Financial services popote ulipo nakupenda sana

Financial services popote ulipo nakupenda sana

Kitendo cha kutomtag mlengwa kimetudhihirishia wazi kuwa wewe ni DOMO ZEGE, halafu una tongoza ya kilokole sana mkuu.
 
Habari za muda huu ndugu zangu

Msema Kweli ni mpenzi wa Mungu,

Ndugu zangu mimi ni kijana ambae sijaoa na wala sina mtoto kabisa ila nimevutiwa sana na huyu bi dada anaeitwa financial services kwa kweli na ninampenda haswa

Nimekua nikifatilia sana comment zake niza heshima na adabu tele naona kabisa huyu anajielewa sana na nimevutiwa sana kuwa nae katika maisha ya mume na mke

Popote ulipo financial Services mamy Mungu akulinde pia naomba ujue nakupenda sana na kama bado hujaolewa nipo teyari nikuoe uwe mke wangu halali na mama wa watoto tutakao jaliwa na Mwenyezi Mungu

Nawasilisha ndugu zangu
Mkuu nikupe pole umesha chelewa...
Jimbo limesha chukuliwaa🤓🤓🤓🤓🤓
 
Back
Top Bottom