[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vijana ni mapigo na mwendo tu.Umenichekesha mkuu[emoji23][emoji23]
Halafu haya mambo akianza mmoja mwingine anaunga nyuma ka msururu
Mama tamuuu naomba nikufungulie uzi na wewe! Nimeona nirudi kwako mtetezi wangu😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]huku cleoptaina, kule lovie lovie hapa financial service dadeki watu ni kuombwa utelezi tu.. Vijana naona wana ari na moraleeee.. kazi kazi
Tunapendana ivoivo mkuu
Ndo Kila mtu anashika njia yakeKama ni mbibi je? Au mwanamme je? Au ana mume je?
Weweeeee chunga chungaaa sana mwenendo wako.Mateke yangu kama ya Van Dame! Nipo chimbo huku naanda uzi kwaajili ya my soft color,my English figure cocastic ![emoji1787][emoji1787]Mama tamuuu naomba nikufungulie uzi na wewe! Nimeona nirudi kwako mtetezi wangu[emoji23][emoji23][emoji23]
We mtu upoooUtelezii umekua washida sana
yaani ukizima data ukiwasha unakuta kuna uzi mpya watu wanafungukiana 😀 😀 😀 😀 😀
😅😅😅 usinigombanishe na mchuchu wanguunaandaa uzi wa yule kibonge mwepesi🤣
Mrembo wa mimi.. ni kwamba hupatikani kabisa au.. nakuvizia jukwaa lako pendwa holaaa[emoji23][emoji23]
Tuna kitu, tutafika mbaliii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni balaaa yaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uduguu watu wamechachukwa balaa [emoji1787][emoji1787]
Ndo Kila mtu anashika njia yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu fungua baba tamu, fanya chapu kwa fastaaa.Mama tamuuu naomba nikufungulie uzi na wewe! Nimeona nirudi kwako mtetezi wangu[emoji23][emoji23][emoji23]