Financial services popote ulipo nakupenda sana

Financial services popote ulipo nakupenda sana

Hzi avatar na comments zinawaua chipkizi wa 2000😁😁wadada wa humu mmewaweza vijana!

Ngoja na mimi nifunge ofisi nikamfungilie thread Bantu Lady kabla hawajambuguzi
 
Ndio ni wao nimewaomba waufute kwakuwa nimeaibika sana! Yani maumivu ya kukataliwa pamoja na kero za maneno ya watu...That was to humiliation...Umeniacha uchi adharani kwa sababu ya kuongea ukweli wa moyo wangu vile ninavyokupenda Clepatina tafadhali nifikirie tena naomba!
Usichukulie mambo ya hapa kwa usirias bestie angu.
Warembo wako wengi sana hapa relax wakati wa Mungu ukifika utapata tu kama kweli uko serious🙏
Mim tayar sikufai mana moyo wangu ushatekwa na mtu mwingine.Nikimuacha huyo ili niwe ma wewe si hata wewe utaniona mwanamke wa hovyo bestie🙏.
 
Back
Top Bottom