Financial services popote ulipo nakupenda sana

Financial services popote ulipo nakupenda sana

Kaka kama jina lake linavosomeka lazma ue vzr ki financial af yeye ndo aje kufanya iyo service ila kama upo kama sisi pangu pakavu tia mchuzi utapost ayo ma uzi humu had utachoka
Jamani 😀😀 jina lisikutishe mkuu
 
kuna barua kaandikiwa cocastic uzi umenipotea alie uona anitagi huku 😂, nimeishia kusoma tu acha ulimwengu ujue wakati nacheka nika reload😩
 
kuna barua kaandikiwa cocastic uzi umenipotea alie uona anitagi huku [emoji23], nimeishia kusoma tu acha ulimwengu ujue wakati nacheza nika reload[emoji30]
Kheeeeeh huo uziii uko wapiiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna watu ni wapumbavu kinyama sijawahi ona. Get outside touch some grass goddamnit!
 
Mtoa mada njoo inbox nikupe
A to z zake..niliwahi kukutana nae longtime time ago..kipindi hicho bado nipo ni job seeker
Alinipaga mchongo nimtafutie ishu flan maeneo ya riverside by that time na yeye ndio alikua amepata mchongo tu after kutoka chuo mitaa ya vingunguti.
Ila ni wale gal wa kichuga chuga hapendi mbamba mingi
.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom