Financial services popote ulipo nakupenda sana

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Habari za muda huu ndugu zangu

Msema Kweli ni mpenzi wa Mungu,

Ndugu zangu mimi ni kijana ambae sijaoa na wala sina mtoto kabisa ila nimevutiwa sana na huyu bi dada anaeitwa financial services kwa kweli na ninampenda haswa

Nimekua nikifatilia sana comment zake niza heshima na adabu tele naona kabisa huyu anajielewa sana na nimevutiwa sana kuwa nae katika maisha ya mume na mke

Popote ulipo financial Services mamy Mungu akulinde pia naomba ujue nakupenda sana na kama bado hujaolewa nipo teyari nikuoe uwe mke wangu halali na mama wa watoto tutakao jaliwa na Mwenyezi Mungu

Nawasilisha ndugu zangu
 
Habari za muda huu ndugu zangu

Msema Kweli ni mpenzi wa Mungu...
Kijana wa kukurupuka

1 unamfahamu huyu financial service

2 unauhakika yuko single ?

3 kama yuko single ulishawahii kumtafuta private mkaongea?

4 kama mliongea mliishia wapii ,au ndo kuja kuweka uzi ili ajue?

5 kama hujawahii kumfata private ,atakuchukuliaje kuja kusaka uzi moja kwa moja bila yeye kujua private

Nawasilishaa
 
Back
Top Bottom