Financial services popote ulipo nakupenda sana

Financial services popote ulipo nakupenda sana

Hebu wadada fungueni hizo PM zenu, mnasababisha vijana wanaanzisha threads za ajabu ajabu.

Ni heri wawaafate huko PM tusione, maana huku hadharani kuna siku wanaweza kumfungulia Uzi crush wangu alafu ikawa ugomvi 😅😅
 
Back
Top Bottom