Finally: Hongereni Wana-CCM Online!!

Finally: Hongereni Wana-CCM Online!!

Status
Not open for further replies.
Hivi kuna hoja gani ambazo CCM wamejibu zaidi ya kuleta vioja vya udini na ukabila tu?

-Watu wanapenda kujifariji kweli kweli.

Hivyo vioja vya udini na ukabila vina ukweli mkubwa kwasababu wewe binafsi ni mmoja wa wanaonufaika na ukabila huo huwezi kuliona tatizo hilo!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mama yako wa kambo mkorogo unamaliza amebakia na layer moja ya ngozi Huku upareni tunampiga chini hatuwezi tawaliwa na mikorogo sisi

Kumbe na wewe ni mtu wa Kaskazini...ndio maana unakesha JF kuitetea Chadema.
 
Sijui kama mwanangu William JC Malecela ni mzima tena. Maana ukiambiwa hiki unajifanya hamnazo au ni hamnazo kweli? Sasa Slaa anaingiaje kwenye uhuni wako na baba yako? Slaa anaingiaje kwenye ukihiyo wako na kuishiwa hadi ukafanya kazi ya uchangudoa wa kisiasa. Acha ujanja wa inzi ujibu maswali uliyoulizwa badala ya kujifanya Lusinde namba mbili wakati ukijua aliyekomwa kama nyani ni baba yako John Maleceala.

Unauliza Slaa kaingiaje tena, unauliza vumbi store. Kwa hiyo ulivyokuwa na mapenzi hutaki kabisa watu wamtaje Slaa...
 
Mkuu chama,
Kinachonifurahisha kwenye huu uzi kila Pro-Chadema JF akijitokeza kupambana Le Biig Shoow le Mutuz ananawapa za uso mpaka wanatia huruma walikuwa hawajazoea kujibiwa.
 
Last edited by a moderator:
LoL! unachekesha sana wewe!!! Yale yale kama ya kwenye PM zako, "Nakujua sana wewe nipe namba yangu tuongee." Nikakuuliza kama unajua mimi ni nani ukaingia mitini. Hunijui Kubwa Jinga hunijui hata chembe lakini mie nakufahamu vizuri sana na pia nawafahamu ndugu zako wote hata marehemu waliotangulia kwenye haki Senyagwa na Ipyana nawafahamu pia. Hawa walikuwa tofauti kabisa na wewe Kubwa Jinga

Acha utoto fuata nyayo za ndugu zako ili uweze kuishi maisha ya kujitegemea badala ya kuendelea kuishi kwa dingi miaka nenda miaka rudi. Familia yako umeitelekeza kwa upumbavu mkubwa uliokuwa nao. Mrudie mkeo ukamuombe radhi kwa kumdhalilisha mitandaoni ili mlee watoto wenu. Huchachoka tu kutafuta KULA magamba? Tangu 2005 ulitaka kugombea ubunge wakakupiga chini kwenye mchujo inafika mahali lazima ukubali kwamba huna mvuto katika mambo ya siasa wanakuona ni mbwabwajaji tu anayetaka kuganga njaa. Pole sana.....Eti engineer wa meli!!!! lol! hahahahah...which university did you attend to earn your engineering degree and for how long? Hata ufundi mchundo huna utakuwa na uhandisi? Badilika achana na akili za kushikiwa.

THIS NOW IS PERSONAL .jamaa sijui ndo kakushinda point au wewe ni mpayukaji.
Huna maana
 
Unauliza Slaa kaingiaje tena, unauliza vumbi store. Kwa hiyo ulivyokuwa na mapenzi hutaki kabisa watu wamtaje Slaa...

Mkuu Ritz
Makamanda wengi wanaishi kwa posho za mtandao wa Dr. Slaa ndiye anayewaweka mjini hawataki kabisa Mungu wao kuelezwa ukweli hao mapimbi wanakana mpaka maneno ya Biblia kitabu alichokuwa akikitumia Dr. Slaa kuhubiri neno la Mungu kitabu kinasema wazi kufanya tendo la ndo mtu ambaye hamjafunga kanisani ni uzinifu wao wanataka kubadili maana ya neno ZINAA ili kumfurahisha Dr. Slaa

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Hongera zako weye mwenye maana...yote niliyoyaandika yameshawekwa hapa jamvini sasa sijui cha ajabu ni kipi. Weye naye ni magamba mwingine kwa hiyo huna jipya zaidi ya kutetea uozo wa DHAIFU na Serikali yake DHAIFU.

THIS NOW IS PERSONAL .jamaa sijui ndo kakushinda point au wewe ni mpayukaji.
Huna maana
 
Kumbe na wewe ni mtu wa Kaskazini...ndio maana unakesha JF kuitetea Chadema.

Mkuu Ritz
Yaani unajua leo kama kamanda wangu Precise pangolin ni wa kule kule? Huwezi kumkuta msukuma anashinda JF kumtetea Dr. Slaa ni wale wa kaskazini na wahaya tu

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Kwa maana hiyo Dr. Slaa hafai hata chembe maana hana heshima wala maadili anawezaje kumvulia chupi binti wa miaka 30 na kutudanganya eti ni mke wake huku akijua fika hawana ndoa.

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu chama, ni aibu kwa kiongozi ambaye wafuasi wake wanataka tumpe nchi kuburuzwa mahakamani kwa kosa la kutelekeza watoto wake wakuwazaa mwenyewe pamoja na mama yao...mama wa hao watoto anaitaka mahakama tukufu wambane Dr Slaa alipe fidia ya milioni 150 kama fidia.

Halafu anata mahakama wambane mwanamke wa sasa wa Dr Slaa amlipe milioni 500 kwa kumuibia mwanaume wake.

Haya yote makamanda wanayona ni mambo ya kawaida sababu yanafanywa na Dr Slaa.
 
Last edited by a moderator:
Yaani Eistein alisema only two things are infinity, the human stupidity and the universe, and je wasnt sure of the later! Yaani kupiga picha tu na hao wadada unataka kujustify urijali wako? Are you hiding something?
- ha! ha! ha! ha! ha!ETi least wananchi hapa wana uhakika kwamba mimi kiongozi wao wa Taifa sio shoga, maana siku hizi Dunia imeharibika sana mnachagua kiongozi wa taifa kumbe shoga! ha! ha! ha!

- But in me what you see is what you get, kudadeki yaani Kiongozi Rijali! ha1 ha! ha! ha!

Le Mutuz!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hivi Kaka William,

Unajua kwamba chama chetu kimesha meguka ndani kwa ndani siku nyingi na tuna vyama zaidi ya viwili kimtazamo na kimalengo ndani ya CCM? Kinacho kosekana ni usajili wa tendwa; Isitoshe, viongozi wengi ndani ya CCM hawafanya kazi tena kwa mapenzi ya CCM, na hii ni hatari kwani wanasukumwa zaidi na UWOGA, UBINAFSI na UNAFIKI, masuala ambayo mwalimu aliyajadili sana jinsi gani ni tishio kwa uhai wa Chama;

Mimi ni Mwana CCM lakini kwa akili zangu timamu, naelewa kwamba kwa sasa CCM bado ni moja kwa sababu ya System tu, hakuna lingine; Chama kinacholindwa na system ni chama dhaifu;

Ni muhimu tukai sambaratisha CCM sasahivi kama nia yetu ni kuijenga upya, kuliko kusubiri kuja kusambaratishwa na Upinzani, kwani siku hiyo haipo mbali;

Hoja yako ya kutetea Chama chenye kansa ya kiungo ni hoja mfu kwani unachofanya ni kutetea na kuwa mtiifu kwa chama kwa mujibu wa katiba, sio kwa mujibu wa uhalisia wa soko la Siasa; Kaka, Kansa imesha sambaa, tukate tu hicho kiungo na tuanze maisha mapya;

What a Bright IDEA!!!

AND The Foundation of this Should Be The CCM (Azimio Arusha) and CCM (Azimio Zanzibar)
 
Mkuu chama,
Kinachonifurahisha kwenye huu uzi kila Pro-Chadema JF akijitokeza kupambana Le Biig Shoow le Mutuz ananawapa za uso mpaka wanatia huruma walikuwa hawajazoea kujibiwa.

halafu limjamaa likiwazidi point wanaanza kutukana.Hayanaga akili haya majaama.
Na dawa yake Limutu endelea kubandika thread ili kuwakeep busy,by the time wanasituka IT IS 2015,WANAPIGWA BAO.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ritz
Yaani unajua leo kama kamanda wangu Precise pangolin ni wa kule kule? Huwezi kumkuta msukuma anashinda JF kumtetea Dr. Slaa ni wale wa kaskazini na wahaya tu

Chama
Gongo la mboto DSM

Nadhani wahaya wachache kina Matola, Lwakatale, kimsingi haswa ni watu wa Kaskazini.
 
Last edited by a moderator:
halafu limjamaa likiwazidi point wanaanza kutukana.Hayanaga akili haya majaama.
Na dawa yake Limutu endelea kubandika thread ili kuwakeep busy,by the time wanasituka IT IS 2015,WANAPIGWA BAO.

Le Mutuz ndio kiboko yao aisee! Nimemsoma Mchambuzi, namuheshimu sana lakini hoja zake kwenye hii thread sio mahala pake. Ningeshauri aandike kule Great Thinkers, huku kuna mapambano.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ritz
Makamanda wengi wanaishi kwa posho za mtandao wa Dr. Slaa ndiye anayewaweka mjini hawataki kabisa Mungu wao kuelezwa ukweli hao mapimbi wanakana mpaka maneno ya Biblia kitabu alichokuwa akikitumia Dr. Slaa kuhubiri neno la Mungu kitabu kinasema wazi kufanya tendo la ndo mtu ambaye hamjafunga kanisani ni uzinifu wao wanataka kubadili maana ya neno ZINAA ili kumfurahisha Dr. Slaa

Chama
Gongo la mboto DSM

dah...hata huyu anajíita father of all.naye ni walewale?.
Kama ndo hivyo kumbe hali ni ngumu.si waende vijijini wakalime.posho yenyewe inawatosha kweli kwa maisha ya bongo.kha...!!
 
Last edited by a moderator:
Sitaki niamini kama hawa ndo viongozi wa taifa hili ! Unamsifia ritz,chama kwa lipi zaidi ya majungu na unafiki,kama ccm imetegeshea hawa puppet kuilinda ndani ya mitandao ya kijamii basi mpaka sasa mshale unaonesha wameshafeli,na sasa ni zamu ya mwenyekit wenu kuju kujibu hoja siyo kuendesha siasa uchwara kama vile taifa hili halina watu wa kufikiri na kuchambua mapungufu makubwa ya ccm. Mimi napenda tukomaze siasa zetu kwa watu kuongea facts sio kufanya siasa kama ni mahali pa kupumzikia baada ya kuwa umechoka kama wanavyofanya hawa wenzetu,Kama siku moja mtatambua umuhimu wa siasa zenye facts then tanzania tutakuwa tumepiga hatua sana,Kwa habar za kupongezana hapa eti ritz,chama.majebere hakuna kitu hapo kwa kuwa wanajibu pumbu vs fact points
 
Le Mutuz ndio kiboko yao aisee! Nimemsoma Mchambuzi, namuheshimu sana lakini hoja zake kwenye hii thread sio mahala pake. Ningeshauri aandike kule Great Thinkers, huku kuna mapambano.
Mkuu Ritz, nimefuatilia hii thread toka mwanzo. Nimeshindwa kuchangia cuz nimeona ni kama watu wameanza kushambuliana badala ya kubaki kwenye mada husika. Kwa kiasi kikubwa naona William amekosea sana, kuna mambo hakupaswa kuandika, though tumeshamzoea!! Kwa nafasi tuliyompa hakutakiwa aonyeshe this kind of behavior. Anyway, chama kinafahamu zaidi na haya tunayaona. Kwa maoni yangu hii siyo njia sahihi, na kiongozi mzuri atakiwi awe hivi.
 
Last edited by a moderator:
Le Mutuz ndio kiboko yao aisee! Nimemsoma Mchambuzi, namuheshimu sana lakini hoja zake kwenye hii thread sio mahala pake. Ningeshauri aandike kule Great Thinkers, huku kuna mapambano.

Mkuu Ritz
Huku mawe tu mpaka kieleweke nimemwambia Mchambuzi hawa makamanda wa JF hawapo kujifunza ni wababaishaji hawapo kuitetea Chadema wao wapo kwa ajili Dr. Slaa na Mbowe; kama ingekuwa wapo kwa ajili kuitetea Chadema wangemtetea Zitto zile hoja anazoandika Mchambuzi sidhani mtu kama Matola anaweza kuzisoma; kule GT kidogo wangesoma tatizo makamanda wa GT wao wanataka kulazimisha unywe maji ya bahari wakati ya mto yapo

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Hivi kuna hoja gani ambazo CCM wamejibu zaidi ya kuleta vioja vya udini na ukabila tu?

-Watu wanapenda kujifariji kweli kweli.
Comrade.....

Ukweli ni kwamba siasa za Tanzania sasa hivi zimeingiliwa na hazina maana yoyote......Vyama (ikiwa ni pamoja na chama tawala, CDM na vingine) vimekuwa vikundi vya mipasho, havina tofauti na enzi zile za TOT Taarab (Khadija Kopa) na Muungano Cultural Troupe(Bi Nasma Khamis Kidogo - RIP)......Siku hizi vyama badala ya kueleza nini watawafanyia watanzania, vyenyewe ni kutupiana maneno ya kejeli, kutukanana na kila aina ya upuuzi.....Ni ajabu kuona CCM badala ya kueleza ni wamewafanyia watanzania katika miaka 50 ya Uhuru (ambavyo vipo na vinaonekana) wao wanakaa na kuisakama CHADEMA na viongozi wake......

Inashangaza pia kuona CHADEMA kama chama mbadala katika siasa za Tanzania badala ya kuutumia muda huu wa kuelekea mwaka 2015 badala ya kuwaeleza watanzania nini watawafanyia mara watakapochaguliwa wao nao kila uchao wamekuwa wakiisakama CCM na viongozi wao kila uchao.....Imekuwa ni mipasho tu kila kukicha.....

Ni ajabu kuona viongozi wa vyama vya kisiasa (hasa wa CCM na CHADEMA) wakitumia muda mwingi kukashifiana na kukashifu vyama vyao badala ya kuwaeleza wananchi sera na nini wamewafanyia/watawafanyia wananchi hao wa taifa hili maskini.....Hu si wakati wa viongozi wa CHADEMA kutumia muda mwingi kuelezea udhaifu wa sekretarieti mpya ya CCM, huu ni muda wa wao kujipanga na kwenda kwa wananchi na kuwaeleza nini watawafanyia mara watakapowachagua(kumwaga sera), huu ni wakati wa kwenda kuwatongoza wananchi, huu ni wakati wa kuwashawishi wananchi kujenga imani na chama hicho, kuisakama sekretarieti ya CCM na agenda isiyochuja ya ufisadi hakutakisaidia CHADEMA kuingia madarakani, CCM imekuwa dhaifu tangu mwaka 2005 baada ya mgawanyiko uliotokana na mtandao lakini bado imeendelea kushinda uchaguzi( wa Urais, wabunge na madiwani) na kuendelea kushika dola... Agenda ya ufisadi imeanza kuzungumzwa majukwaani tangu mwaka 2006 pamoja na kuwaingia watanzania bado haijawasaidia CHADEMA kisiasa......CHADEMA wanapaswa kuutumia muda huu(ambao kimsingi ilitakiwa ianze tangu baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010) kujiimarisha kisiasa na kujenga imani kwa watanzania kwa kuwaeleza nini watawafanyia pamoja na kujenga mtandano ulio imara kuanzia ngazi ya shina mpaka Taifa badala ya kutegemea ofisi na viongozi wa kujitolea kama ilivyo sasa......CHADEMA wanapaswa kutafuta ofisi na viongozi katika kila eneo la nchi hii (bara na visiwani) kuanzia katika ngazi ya Tawi mpaka mikoani na si kutegemea Operesheni Sangara, M4C n.k.....Kwa kufanya hivyo watakuwa karibu zaidi na wananchi......Kutumia muda mwingi kuelezea ufisadi wa viongozi wa CCM na serikali na kuiponda sekretarieti mpya ya CCM hakutakisaidia CHADEMA....Kama sekretarieti hiyo ni dhaifu ni bora CHADEMA wakatumia mbinu za kisiasa kuutumia udhaifu huo kujinufaisha kisiasa, kuisakama na kuiponda majukwaani ni dalili za KUIOGOPA..

Kwa chama changu CCM, kwa kweli sitofautiani na ndugu yangu Comrade Mchambuzi .....Niko naye ukurasa mmoja kabisa, chama chetu kina matatizo mengi sana kiasi kwamba kwa walio karibu na siasa za ndani za CCM wanaweza kudhani kuna vyama zaidi ya vinne ndani ya CCM, kinachosababisha hali hii si kingine, ni makundi ya waroho wa madaraka (wanaoutaka urais) , rushwa pamoja na kulindana ndani ya chama... Makundi ndani ya chama ndiyo imekuwa kansa inayokitafuna chama kuanzia mwaka 2005 na kadri siku zinavyokwenda kansa hii imezidi kuwa sugu na sasa makundi zaidi yanaundwa kwa ajili ya kujipanga kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, hii ni hatari sana, haya tunayoyasikia ya Membe na Bashe ni manynyu tu, mvua kamili itaanza kuonekana/kunyesha mwaka 2014....Makundi haya yasipodhibitiwa(japo ni too late) yatakifanya chama kiwe na hali mbaya katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015...Hali hii ya makundi ipo hata katika ngazi ya Ubunge na Udiwani......

Kuhusu Rushwa ndani ya chama kwa sasa; ni miujiza pekee ndiyo inayoweza kutenganisha rushwa na uongozi ndani ya chama chetu hiki....Rushwa nayo imekuwa kansa ambayo tiba yake ni ngumu kupatikana......Sijajua ni mbinu zipi hasa mzee wangu mpiganaji na muadilifu Philip Mangula atazitumia katika kupambana na rushwa na wala rushwa ndani ya chama maana karibu asilimia 90 ya viongozi wa chama na wawakilishi(wabunge,wjumbe wa baraza la wawakilishi,madiwani,masheha n.k) wameingia madarakani kwa rushwa.....Nasubiria hiyo miujiza ya kuwaondoa waliopata uongozi kwa rushwa ndani ya miezi 6......Ila kiukweli nina imani sana na sekretarieti mpya ya CCM na nimefurahishwa na utaratibu unaotumiwa na Katibu Mkuu wa CCM Kanali(mstaafu) Abdulrahman Kinana kuzunguka na viongozi wa serikali katika mikutano yake na kuwabana mbele ya wananchi.....Hii inadhihirisha kwamba sekretarieti hiyo imekuja kikazi zaidi na si porojo.....

Ni matumaini yangu kwamba mzee Mangula kama Kiongozi wa maadili ndani ya chama atasaidia katika kuondoa tatizo la kulindana na kuwashughulikia viongozi na wanachama wasio waadilifu ndani ya CCM, na kwa kuanzia waanze na makatibu wa CCM wa wilaya na mikoa na baadae kwa wale wote wenye uroho wa madaraka ambao wanatumia muda mwingi kukidhoofisha chama kwa kuendekeza makundi ndani ya chama na kuzua mpasuko ambao unakigharimu chama na utazidi kukigharimu siku za usoni.......

Siasa si uadui.......Japo ni mchezo mchafu

Tutabanana humuhumu ndani ya CCM.....

Bala.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ritz, nimefuatilia hii thread toka mwanzo. Nimeshindwa kuchangia cuz nimeona ni kama watu wameanza kushambuliana badala ya kubaki kwenye mada husika. Kwa kiasi kikubwa naona William amekosea sana, kuna mambo hakupaswa kuandika, though tumeshamzoea!! Kwa nafasi tuliyompa hakutakiwa aonyeshe this kind of behavior. Anyway, chama kinafahamu zaidi na haya tunayaona. Kwa maoni yangu hii siyo njia sahihi, na kiongozi mzuri atakiwi awe hivi.

Mkuu Rejao
Kumlaumu william ni kumuonea personal attacks zimeanzishwa na makamanda wao hawana hoja zaidi ya kupiga kelele wakiishiwa na hoja wanaanza matusi na kebehi anachokifanya william ni kujibu mapigo siasa za JF ni kujibu mapigo kwa nguvu zote

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom