The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 10,984
- 13,479
- ha! ha! ha! ha! I know ila baba yangu sio mwizi na hajawahi kufukuzwa kazi na Serikali ya Tanzania tena kwa aibu!! so wewe furahia ufisadi wa baba na kuwaona wabongo wajinga huku unakula hela zao alizofisadi baba yako! ha! ha! ha!
- Njaa haikunikuta majuu kama wewe na bado haijanikuta bongo kama wewe! ha! ha! ha! baba yangu hana viwanda vya hela za ufisadi bro! ha! ha! ha!
Le Mutuz!!
Una miaka 51 bado hujaoa na bado unacheza na wasichana mtaani na unajiita kijana.
Tatizo ni nini hasa?
- Hongereni Wana-CCM wote mlioko kila kona za online political activism, ninafarijika na jinsi recently ambavyo tumekuwa tukjibu mashambulizi ya ndugu zetu wa upande wa pili, in many cases siku hizi tunawaweka on defensive end sasa kwa vile hawakuzoea kujibiwa unawaona wakitoka mapovu kama nyoka kifutu, saafi sana inaitwa kumkoma nyani giladi yaani ukitaka kumpiga nyani usimuangalie usoni, tuendeelee kuwatwanga hasa kwa ile lugha wanayojulikana kuilewa zaidi yaani ya za uso! Lakini sometimes huwa wana hoja so tuwajibu kwa hoja, lakini wakija kwa viroja please tuwape za uso tu!!
- Salute kwa Makamanda Ritz, Chama, na wengineo wembe ni ule ule hakuna kulala wala kuwapa nafasi, yaani finally tumeanza kuleta balance ndani ya Mitandao inapokuja the game na hawa wenzetu wa huko Upande wa pili, ndio maana hasa ya Demokrasia, siku zote nia na madhumuni yao ni wote tuwe na mawazo kama wao, hapana na mbarikiwe wote!!
- KIDUMU CCM! KIDUMU CHAMA TAWALA!!
Le Mutuz!! THE KING OF ALL BONGO SOCIAL NETWORK MEDIA!!
LoL! unachekesha sana wewe!!! Yale yale kama ya kwenye PM zako, "Nakujua sana wewe nipe namba yangu tuongee." Nikakuuliza kama unajua mimi ni nani ukaingia mitini. Hunijui Kubwa Jinga hunijui hata chembe lakini mie nakufahamu vizuri sana na pia nawafahamu ndugu zako wote hata marehemu waliotangulia kwenye haki Senyagwa na Ipyana nawafahamu pia. Hawa walikuwa tofauti kabisa na wewe Kubwa Jinga
Acha utoto fuata nyayo za ndugu zako ili uweze kuishi maisha ya kujitegemea badala ya kuendelea kuishi kwa dingi miaka nenda miaka rudi. Familia yako umeitelekeza kwa upumbavu mkubwa uliokuwa nao. Mrudie mkeo ukamuombe radhi kwa kumdhalilisha mitandaoni ili mlee watoto wenu. Huchachoka tu kutafuta KULA magamba? Tangu 2005 ulitaka kugombea ubunge wakakupiga chini kwenye mchujo inafika mahali lazima ukubali kwamba huna mvuto katika mambo ya siasa wanakuona ni mbwabwajaji tu anayetaka kuganga njaa. Pole sana.....Eti engineer wa meli!!!! lol! hahahahah...which university did you attend to earn your engineering degree and for how long? Hata ufundi mchundo huna utakuwa na uhandisi? Badilika achana na akili za kushikiwa.
William J Malecela, hata siku moja sijaona unamwaga sera za Chama cha Mapinduzi na kuzichambua kama Mchambuzi anavyofanya, ila unakazana na nyimbo zile zile za kusifia na kuiimba CCM huku kwa nguvu zote ukikazania kuwanyoshea vidole viongozi wa Chadema. Uchaguzi Mkuu ujao watakapocast vote wapiga kura watapigia CCM kuimbiwa nyimbo nzuri au sera zake? Unaitangaza Chadema bila kujijua.
Unaweza kubadili kidogo tabia na kuonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kuanza kumwaga sera na kuzijadili hapa?
Unaonekana hata mambo yaliyomo ndani ya Katiba huyajui hata wenzako akina Ritz na Chama kwa kuendeleza mipasho tu, kwa sababu hata nukuru moja kwamba "nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko." Rushwa ni adui wa haki sitapokea wala kutoa rushwa." Amini kuna tatizo hapo, haiwezekani wengi hivyo hata waliokuwa best wako wakugeuke, kuna kitu unatakiwa jipime vizuri, CCM ni chama, lakini viongozi ndio tatizo na wewe huko huoni tatizo la kukosoana kama katiba ya chama inavyotaka. Hapo ni tatizo. Kama kuchaguana viongozi CCM ni kupitisha mtu mwenye utetezi na mtazamo wa aina yako kuendelea kushika dola ni ndoto ya kufikirika.
Mwanangu William John Cigwiyemisi Malecela kweli nyani haoni kundule. Pia mtoto wa nyoka ni nyoka. Naona ule uhuni aliosema marehemu Mwalimu unakuandama. Kumbe mnamkoma nyani kama Lusinde alivyomkoma baba yako siyo? Hakuna majibu na usipende kusingizia kuwa mnafanya lolote zaidi ya nyinyi magamba kuchemsha na kusingizia kila anayewakosoa kuwa CDM. Kweli nimeamini kuwa ulichemsha New York ukaja kuganga njaa Bongo wakikuabudia kwenye genge la baba yako kuwa umetoka Ulaya kumbe njaa tupu kifedha na kielimu. Si urejee shule tu mwanangu. Ni ushauri tu.
- HA! HA! HA! HA! kukujua sikujui ila najua baba yako alifukuzwa kazi kwa wizi na Serikali ya Mwinyi, kama ni ndoa iliisha miaka mitatu iliyopita I have moved on nilikuwa nimeoa mke sio kama uliyeolewa bro1 ha! ha! ha! mke akiruka kidogo wewe huko unakufa1 halafu mimi levi levi kama wewe unalew mpaka unajisahau unakumbuka New York mara ngapi watu wamekubeba hujielewi nini kama sio frustrations za maisha, kutegemea baba ni mimi au wewe bro! ha! ha! kwani sasa hivi unafanya kazi wapi kama sio kufanya kazi za baba, mwanaume mzima umetoka majuu kuja kufanya za baba kuishi kwa baba wacha bro huu muzikii huuwezi! ha! ha! Mambo ya meli nimesoma Antwerpen, Belgium pole sana!!
- Nimegombea nimsehindwa na nimeshinda, Chadema mnagombea na kupigwa za uso kila wakati so huwezi jilinganisha na mimi majuzi tu mmepewa za uso kwenye udiwani, unajifanya unanijua hapana hunijui! ha! ha! maana ungekuwa unanijua basi usingeuliza nilisoma wapi Meli maana wanaonijua wote wanajua nilisoma DMTU bongo, nikasoma kwenye meli za Liemba na Mwongozo, Sinotaship na Belgium Antwerpen na pia nilifanya kazi kwenye meli za CMB-Belgium,
- Tuliza boli wewe endelea kuishi klwa kuamuliwa na mke, mimi hapana siko kihivyo wewe mshukuru Mungu baba yako ameiba na kuanzisha hiyo biashara ya mbao aliyokupa, mimi baba yangu hakuiba so maihsa ni yangu mwenyewe ulipokuja new york ulinikuta, sikuwa ninaishi na baba kama wewe, wacha kijana mdogo huku bongo be carefl ukileta za kulewa lewa kama new york utaishia pabaya sana! ha1 ha! ha! mtoto wa baba na mama huwezi jilinganisha na mimi, mimi ninaishi kwa jasho langu tena for the last many years1 ha! ha! na sasa nimefungua kampuni yangu sio kutegemea kampuni za hela za wizi wa wananchi kama baba yako!
- so tuliza boli mwendo ni mdundo CCM mbele sana, na kidumu!!
Le Mutuz!
Sijui kama mwanangu William JC Malecela ni mzima tena. Maana ukiambiwa hiki unajifanya hamnazo au ni hamnazo kweli? Sasa Slaa anaingiaje kwenye uhuni wako na baba yako? Slaa anaingiaje kwenye ukihiyo wako na kuishiwa hadi ukafanya kazi ya uchangudoa wa kisiasa. Acha ujanja wa inzi ujibu maswali uliyoulizwa badala ya kujifanya Lusinde namba mbili wakati ukijua aliyekomwa kama nyani ni baba yako John Maleceala.
Hahahahah lol! unachekesha kweli na hadithi zako za kutunga kutaka kuonyesha unanijua kumbe hunijui, basi tangu ujue biashara ya mbao imekuwa shida siyo kila mtu anafanya biashara banaaa.Ndugu zako wote wako bomba lakini wewe ni dosari kubwa sana kwenye familia ukiambiwa unajifanya mjuaji. Kaa chini bana uamue kuachana na utoto bado hujachelewa🙂🙂 Badilika banaaa usijifanye unanijua wakati hunijui hata chembe. Angalia dada zako akina Mwele na Seche wako bomba kwenye ajira zao lakini wewe kubwa jinga bado unafanya utoto tu sijui lini utatia akili kichwani na kuamua kuachana na utoto. Kamuombe msamaha mkeo umrudie ili mlee watoto wenu.
Utakosaje kuona magamba mdundo wakati una njaa kali? Njaa inakusumbua sasa unajaribu kurusha karata ya mwisho ili wasikuchuje 2015 kama walivyokuchuja 2005...Tafuta shughuli nyingine halali ya kujiingizia mapato siasa watakupiga tena chini hata 2015 kama walivyofanya 2005.
Basi kwa vile wewe ulikuwa New York unafikiri kila mtu yuko New York!!! lol! Kweli wewe kubwa jinga 🙂🙂 Pole sana... Mzee Malecela amekula hasara kubwa sana.
Mama yako wa kambo mkorogo unamaliza amebakia na layer moja ya ngozi Huku upareni tunampiga chini hatuwezi tawaliwa na mikorogo sisi- ha! ha1 ha! ha! wewe tuliza boli tafuteni mgombea urais 2015 mana hamna, majuzi kwenye udwani mmepigwa za uso sasa tulizeni boli na CCM sasa nginja nginja, Slaa hawezi gombea tena maana ameishiwa kabisa hana jipya, Mbowe naye ndio hivyo hana jipya poleni sana!1
KIDUMU CCM!!
Le Mutuz!!
Miaka ya nyuma ulikuwa mchangiaji wa maana sana ambaye siku zote uliweka maslahi ya nchi yetu mbele badala ya yale ya magamba hata ukawa gumzo katika vijiwe vingi vya Wabongo lakini njaa imekubadilisha kabisa kiasi ambacho maslahi ya nchi umeyasahau kabisa sasa unataka kuganga maslahi ya kubwa jinga tu!!! lol! hahahahahah....Chezea njaa weye!!!
Mama yako wa kambo mkorogo unamaliza amebakia na layer moja ya ngozi Huku upareni tunampiga chini hatuwezi tawaliwa na mikorogo sisi
- Sina njaa na wala sijwahi kuwa na njaa never!, ndio maan nikiwa majuu watu wanakusanya hela kurudi home mimi nilikuwa nakusanya hela na kujisomesha mwenyewe! you know that! Nimeanzisha Tawi la CCM nikiwa USA, sasa utasemaje nimebadilika na njaa baada ya kurudi? Sasa ninakuwaje na njaa na mtu kila siku ninakula bataz hapa mjini bro! ha! ha1 ha! huna hoja umeanza na mke, dada zangu, sasa umerudia historia ambayo nayo sio siri huijui maana ungekwua unaijua ungejua mimi ni CCM damu from day one ninaingia kwenye mitandao!!
- Mimi na Mwanakijiji at one time huko nyuma sana kabla hata wewe kuingia humu ndio tulikuwa watetezi wakubwa wa CCM, sasa tuliza boli bro, mimi nipo sawa sina njaa na siajwahi kuongozw ana njaa never! Chadema hamna jipya mwendo ni mdundo kama Rais wetu alivyosema juzi m,wendo ni nginja nginja!!
Le Mutuz!!
Tunataka viongozi wanaojiheshimu, le mutuz hutufai hata kidogoHilo nalo neno mkuu. Nitake radhi, mimi ni CCM.....Ila unaniboa. William unammumiza mkeo na wanao. Grow up.... By the way, mkeo sasa hivi ni wifi yangu alafu wee pia ni shemeji...lol
Miaka ya nyuma ulikuwa mchangiaji wa maana sana ambaye siku zote uliweka maslahi ya nchi yetu mbele badala ya yale ya magamba hata ukawa gumzo katika vijiwe vingi vya Wabongo lakini njaa imekubadilisha kabisa kiasi ambacho maslahi ya nchi umeyasahau kabisa sasa unataka kuganga maslahi ya kubwa jinga tu!!! lol! hahahahahah....Chezea njaa weye!!!