cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 120,024
- 196,556
Ndyooo mwaka huu dada.CPA ilitaka kunitoa roho, nashukuru nimemaliza hiyo mitihani, mwaka huu ndiyo ulisema unataka ule pilau la harusi ya dada eeh[emoji2957]
Ndyooo mwaka huu dada.CPA ilitaka kunitoa roho, nashukuru nimemaliza hiyo mitihani, mwaka huu ndiyo ulisema unataka ule pilau la harusi ya dada eeh[emoji2957]
Na heka hekaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila mwali wetu ana matashtit
[emoji23] Harusi tunayoooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mjiandaeee wadugu, kidampa wenu huu mwaka nakuwa official mcz fulaani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli, ila dada huyo kelphin mie ndo napendaa awe shemejii.Aah IST hadi leo haijafika 5yrs now[emoji3]
Na komunio na kipaimara utakua wee udugu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] Harusi tunayoooooo
Harusiii ipoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Harusi tunayoooooo
Haswaaaah [emoji23][emoji23][emoji23]Kabisaa mama wa kiroho niko hapa [emoji4]
Hahahaaa! Sina mtoto wa nje sasa! 🤣🤣🤣Mimba si yako wee hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ko unataka niwe singo mama??
Bi harusi atakuwa Kama Chausiku...Na heka hekaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anataka kunipa za uso ndio maana naomba akwambie wew, najua wew ukinifikishia utanionea kahuruma kdgo 😂😂😂😂😂😂😂
Mtaniua jamani wewe na Kipwipwi wangu..!!
Nimeshachoka hapa nilipo Leo, uwiiiiih'..!!
Hawezi kukataa huyu, anavyopenda umbeya hata ukimtumia kama e-mail atanifikishia hana baya😆😆😆😂😂
Hebu muulize kwanza kama atakubali kuwa kipikipiki posta.
😂😂😂Hawezi kukataa huyu, anavyopenda umbeya hata ukimtumia kama e-mail atanifikishia hana baya😆😆😆
😆😆😆😆😆😆😂😂😂
mdogo wangu ilikuwa lazima uniseme kwa sauti kuu namna hii kweli..!??
Wakipata huo utelezi niiteni mbwaaa nimekaa paleeeehuku cleoptaina, kule lovie lovie hapa financial service dadeki watu ni kuombwa utelezi tu.. Vijana naona wana ari na moraleeee.. kazi kazi
Wee jishaueee unazijua heka heka zangu? Nakupeleka ustawi wa jamiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaa! Sina mtoto wa nje sasa! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]