Financial services popote ulipo nakupenda sana

Financial services popote ulipo nakupenda sana

Weweeeee chunga chungaaa sana mwenendo wako.Mateke yangu kama ya Van Dame! Nipo chimbo huku naanda uzi kwaajili ya my soft color,my English figure cocastic ![emoji1787][emoji1787]
Hahahahaa! Mimi napiga ngumi nzito kama Iron mike, Kaa mbali na hili chaka langu hapo ndipo pumziko langu lilipo na thread yangu itakua trend sana....Wewe kula kona mzee baba, kama unabisha muulize nani baba tamuuu yani mimi ndio baba yako andazi wewe😂😂😂😂
 
Hahahahaa! Mimi napiga ngumi nzito kama Iron mike, Kaa mbali na hili chaka langu hapo ndipo pumziko langu lilipo na thread yangu itakua trend sana....Wewe kula kona mzee baba, kama unabisha muulize na baba tamuuu ni nani yani mimi ndio baba yako andazi wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
@Cute Wife

Andaa sare harusiii tunayooo uduguuuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baba tamuu karudi kwanguuu
 
Wazee wa mahaba motomoto
Naona Mmeamua serious mwaka huu,

Anyway, Ebu acheni hizo bhana,

Mtakuja kushuhudia Hadi wake za watu humu ndani, mharibu ndoa za watu[emoji4]
 
Back
Top Bottom