Financial services popote ulipo nakupenda sana

Financial services popote ulipo nakupenda sana

Hahahahaa! Mimi napiga ngumi nzito kama Iron mike, Kaa mbali na hili chaka langu hapo ndipo pumziko langu lilipo na thread yangu itakua trend sana....Wewe kula kona mzee baba, kama unabisha muulize nani baba tamuuu yani mimi ndio baba yako andazi wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli beautiful cocastic atatusababishia Russia [emoji635] na Ukraine [emoji1255]
 
Harusi tunayo mc wetu [emoji23][emoji23]
Harusi ipoo ila bwana harusi hajulikani, maana MC wenu hajui kukataa, yeye kila mwanaume anayemfata ndyo, na wote wanataka ndoa mazimaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bwana harusi mtamuona tyuuh pale kanisani wakati wa kuapa.
 
Back
Top Bottom