Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,394
- 465,217
[emoji23][emoji23] shemeji anajiweza ebu tuliaYule bwana mbabaishaji pesa hana ya kufanya harusi [emoji1787]
[emoji23][emoji23] shemeji anajiweza ebu tuliaYule bwana mbabaishaji pesa hana ya kufanya harusi [emoji1787]
CPA ilitaka kunitoa roho, nashukuru nimemaliza hiyo mitihani, mwaka huu ndiyo ulisema unataka ule pilau la harusi ya dada eeh🤪Final year iko poaa, wee dada umepotea sana ndo CPA enyewee??
Mwambie kikubwa bahati [emoji23][emoji23]Shepu ya nini mie [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]pacha wa sinya
Jamani mama watoto kasema twende Vatcan banaaaaKwa mzee wa upako [emoji23][emoji23]
Ooh haya tuendelee kupambana tu, tutapata.Mimi pia mpambanaji tu kama wewe sijajipata bado ila one day yes utatoboa[emoji1787]wanaume wa JF tamaa zinawaendesha usiwasikilize
Ila yule boyfriend wako si anakusapot au mlishaowana kabisaOoh haya tuendelee kupambana tu, tutapata.
Hajui hatulili uzuri sieMwambie kikubwa bahati [emoji23][emoji23]
Ngoja niandae maneno ya kiraia raia na si maneno tupu ni pamoja na supporting documents za maneno yangu.. stay up.Jukwaa langu pendwa mbona nipo babe fanya unifungulie thread na mimi basi
[emoji23][emoji23] Naaam acha uzuri wabaki wenye mauzuri yaoHajui hatulili uzuri sie
Muhimu bahati [emoji3][emoji3][emoji3]
Na udambu udambu
Yeah that's good idea. How you doing tho?Naombeni mnipumzishe sasa jamani🙏
[emoji23][emoji23] Nakusubiri kwa hamu zote mjeda wanguNgoja niandae maneno ya kiraia raia na si maneno tupu ni pamoja na supporting documents za maneno yangu.. stay up.
Pole pole! mpenzi haya ni ya walimwengu tu! yasikuchoshe kipenzi cha roho yangu! 😍😘Naombeni mnipumzishe sasa jamani🙏
Boyfriend yupi tena😀🏃♀️Ila yule boyfriend wako si anakusapot au mlishaowana kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji2089]nimekosea samahaniBoyfriend yupi tena[emoji3][emoji2088]
Nilijua wanaoweza kufuta nyuzi ni mods tu.Mimi nimekula za uso na uzi wenyewe nimeufutilia mbali, hawa wanawake hawa kweli ndio waasisi wa dhambi😂😂😂
Uzi ule umeenda wapi🤣Pole pole! mpenzi haya ni ya walimwengu tu! yasikuchoshe kipenzi cha roho yangu! 😍😘