Financial services popote ulipo nakupenda sana

Aisee , ahsante kwa huo upendo mkuu jjs2017 [emoji122] kumpenda mtu ambaye hata hujui anafananaje ni risk .., je ukikuta nna ulemavu au tofauti na mategemeo yako bado utaweza kuandika hivo? Thank you lakini.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Habari za muda huu ndugu zangu

Msema Kweli ni mpenzi wa Mungu,

Ndugu zangu mimi ni kijana ambae sijaoa na wala sina mtoto kabisa ila nimevutiwa sana na huyu bi dada anaeitwa financial services kwa kweli na ninampenda haswa

Nimekua nikifatilia sana comment zake niza heshima na adabu tele naona kabisa huyu anajielewa sana na nimevutiwa sana kuwa nae katika maisha ya mume na mke

Popote ulipo financial Services mamy Mungu akulinde pia naomba ujue nakupenda sana na kama bado hujaolewa nipo teyari nikuoe uwe mke wangu halali na mama wa watoto tutakao jaliwa na Mwenyezi Mungu

Nawasilisha ndugu zangu
Kwanini usingemuandikia PM??
 
Sare za harusi nyingi mwaka huu [emoji1787][emoji1787]
 
Ni kamzozo kama sio kamkutano tena kakubwaaaa.
 
Back
Top Bottom