Finally: BBC speaks the truth

Finally: BBC speaks the truth

Aminiusiamini: I choose not to believe. Frankly I hate people who come up with outlandish claims but do not provide any evdidence. What do you think we are? Children? " Tanzanians knew about Kagame's plans to shoot...." Well, I am Tanzanian and I did not know. You either provide a source, audio, photo or.....it never happened.

Am sorry for confusion.But i must also say to believe or not to believe,it does not matter right now.Millions of people have perished already.we could have prevented of course.

I dnt hate Kagame,but i think he should just let go of this "genocide" issue. I was very angry in fact when wananchi walipokuwa wanazimia na kulia uwanjani.This is not fun. This is not something you want to do all the time. Haina maana zaidi ya kutonesha vidonda kila leo. Unasbabisha mtu kulipiza kisasi .

My girlfriend she was tutsi her brother was killed in the war.But she also says,the tutsi also killed alot of hutus and cover the massacre carefully. No one is a victim in this plight.

And lets be fair here what about the innocent hutus women and kids who died in the war?

Kuhusu Tanzania part, there are numerous proof and classified info displayed the role of Tanzania directly and indirectly before the war and how they could have prevented it. But they kept quiet why?


Hakuna hata nchi moja iliingilia france wanapiga kelele sasa hiv washenz wakati wao walikimbia. Hawa UK walikuwa wapi? Leo wanaleta habari haziwahusu?
Mbona Bush alienda iraq kwa kisingizo cha weapon of mass destruction alipata? Mbona BBc hawaongelei hayo na mengi tu ambayo mzungu amefanya mabaya africa?
Lazima tukubaliane kama international society and as neighboring country we owe an apology to these people for our failure to prevent this thing. Sijui africa union ina maana gani.
 
Duh, inatisha hiyo. Ndo maana akina Commanche murutongore MUKAMASIMBA Koba mchambawima1 wanashambulia watu humu ovyo ovyo wakidhani ni FDRL, interahamwe.
Mi huwa najiuliza kwanini jamaa wanakuwa na hisia kali namna hiyo? kumbe wanajua kilichofanyika ni kibaya.
Cha ajabu sijasikia hata siku moja humu JF watu wanajitokeza na kusema Mi ni mhutu niko ukimbizini. Sijui wamepotelea wapi?
hahahah...wahutu wote wameishajipa uraia watanzania na kikwete anawakubali,na hawawezi kujitambulisha kama wahutu kwa sababu za aibu kutokana na mauaji waliyoyafanya
 
Last edited by a moderator:
Hili bara limelaaniwa sijui! Yaani kuna watu wako upande wa wazungu dhidi ya waafrika, mfano wazungu dhidi ya kagame, wazungu dhidi ya mugabe.
Sasa kama warwanda wameamua hivyo sisi ambao sio warwanda inatuhusu nini?!
Hata kipindi hawa warwanda wanachinjana hao british walijiweka pembeni afu leo wanaanza propaganda za kipuuzi kabisa

Hapa upuuzi uko wapi? Yaani kusema kuwa Kagame alihusika kuangusha ndege iliyomwua rais aliyechaguliwa ni upuuzi? Serikali ilipewa nafasi kujibu data zilizomo kwenye hiyo documentary kabla haijarushwa hewani hawakufanya lolote. Sasa kipindi kinarushwa hao wabunge wanasema kile kipindi kinapinga kutokea mauaji ya kimbari. Hawakanushi chochote kwenye substance ya mada ila wanasema hao BBC wanapinga kutokea kwa genocide. Hapa NANI MPUUZI?
 
5,000,000 hutu died after liberation???? duh kweli genocidaire mmeamua kuleta uongo to the point that even your math does not add up. Wafe watu milioni tano na dunia isijue? hii kali.

The horrifying results of mob violence at its most extreme were revisited by reporter Jane Corbin in This World: Rwanda's Untold Story(BBC Two). This intense documentary set out to entirely up-end what the world understands happened during the Rwandan genocide in 1994, when a million people were slaughtered in a bloodbath lasting 100 days.

Corbin began by looking at how, 20 years on, Rwanda's is one of Africa's fastest growing economies and the country's president, Paul Kagame, enjoys the support of the international community. There followed an account of the tensions between the minority Tutsi and majority Hutu populations that led to the genocide, and how Kagame – through the intervention of his rebel force, the Rwandan Patriotic Front, came to be seen as the hero who stopped the killing.

That was the last time in the film that anything generally accepted wasn't called into question. Interviewing academics, survivors and former henchmen of Kagame, Corbin embarked on a forensic deconstruction of the official history of the genocide (which puts the blame entirely on the Hutus). Studies by two American researchers suggested that hundreds of thousands of Hutus could have been killed too, possibly by RPF forces. A UN report expressing similar concerns had allegedly been suppressed. Belgian historian Prof Filip Reyntjens suggested that Kagame could be one of the "most important war criminals still in office today".

The allegations kept coming: of rigged elections and political oppression, of pressure put on official investigations into the genocide, assassination attempts on Kagame's exiled ex-colleagues, and Rwanda's role in the deaths of five million people in the wider conflict in the Congo region. The numbers were mind boggling, the answers few, the claim that the UK is the largest contributor to the near £500 million annual foreign aid that helps keep Kagame in power, deeply concerning.

This World: Rwanda's Untold Story, BBC Two, review â€" 'intense' - Telegraph


Mkuu @
Commanche siandiki jambo kwasababu napenda kuandika tu la hasha kabla sijandika chochote napitia kwanza maandiko mengi tena kutoka vyanzo mbali mbali ikiwa bado una kiu niambie nikuletee zaidi.Kifupi ni kwamba kipindi Rwanda inaomba kujiunga na EA waTanzania wengi tulipaza sauti ya kuikataa Rwanda lakini serekali ya Mkapa haikutaka kusikia ushauri wa wananchi kama ilivyokataa kusikiliza ushauri wa Mwl Nyerere wakati wa kuiuza NBC.

Leo Tanzania inashuhudia vituko vya Rwanda ndani ya EA imeungana na nchi zingine mwanachama kusigina interest za Tanzania na kufikia hatua ya kumtisha Rais wa JMT.Ni Kagame kipenzi cha nchi za magharibi sasa anaanza kugeukwa machafu yake yote yanaanikwa hadharani.Jiulize ni kwanini Kagame amekuwa akitoa support kubwa sana kwa Kenyatta dhidi ya mashitaka ICC ?
 
Am sorry for confusion.But i must also say to believe or not to believe,it does not matter right now.Millions of people have perished already.we could have prevented of course.

I dnt hate Kagame,but i think he should just let go of this "genocide" issue. I was very angry in fact when wananchi walipokuwa wanazimia na kulia uwanjani.This is not fun. This is not something you want to do all the time. Haina maana zaidi ya kutonesha vidonda kila leo. Unasbabisha mtu kulipiza kisasi .

My girlfriend she was tutsi her brother was killed in the war.But she also says,the tutsi also killed alot of hutus and cover the massacre carefully. No one is a victim in this plight.

And lets be fair here what about the innocent hutus women and kids who died in the war?

Kuhusu Tanzania part, there are numerous proof and classified info displayed the role of Tanzania directly and indirectly before the war and how they could have prevented it. But they kept quiet why?


Hakuna hata nchi moja iliingilia france wanapiga kelele sasa hiv washenz wakati wao walikimbia. Hawa UK walikuwa wapi? Leo wanaleta habari haziwahusu?
Mbona Bush alienda iraq kwa kisingizo cha weapon of mass destruction alipata? Mbona BBc hawaongelei hayo na mengi tu ambayo mzungu amefanya mabaya africa?
Lazima tukubaliane kama international society and as neighboring country we owe an apology to these people for our failure to prevent this thing. Sijui africa union ina maana gani.
No clue what you are talking about....sound like confused or no idea.
 
We are very sorry for Kagame and Gang!
YOU COULD PUT MUFFLERS ON MOST RWANDANS, BUT MOST RWANDANS ARE NOT THE BBC!
 
No clue what you are talking about....sound like confused or no idea.

Well,it your opinion. It doesn't bother me. Sina chuki na wwe wala Kagame wala his people. I speak of what i know,and whats has been on the surface of the few for the longest. Am sorry, my opinion didn't entice or appeal your ground,because i chose to look and think differently.
I think Rwanda should move on from the past. Kagame has done a wonderful job so far and i think in any war or conflict,there are collateral damages and things cant be repaired.

My message is MOVE ON Rwanda,period.
 
Nawashangaa sana watanzania wanaomchukiaga Kagame. We all know anatawala kidikteta lakini kuna diplomatic channels za kumshauri! Given the sensitive nature of this issue mi naona BBC wana lengo lao kwa kutoa documentary controversial kama hii.
Hawa BBC mnaowasifu sana mimi kwangu ni western media, and to me western media is all part and parcel of the western machine that has destroyed and looted from many African countries....kuanzia libya na kuendelea!
Watuelezee basi na the role France played in kuchochea genocide. Kama hamjui hakuna nchi inayofaidi mali za koloni zake kama Ufaransa. How France loots its former colonies | This Is Africa
View attachment 195994
hiyo picha hapo inaonyesha wanajeshi wa ufaransa wakimhand over an unwilling victim wa genocide kwa militia men.
Watanzania mnataka Rwanda ianguke tena na kuwa kama Libya au? Hapo ndio mtafurahi? Siwaelewi na naomba mmoja wenu kwa ustaarabu anielezee shida yetu sisi waTz na Rwanda iko wapi?
Kwani watanzania ndio walioandaa hiyo documentary? Humu jamvini kuna watu tofauti tofauti sio watz pekee. Kwahiyo inategemea Story ipi inaingia akilini kwa wale wanaoamini upande wa RPF basi lazima wataendelea kutetea kilichofanywa na RPF. Kwa wale ambao wanaamini upande wa pili basi wao hii documentary inazidi kuwapa ushahidi. Ila ukitathimini mwenendo wa Kagame kama ingekuwa Product life cycle Kagame ameshafikia senescence.
 
hahahah...wahutu wote wameishajipa uraia watanzania na kikwete anawakubali,na hawawezi kujitambulisha kama wahutu kwa sababu za aibu kutokana na mauaji waliyoyafanya

Nashukuru sana kwa kuliweka hilo wazi. Kumbe unajua kabisa kuwa Watusi wanawaua na kuwafukuza wahutu? sasa kagame anajenga Nchi? au anabomoa kwa kuua wahutu walio wengi? jMali murutongore Koba mchambiawima1 Ngongo rushasha Commanche Umslopagas
Ndugu yangu, nchi ya namna hiyo ni matatizo baadaye...... mnajitengenezea jinamizi. Yaani hakuna hata raia yeyote kutoka rwanda humu JF anayemchalenji Kagame. Sasa kuna demokrasia humo? ona sisi huyo commanche anajiita mtanzania na kila siku ni comment za kumsifia kagame na kumponda rais wake. Lakini mbona sisi hatumkani uraia wake?
 
Last edited by a moderator:
Dua la kuku halimpati.....wacha kuwadhalaulisha machinga wenzako! ndugu yangu umepitwa na mengi kweli, watutsi mshwamaliza kwenye Genocide hivi kumebakia wanyarwanda tu au haitoshi na wao lazima wauwawe wote? acha kujipa laana we chinga baada ya kufikiria biashara mpya we unafikiria kuuwa tu! duh kazi ipo

mzee wa sumuuuuuuuu, tema sumu tema sumu fastaaaaaa. mzee wa jenosaidiiiii tema sumu fasta fastaaaaaaaaa..... Ni sheedah
 
5,000,000 hutu died after liberation???? duh kweli genocidaire mmeamua kuleta uongo to the point that even your math does not add up. Wafe watu milioni tano na dunia isijue? hii kali.

Niambie mnyamulenge, Mzee wa sumu umemuona. Babu yako huyo msikilize.
mzee wa sumuuuuuuuu, tema sumu tema sumu fastaaaaaa. mzee wa jenosaidiiiii tema sumu fasta fastaaaaaaaaa..... Ni sheedah
 
Mh eti huwa unajiuliza? Hata usichoshe kichwa chako bure,mambo ya Rwanda hautoyaweza, yanaweza yakakufanya uvae chupi kichwani!nakushauri uwe unajiuliza mambo ya huko kwenu maana naona yanaenda kombo.
Hizo hisia zetu kali ndio zilizotufanya tusimamishe mauajiRwanda na tokea kipindi hicho tumejifunza mengi kutoka kwetu wenyewe, tunajuaushauri wenu (Ma extremist) na wanafiki wengineo duniani hawatupi shida,tunafanya tunachotaka na asiye kubali address yetu anaijua.
Tatizo lenu mpaka leo bado mko confused, tatizo sio huturefugees or whatever (Rwanda is for Rwandans) it is about Extremist Rwandansand their allies wherever they are, hebu jiulize hizo kelele zimemaliza miaka20 lakini mpaka leo mbona mmeshindwa kubadili kitu au maana yake ni kwambamnapenda tunavyofanya lakini unafiki unawasumbua?

mzee wa sumuuuuuuuu, tema sumu tema sumu fastaaaaaa. mzee wa jenosaidiiiii tema sumu fasta fastaaaaaaaaa..... Ni sheedah
 
BBC ni noma...si hii video kuna kipindi ilikuwa haipatikani tena You tube...wameirudisha tena...lazima Bunge la Rwanda liipige stop BBC kurusha matangazo Rwanda aisee na ikiwezekana You Tube watafuata...

........nyumba kubwa:; unamaanisha You Tube nao watafuata kupigwa stop wasirushe matangazo Rwanda au nimekuelewa vibaya?
 
walipokuwa kwenye matatizo hawakuwasaidia chochote ila nashangaa sasa wanataka kuwasaidia kuipoteza aman yao. WALAANIWE MASHUSHUSHU WOTE WEUPE KWA WEUSI

Angalia documentary wewe acha kujitoa akili
 
Whenever an issues is raised about the Rwanda Genocide, my memory races to remember Captain Mbaye Diagne (born: 18 March 1958; killed: 31 May 1994) who was a Senegalese Army officer and a United Nations military observer during the 1994 Rwandan Genocide. He is credited with saving many lives during his time in Rwanda through nearly continuous rescue missions at great peril to himself. On the 8th of May 2014, the UN Security Council decided to create the Captain Mbaye Diagne Medal for Exceptional Courage in honour of the actions of Captain Mbaye Diagne during the Rwandan Genocide.
 
Dua la kuku halimpati.....wacha kuwadhalaulisha machinga wenzako! ndugu yangu umepitwa na mengi kweli, watutsi mshwamaliza kwenye Genocide hivi kumebakia wanyarwanda tu au haitoshi na wao lazima wauwawe wote? acha kujipa laana we chinga baada ya kufikiria biashara mpya we unafikiria kuuwa tu! duh kazi ipo

Alafu yaelekea na wewe ni kagame moja maana nasikia ana watu hadi tz nadhani nawe ni mmoja wao maana dharau unayoionesha hapa mh
 
[video=vimeo;107867605]http://vimeo.com/107867605[/video]

Bunge nchini Rwanda limepiga kura ya kupiga marufuku BBC nchini humo, kufuatia kipindi maalum cha Televisheni kilichoitwa ''Untold story'' kuhusu mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 kilichopeperushwa na BBC.


Kipindi hicho kilihoji uhusika wa baadhi ya maafisa wakuu serikalini juu ya yale yaliyotokea wakati wa mauaji ya kimbari.
Bunge hilo linataka hatua kali kuchukuliwa dhidi ya BBC kwa kupeperusha kipindi hicho ambacho wanasema kinahujumu mauaji ya Kimbari na pia kukana mauaji dhidi ya watutsi.



Kipindi hicho kiliwahusisha wataalamu wawili wa Marekani waliohoji maelezo kuhusu mauaji ya kimbare mwaka 1994 ambayo umoja wa Mataifa unasema kuwa watu 800,000 wengi wao watutsi na wahutu wenye msimamo wa kadri waliuawa kinyama.


Hapo jana maandamano yalifanyika mjini Kigali dhidi ya BBC kwa mujibu wa mwandishi wa BBC Prudent Nsengiyumva mjini Kigali.


Katika kikao kilichodumu siku nzima, wabunge pamoja na maseneta walijadili kuhusu kipindi hicho,''Rwanda’s Untold Story''
Kilipeperushwa tarehe 1 mwezi huu wa Oktoba na moja ya vituo vya BBC. Wabunge hao walitoa wito wa kusitisha matangazo ya BBC nchini Rwanda.
Wanataka serikali imchukulie hatua mtangazaji wa kipindi hicho, na wale wote waliohusika kutengeza kipindi hicho.

Mimi Binafsi naamini MAUWAJI ya Kimbari yalitokea..kwakuwa kipindi hicho tulikuwa chuo na wenzetu waliokuwa mbele yetu walichukuliwa wote kwenda kutoa support kutokana na influx ya wakimbizi na zile maiti karibu 800'000 zilizagaa mto Kagera

Kinachotokea natofautiana na nadharia kuwa MAUWAJI yalikuwa dhidi ya Watutsi peke Yao Kwani Pia kuna baadhi ya Watutsi walikuwa wameuwa wahutu...na kuna wahutu wenye msimamo moderate waliuliwa na wenzao...Sasa wanaoweka Historia ya Kimbari kwanini hawataki kukiri kuwa kuna Wahutu pia walikufa ...

Kutumia Jina " genocide against Tutsi " sio sawa ...Nadhani ingekuwa busara kusema .." Genocide against Tutsi and Moderate Hutu" or simply call it " Rwanda genocide "

Nadhani nadharia inayojengwa kwenye kutumia Jina genocide against Tutsi ....ni kinyume na nadharia ya kusamehe inayohubiriwa na kuwaweka KANDO Wahutu ...kwenye Tawala nchini Rwanda kwakuwa Daima WATAKUWA wanatembea Huku usoni wana nembo ya Kimbari .
 
Back
Top Bottom