Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,941
- 31,900
Odee odeeamehlo sijui nikuandikie uzi😬
Maneno kidogo pesa miing
Fanya muamala tu baba angu
Odee odeeamehlo sijui nikuandikie uzi😬
Kipenz Cha watu au mnataka tu mumuingize kweny majaribu dada wa watuHuyu dada ni kipenzi cha watu kweli kuna wadada wana nyota kali
[emoji1787]wanataka kumega utamuKipenz Cha watu au mnataka tu mumuingize kweny majaribu dada wa watu
[emoji1787]Odee odee
Maneno kidogo pesa miing
Fanya muamala tu baba angu
hahaha,lazima utelezi upatikane.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]hakuna kupumzika
By force, by power lazma utelezi upatikane
Nimecheka sana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]hakuna kupumzika
By force, by power lazma utelezi upatikane
hatimaye mdogo wangu na yeye amepata kitu walau 😂😂🙈Haya karibu PM
Anapenda avatar, unajua sababu ya Elon kuja na ule mradi wa robot sex ?acheni upumbavu.... unapenda muandiko?? unapenda avatar??
PM ya mchongo 😂hatimaye mdogo wangu na yeye amepata kitu walau 😂😂🙈
Siwezi kujiua kisa mapenzi na uzi wenye nimefutilia mbali 😂😂😂 mademu wapo wengi sana 😂😂😂Yule jamaa aliyetaka kujiua kisa mapenzi sio wewe? au unasemaje? hujaliaView attachment 2641499
Mimi nimekula za uso na uzi wenyewe nimeufutilia mbali, hawa wanawake hawa kweli ndio waasisi wa dhambi😂😂😂huku cleoptaina, kule lovie lovie hapa financial service dadeki watu ni kuombwa utelezi tu.. Vijana naona wana ari na moraleeee.. kazi kazi
Kwa uandishi huu unaonekana ni kibonge sana 😂😂😂Odee odee
Maneno kidogo pesa miing
Fanya muamala tu baba angu
Mmh kind uchonganishi mkuu, why ulitegemea hilo jibu?jjs2017 nilitegemea upewe jibu kama hili very short and clear 😂😂😂 kula Chuma hicho 😂😂😂😂