Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,580
wewe kwa sababu unapata za LUMUMBA? Nnauye Jr naona anawapa mshiko mrefu
Vipi umesitishiwa payroll? ni kwa nini wewe ni mnafki kiasi hiki?
-
Jeykey
4th September 2012 20:59
#1
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 17th August 2010
Posts : 1,295
Rep Power : 670
Likes Received145
Likes Given178
[h=2](Picha) CDM ilitumia malori kusomba watu Iringa[/h]
katika hali ambayo siku zote ilikuwa mbinu ya kujificha kukusanya watu
atimaye mbinu ya chadema imebainika baadaya kukutwa inapakia watu
kweye lori (katika picha)
Kutokana na mtu aliyenidodosa ni kuwa Daudi mwandosi alikuwa anachukua
picha kwenye gari la chadema ambalo linapakiza watu kuwaleta kwenye sehmu
ya kufungua tawi, hiki kitendo kiliwakasilisha chadema
Sasa hapo guess nini kilifuata
Tazama hii picha kwa umakini kwanini Daudi alikuwa anapiga picha Lori lililobeba watu?
Inakuwa Chadema wanasomba watu kuja kwenye mikutano yao?
Reply
Reply With Quote
Reply With Quote