Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,241
- 111,208
Kosa la mleta mada ni lipi?
🤣🤣🤣🤣🤣Ndio ni wao nimewaomba waufute kwakuwa nimeaibika sana! Yani maumivu ya kukataliwa pamoja na kero za maneno ya watu...That was to humiliation...Umeniacha uchi adharani kwa sababu ya kuongea ukweli wa moyo wangu vile ninavyokupenda Clepatina tafadhali nifikirie tena naomba!
Vijana ushamba unawasumbua et! Shida nae malegend ya humu yanatoa story za kubanduana kama kitu kirahis as if ukitaka kula mzigo unaita tu unashikisha ukuta binti wa watu! Sasa vijana wanaona bora kulipuka labda na wao watapata shuhuda za kuleta huku😅😅😅😅😅 mmekumbwa na nini? Mpaji Mungu 🤔🤔🤔🤔
Hii ni comment ya hapa! Isije kua PM mambo yapo mukidi mukideeee ni mwende wa miamala na twanga fotoooo waaah!Usichukulie mambo ya hapa kwa usirias bestie angu.
Warembo wako wengi sana hapa relax wakati wa Mungu ukifika utapata tu kama kweli uko serious🙏
Mim tayar sikufai mana moyo wangu ushatekwa na mtu mwingine.Nikimuacha huyo ili niwe ma wewe si hata wewe utaniona mwanamke wa hovyo bestie🙏.
😂😂😂😂😂😂 jitahidini mnaweza kutoboa...Vijana ushamba unawasumbua et! Shida nae malegend ya humu yanatoa story za kubanduana kama kitu kirahis as if ukitaka kula mzigo unaita tu unashikisha ukuta binti wa watu! Sasa vijana wanaona bora kulipuka labda na wao watapata shuhuda za kuleta huku
Mpaka wameyaleta humu means PM zimefloat machozi jasho na damu😁😁😁watu wapo serious
Wewe unaona utani halafu tunamkehehi sana mshikaj IamBrianLeeSnr ila kweli naona kabisa anampenda Clepatina. Sema tu kwa sababu mnazingua hapati mafasi. .🤣🤣🤣🤣🤣
Ningekua karibu yako Gily ndg yako angenisamehe...nikuwashe vibao 5 vya nguvu akili ikukae😂
Vibao tena mkuu! Eeeh! Kwani nimejichanganya wapi tena broh!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ningekua karibu yako Gily ndg yako angenisamehe...nikuwashe vibao 5 vya nguvu akili ikukae😂
Yaaan nimfungulie mtu thread? 🤣🤣🤣Yaan nimewasha Pc serious npo natype ntakua kichaa😂😂😂😂😂😂 jitahidini mnaweza kutoboa...
Kweli hili ni sahihi kabisa...Wasipotongozwa wanalaumu, wakitongozwa yani full kuringiana...Aargh! Hata hawajui wanataka nini!?Wewe unaona utani halafu tunamkehehi sana mshikaj IamBrianLeeSnr ila kweli naona kabisa anampenda Clepatina. Sema tu kwa sababu mnazingua hapati mafasi. .
Tatizo wasichana walio humu ndani wakitamkiwa wanapendwa wanaona ngono tu kichawa. Lakini si kweli kwa sababu lazima mtake kujuana na kufanya dates ili ijulikane kama mna future. Sasa humu sijui ni akili za mtandaoni wanaona sijui vipi siwezi waelezea. Huwezi jua upande wako wa pili uko wap, just need to get to know someone hayo ya kutembea nao wanayawaza wao...
Nakuunganisha na IamBrianLeeSnrWewe unaona utani halafu tunamkehehi sana mshikaj IamBrianLeeSnr ila kweli naona kabisa anampenda Clepatina. Sema tu kwa sababu mnazingua hapati mafasi. .
Tatizo wasichana walio humu ndani wakitamkiwa wanapendwa wanaona ngono tu kichawa. Lakini si kweli kwa sababu lazima mtake kujuana na kufanya dates ili ijulikane kama mna future. Sasa humu sijui ni akili za mtandaoni wanaona sijui vipi siwezi waelezea. Huwezi jua upande wako wa pili uko wap, just need to get to know someone hayo ya kutembea nao wanayawaza wao...
Uko soft sana unanitia aibu😂😂😂Vibao tena mkuu! Eeeh! Kwani nimejichanganya wapi tena broh!🤣🤣
Man! That lady has someone after all, She has already told me before but I was just wanna make sure of her words if was real or I should keep on hoping suddenly she stands with her words and I believe her indeed 😞🥺😞Nakuunganisha na IamBrianLeeSnr
Nasema pumbafu senu kwa kichaga.
Jf ina akina dada smart sana.
Ikiwa ndivyo IamBrianLeeSnr anamaanisha kwa ujinga huu bora
Apigwe chini.
NASEMAJE?
Mti mkubwa hukatwa kidogo kidogo na kwa malengo.
Kwa ujinga huu mtachezea za kichwa sana.
Tengeneza mazingira bila kushtukiwa.
Baada ya hapo hamia pm na huko usikimbilie kutongoza.
Tengeneza urafiki na sio kutanguliza
Sijui Nakupenda na blaablaa.
Mwishowe...........jinga sana nyie wavulana😂😂😂
Sasa nikomae vipi mkuu! And to be honestly am not that soft as you think man!🤣🤣Uko soft sana unanitia aibu😂😂😂
Komaa acha uzwazwa
You tell someone you love em. And they think all you think is going down town. But who hasn't been to down town?.I find nothing new with down town😬 Just wanna connect, share love with a beautful soul. I get it brother. Perhaps you find that someday don't lose hope. Right girl is just around the corner. .Kweli hili ni sahihi kabisa...Wasipotongozwa wanalaumu, wakitongozwa yani full kuringiana...Aargh! Hata hawajui wanataka nini!?
😆😆😆😆😆😆😆😆Mimi nasubiri thread yako, mchawi wangu.
😂
Una akili sana 👍👍👍 Attention zina wenyewe Mpaji Mungu 😎Yaaan nimfungulie mtu thread? 🤣🤣🤣Yaan nimewasha Pc serious npo natype ntakua kichaa
Humu kwangu ni kama online kijiwe😁😁😁
Hebu niache huko 😂😂😂😂😂Uliwahi kuwa jambazi la moyo wewe mtu😅
Ila msiwakatalie sana wakija 🤣🤣Una akili sana 👍👍👍 Attention zina wenyewe Mpaji Mungu 😎
Words! I like narrow mind like how think...You tell someone you love em. And they think all you think is going down town. But who hasn't been to down town?.I find nothing new with down town😬 Just wanna connect, share love with a beautful soul. I get it brother. Perhaps you find that someday don't lose hope. Right girl is just around the corner. .