Financial services popote ulipo nakupenda sana

Habari za muda huu ndugu zangu

Msema Kweli ni mpenzi wa Mungu,

Ndugu zangu mimi ni kijana ambae sijaoa na wala sina mtoto kabisa ila nimevutiwa sana na huyu bi dada anaeitwa financial services kwa kweli na ninampenda haswa

Nimekua nikifatilia sana comment zake niza heshima na adabu tele naona kabisa huyu anajielewa sana na nimevutiwa sana kuwa nae katika maisha ya mume na mke

Popote ulipo financial Services mamy Mungu akulinde pia naomba ujue nakupenda sana na kama bado hujaolewa nipo teyari nikuoe uwe mke wangu halali na mama wa watoto tutakao jaliwa na Mwenyezi Mungu

Nawasilisha ndugu zangu
Mbona kama ni brother IamBrianLeeSnr
 
Wenzenu wanawaweka on bed nyie on threads 😂😂
Kabisa naona vijana wanateseka 😬
tumblr_pbkl2lk4zz1tpnsbjo4_400.gif
 
Habari za muda huu ndugu zangu

Msema Kweli ni mpenzi wa Mungu,

Ndugu zangu mimi ni kijana ambae sijaoa na wala sina mtoto kabisa ila nimevutiwa sana na huyu bi dada anaeitwa financial services kwa kweli na ninampenda haswa

Nimekua nikifatilia sana comment zake niza heshima na adabu tele naona kabisa huyu anajielewa sana na nimevutiwa sana kuwa nae katika maisha ya mume na mke

Popote ulipo financial Services mamy Mungu akulinde pia naomba ujue nakupenda sana na kama bado hujaolewa nipo teyari nikuoe uwe mke wangu halali na mama wa watoto tutakao jaliwa na Mwenyezi Mungu

Nawasilisha ndugu zangu

Weka CV yako nione kama inafaa kunituma kama mshenga nikuunganishie
Umri wako
Elimu yako
Kipato (sio lazima uweke wazi moja kwa moja)
Dini yako (ni muhimu kwa kuwa bi dada ni muumini mzuri)
 
Back
Top Bottom