YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,374
Hahahahaa! Mimi napiga ngumi nzito kama Iron mike, Kaa mbali na hili chaka langu hapo ndipo pumziko langu lilipo na thread yangu itakua trend sana....Wewe kula kona mzee baba, kama unabisha muulize nani baba tamuuu yani mimi ndio baba yako andazi wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baba tamuu yake [mention]cocastic [/mention] wakuwachee [emoji23][emoji23]