😀Siku hizi kuna Ndege muraaa,pale Musoma kuna kiwanja,njoo na praiveti jet.......
huyu dogo snitch balaa. Aisee mshamba_hachekwi sio chawa ni kunguni kabisa***** 😂😆, snitch wa Karne, shekpe mshamba_hachekwi
Ila huu ujumbe wa hapa jamvini, mwambie kabisa bila kutoa rushwa kwangu amekwama..........akiweza atume chopa ikufuate sumbawanga ndiyo tumfikirie kidogo 🤣🤣Sawa ntakuja na ndege wangu faster(mnyama) 😀
Yaani anakandiaa kinyama, Jana kaniandama kwenye uzi wangu hatari. Mara ohh nimekuwa😂😂huyu dogo snitch balaa. Aisee mshamba_hachekwi sio chawa ni kunguni kabisa
Huyo Ni mzimu mwenzetu, SI ndio financial services 😁😁Upendo wa kweli hauangalii hayo mamy.
nimewakosea nini 😂huyu dogo snitch balaa. Aisee mshamba_hachekwi sio chawa ni kunguni kabisa
Sawa kaka mwenyewe ameshasikia hili😀Ila huu ujumbe wa hapa jamvini, mwambie kabisa bila kutoa rushwa kwangu amekwama..........akiweza atume chopa ikufuate sumbawanga ndiyo tumfikirie kidogo 🤣🤣