Finally: BBC speaks the truth

Finally: BBC speaks the truth

Sad thing wengi wenu ambao ni Kagame critic or pro hiyo documentary hamna any business of being Tanzanians,wengi wenu ni waTZ wahutu wa mipakani na mliokimbia Rwanda after genocide,poleni sana ila Kagme alishawakomesha.
 
Statement yako hii inahusiana vipi na Genocide aliyoifanya bwana Mkubwa huko Congo? una cha kuzungumza kuhusiana na mauji yale ya akina mama, na watoto wasio na hatia kule Kibeho?
 
Sad thing wengi wenu ambao ni Kagame critic or pro hiyo documentary hamna any business of being Tanzanians,wengi wenu ni waTZ wahutu wa mipakani na mliokimbia Rwanda after genocide,poleni sana ila Kagme alishawakomesha.

Ahahahhhahhhha, kwa hiyo na hao BBC ni wahutu. Kudadadeki. Lazima mchanganyikiwe. Nyamwasa naye ni mhutu?......LOL
You can fool some people sometime, but you can't fool all the people all the time.
Na kwa statement yako hapo unaonyesha wazi kuwa bado kuna ubaguzi. Poor Rwanda, mna maisha ya wasiwasi sana.
 
Sad thing wengi wenu ambao ni Kagame critic or pro hiyo documentary hamna any business of being Tanzanians,wengi wenu ni waTZ wahutu wa mipakani na mliokimbia Rwanda after genocide,poleni sana ila Kagme alishawakomesha.

Badala ya kujibu hoja za documentary unajaribu kufanya stupid attemp ya character assassination. ...
Ni kwa nini habyarimana aliuwa....ni kwa mauaji yakaanza immediate. ...

Mnakimbilia hoja ya mauaji kutojibu maswali ya msingi.
 
Mkuu, wamechanganyikiwa. Yaani silaha yao sasa hivi ni moja tu. Ukiongea wanasema wewe ni interahamwe, FDRL......
Ni kama mwanajeshi aliye vitani hajui adui yuko wapi, akisikia mlio wa bunduki naye anapiga ovyo ovyo tu.
 
Hiyo documentary imemuumbua Kagame kwa sana, wana haki ya kulalamika
 
Nasikia ame appeal kwenye mahakama ya haki za binadamu ya Africa...(sijalishika jina vizuri la hiyo mahakama)...na kesi itasikilizwa Arusha...lets hope watamuachia aweze kugombea urais...hivi kwa nini watu wanapenda kubinafsisha madaraka kwa mbinu zote?????
Mama Ingabire akifanikiwa kesi na akashinda , si ajabu akagombea urais na kushinda vile vile.
Hilo ndo tatizo la Kagame, maana akishinda urais tu atamfunga Kagame, naye analijua hilo.
 
Mama Igambire si mtu wa visasi halafu unajua jeshi la Rwanda linamilikiwa na watutsi sidhani kama watakubali kumwachia nchi nasikia harufu ya vita nyingine.

Mama Ingabire akifanikiwa kesi na akashinda , si ajabu akagombea urais na kushinda vile vile.
Hilo ndo tatizo la Kagame, maana akishinda urais tu atamfunga Kagame, naye analijua hilo.
 
Aisee sikuiona hii documentary before. It has really revealed what was not known by many of us.
 
Huyu mwandishi wa habari na mchunguzi wa makala haya, Jane Corbi aatisha, ni zaidi ya mwandishi na nafikiri anaweza kuwa hata jasusi!!! Kuweza kufnya mahojiano na watu wote hao na kuweza kupita na kushiriki commemorations zote hizo ilikuwa balaa, sina hakika kama kuna mwandishi wa habari yeyote wa Kitanzania ameshawahi kufanya investigatve journalism yenye compoents za high intellgence kama hii......Lakini kitendo cha kuweza kupenya vizingiti vyote hivyo unnoticed inaprove kabisa Rwanda is very very permissible, ile boasting na pride yao kwamba wana intelligence ya kutisha iko wapi??

Hakuna jipya, labda the title ya documentary tu!Upuuzi kama huu hata humu humu ulikuwepo even before the documentary.
 
Hakuna jipya, labda the title ya documentary tu!Upuuzi kama huu hata humu humu ulikuwepo even before the documentary.

Ni kweli hakuna jipya, isipokuwa tu yalikuwa yamefichwa. lakini ni mambo ambaya RPF waliyafanya. Sasa yamewekwa wazi.
 
BBC ni noma...si hii video kuna kipindi ilikuwa haipatikani tena You tube...wameirudisha tena...lazima Bunge la Rwanda liipige stop BBC kurusha matangazo Rwanda aisee na ikiwezekana You Tube watafuata...
Turushebungela eac
 
Hiyo documentary imemuumbua Kagame kwa sana, wana haki ya kulalamika
naamini pia kuwa hawa kina koba wana haki ya kulalamika na kuandamana kwasababu documntary imemvua nguo kabisa kagame. hadi hoja zimewaishia wanashindwa kujibu, bahati mbaya ni kwamba dunia imekuwa kijiji hivyo ulimwngu wote umeshaelewa na documentary imeshakuwa downloaded iko majumbani mwa watu, hata bbc wakiitoa tutaiweka tena.
 
Hapa upuuzi uko wapi? Yaani kusema kuwa Kagame alihusika kuangusha ndege iliyomwua rais aliyechaguliwa ni upuuzi? Serikali ilipewa nafasi kujibu data zilizomo kwenye hiyo documentary kabla haijarushwa hewani hawakufanya lolote. Sasa kipindi kinarushwa hao wabunge wanasema kile kipindi kinapinga kutokea mauaji ya kimbari. Hawakanushi chochote kwenye substance ya mada ila wanasema hao BBC wanapinga kutokea kwa genocide. Hapa NANI MPUUZI?
hapo MPUUZI ni PaKa na "extremist tutsi" wenzake wenye!....na kuendelea kufanya hivyo ndio hasa kunaidhihirishia dunia what actually happened during "genocide"!
 
lakini katika hili, ICC a.k.a the hague haina nguvu kisheria kumshitaki kagame kwasababu alifanya makosa hayo kabla haijaanzishwa. icc inashughulikia makosa yaliyotendeka kuanzia 2002. apo mahakama za rwanda zikiwa na rais mpya rwanda.
 
Back
Top Bottom