Finally: BBC speaks the truth

Finally: BBC speaks the truth

Hawana maana hao wabunge. Mbona yakiongewa ya kumsifu kagame mnauchuna? Wanawashwa tu hao.
Mnafanya mchezo na mwingireza? ahahhaha.
Na bado sasa hamjauona u kigeugeu wa mmarekani.
Alafu kumbuka bado mfaransa anawa mind kinoma. anawasubiria tu mkae kwenye target yake.
 
Rwanda MPs condemn BBC Untold Story programme on genocide

_78462423_74046100.jpg

There are numerous memorials around Rwanda to those killed in the genocide

Rwanda's parliament has condemned the BBC for broadcasting a documentary which questioned official accounts of the 1994 genocide in the country. It approved a resolution calling on the government to ban the BBC in Rwanda and to charge the documentary-makers with genocide denial. At least 800,000 people died in the genocide.

The BBC has denied that any part of the programme constitutes a "denial of the genocide against the Tutsi". Those killed in the genocide are generally believed to be mostly members of the minority ethnic Tutsi group, and Hutus opposed to the mass slaughter.
The BBC programme Rwanda, The Untold Story, includes interviews with US-based researchers who say most of those killed may have been Hutus, killed by members of the then-rebel Rwandan Patriotic Front (RPF), which has been in power since 1994.
The programme also included interviews with former aides of RPF leader President Paul Kagame, accusing him of plotting to shoot down the presidential plane - the act seen as triggering the slaughter.He has consistently denied previous such accusations.

_74060184_021795891-1.jpg

Paul Kagame's Rwandan Patriotic Front (RPF) has been in power since the genocide ended

Punishable crime.
The resolution was approved at a rare joint sitting of Rwanda's two houses of parliament
About 150 protesters had earlier delivered a letter at the BBC office in the capital Kigali for its Director General, Tony Hall. They said the documentary was an attempt to revise the history and facts of the genocide, and disrespected the memory of those who had died.
_75306515_line976.jpg

Rwandan genocide:
  • 6 April 1994: President Juvenal Habyarimana is killed when his plane was shot down on returning from peace talks with Tutsi RPF rebels
  • 7 April: It is not clear who is behind the shooting but it sparks the systematic mass killing of mainly Tutsis by extremist Hutu militia and military elements
  • April-July: An estimated 800,000 Tutsis and moderate Hutus are slaughtered
  • RPF denies accusations they killed thousands of Hutus as they marched through the country
  • July: RPF captures the capital, Kigali
  • July: Two million Hutus flee to Zaire, now DR Congo
_75306515_line976.jpg

The resolution said the programme's producer and presenter, as well as those interviewed for the documentary, should be charged with genocide denial - a punishable crime in Rwanda.
In a recent statement, the BBC said it had a duty to investigate difficult and challenging subjects and believed the programme was a valuable contribution to the understanding of the tragic history of the country and the region.
The BBC also said several attempts to get the Rwandan government to respond to the allegations for the programme had not been taken up. Mr Kagame comes from the minority Tutsi group.
Source: BBC News - Rwanda MPs condemn BBC Untold Story programme on genocide
 
[video=vimeo;107867605]http://vimeo.com/107867605[/video]

Bunge nchini Rwanda limepiga kura ya kupiga marufuku BBC nchini humo, kufuatia kipindi maalum cha Televisheni kilichoitwa ''Untold story'' kuhusu mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 kilichopeperushwa na BBC.

Kipindi hicho kilihoji uhusika wa baadhi ya maafisa wakuu serikalini juu ya yale yaliyotokea wakati wa mauaji ya kimbari.
Bunge hilo linataka hatua kali kuchukuliwa dhidi ya BBC kwa kupeperusha kipindi hicho ambacho wanasema kinahujumu mauaji ya Kimbari na pia kukana mauaji dhidi ya watutsi.

Kipindi hicho kiliwahusisha wataalamu wawili wa Marekani waliohoji maelezo kuhusu mauaji ya kimbare mwaka 1994 ambayo umoja wa Mataifa unasema kuwa watu 800,000 wengi wao watutsi na wahutu wenye msimamo wa kadri waliuawa kinyama.

Hapo jana maandamano yalifanyika mjini Kigali dhidi ya BBC kwa mujibu wa mwandishi wa BBC Prudent Nsengiyumva mjini Kigali.

Katika kikao kilichodumu siku nzima, wabunge pamoja na maseneta walijadili kuhusu kipindi hicho,''Rwanda’s Untold Story''
Kilipeperushwa tarehe 1 mwezi huu wa Oktoba na moja ya vituo vya BBC. Wabunge hao walitoa wito wa kusitisha matangazo ya BBC nchini Rwanda.
Wanataka serikali imchukulie hatua mtangazaji wa kipindi hicho, na wale wote waliohusika kutengeza kipindi hicho.
 
nani aliyemdungua habiaramana.....kwani population density baina ya wahutu na watutsi ipo kiasi gani...ni nani alikuwa msituni akipiinga serikali ya Habyaramana...kagame atueleze kwa nini alikuwa msituni...mwisho nani amethibitisha watusi walikufa wengi na sio wahutu....bbc imeibua hiden facts..
 
Hili bara limelaaniwa sijui! Yaani kuna watu wako upande wa wazungu dhidi ya waafrika, mfano wazungu dhidi ya kagame, wazungu dhidi ya mugabe.
Sasa kama warwanda wameamua hivyo sisi ambao sio warwanda inatuhusu nini?!
Hata kipindi hawa warwanda wanachinjana hao british walijiweka pembeni afu leo wanaanza propaganda za kipuuzi kabisa
 
Hawana maana hao wabunge. Mbona yakiongewa ya kumsifu kagame mnauchuna? Wanawashwa tu hao.
Mnafanya mchezo na mwingireza? ahahhaha.
Na bado sasa hamjauona u kigeugeu wa mmarekani.
Alafu kumbuka bado mfaransa anawa mind kinoma. anawasubiria tu mkae kwenye target yake.

Mbona mbiombio umekimbilia kwa kagame?! Hii habari inahusu bunge la rwanda lililochaguliwa na warwanda wenyewe vs bbc, au wewe unajua rwanda ni kagame?! Mfano hapa tz bunge lilipoazimia mkataba dowans uvunjwe utasema ni kikwete!
Mkuu inaonesha ufaransa akaivamia rwanda utafurahi sana
 
Hili bara limelaaniwa sijui! Yaani kuna watu wako upande wa wazungu dhidi ya waafrika, mfano wazungu dhidi ya kagame, wazungu dhidi ya mugabe.
Sasa kama warwanda wameamua hivyo sisi ambao sio warwanda inatuhusu nini?!
Hata kipindi hawa warwanda wanachinjana hao british walijiweka pembeni afu leo wanaanza propaganda za kipuuzi kabisa

We are in the dark continent, Don't worry Son sky going to pay for us.
 
Hawa mambwa wa BBC wajinga sana, nani asiejua BBC inatumika tu kama mouthpiece ya mabeberu wala damu wa Ulaya, hawa jamaa walikuepo kipindi Vita inaanza hawakusaidia hata kitu kimoja, Kagame ni mwanadamu lakini kaweka mambo sawa na sasa Rwanda ni moja ya nchi ya kupigiwa mfano, huyo wao hawamtaki na ni aibu kwa hawa Waafrika kujinga na hawa wapuuzi dhidi ya waafrika wenzao...haamjaona ulongo wa BBC hata majuzi Scotland walipotaka kujitenga???
 
Bunge nchini Rwanda limepiga kura ya kupiga marufuku BBC nchini humo, kufuatia kipindi maalum cha Televisheni kilichoitwa ''Untold story'' kuhusu mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 kilichopeperushwa na BBC.
Kipindi hicho kilihoji uhusika wa baadhi ya maafisa wakuu serikalini juu ya yale yaliyotokea wakati wa mauaji ya kimbari.
Bunge hilo linataka hatua kali kuchukuliwa dhidi ya BBC kwa kupeperusha kipindi hicho ambacho wanasema kinahujumu mauaji ya Kimbari na pia kukana mauaji dhidi ya watutsi.

Kipindi hicho kiliwahusisha wataalamu wawili wa Marekani waliohoji maelezo kuhusu mauaji ya kimbare mwaka 1994 ambayo umoja wa Mataifa unasema kuwa watu 800,000 wengi wao watutsi na wahutu wenye msimamo wa kadri waliuawa kinyama.
Hapo jana maandamano yalifanyika mjini Kigali dhidi ya BBC kwa mujibu wa mwandishi wa BBC Prudent Nsengiyumva mjini Kigali.
Katika kikao kilichodumu siku nzima, wabunge pamoja na maseneta walijadili kuhusu kipindi hicho,''Rwanda's Untold Story''
Kilipeperushwa tarehe 1 mwezi huu wa Oktoba na moja ya vituo vya BBC. Wabunge hao walitoa wito wa kusitisha matangazo ya BBC nchini Rwanda.
Wanataka serikali imchukulie hatua mtangazaji wa kipindi hicho, na wale wote waliohusika kutengeza kipindi hicho.
Source:Wabunge Rwanda walaani BBC - BBC Swahili
My take:
Mara kadhaa Paul Kagame amaekuwa anakwepa uhusika mauaji ya Kimbari ya mwaka 1994, lakini ushahidi upo wazi. Ni kweli Rwanda imetulia na imepiga hatua kimaendeleo kulinganisha na nchi nyingi za kiafrika, lakini tunapozungumzia justice, hakuna namna nyingine ya kumtoa Kagame katika mauaji yaliyotokea na pengine yanayoendelea kutokea kwa wale wanaompinga. Kama ICC ipo kwa ajili ya justice, nadhani Kagame anatakiwa awe mfano mwingine wa watu wenye uchu wa madaraka kwa damu za raia.
Angalia ducumentary yenyewe hapa ujiridhishe.
Documentary: Rwanda's Untold Story Documentary on Vimeo
 
Hili bara limelaaniwa sijui! Yaani kuna watu wako upande wa wazungu dhidi ya waafrika, mfano wazungu dhidi ya kagame, wazungu dhidi ya mugabe.
Sasa kama warwanda wameamua hivyo sisi ambao sio warwanda inatuhusu nini?!
Hata kipindi hawa warwanda wanachinjana hao british walijiweka pembeni afu leo wanaanza propaganda za kipuuzi kabisa

acha kumtetea huyo muuaji kagame wewe,watusi sio watu wazuri kabisa wana roho za kinyama hao.
 
hii issue ipo youtube? wapi, manake nilikuwa naitafuta kitambo sana bila kupata.
 
Mbona BBC hawajasema kuwa mauaji ya kimbali hayakutokea, wanakiri yametokea. Ila historia ya hiyo genocide ndiyo imepotoshwa!!! ila msisahau wameongeza kuwa baada ya mauaji ya 1994, kuna mauaji zaidi ya etokea ya wahutu zaidi milioni tano wameuawa na utawala uliopo. Nadhani hapo ndiyo wamegusa maslahi yao watu, hasa wale ambao hawataki ukweli ujulikane
 
finally, nimeipata, na nimedownload. sidhani kama dunia inatakiwa kufuata kile tu Rwanda inachotaka kitangazwe, kuna siku ukweli wa haya yote utajulikana mchana kweupeee. unfortunately, the ICC prosecutes people who committed offences from 2002, mauaji ya Rwanda yalifanyika kabla hivyo kisheria kagame hawezi kupelekwa ICC, ila kama haijafungwa ICTR au mahakama za Rwanda. historia inaonyesha kuwa ukiwachunga watu kwa fimbo ya chuma utaishia kwa aibu kama gadafi.
 
Tatizo hao wabunge wameguswa penyewe inaonekana sindano imeingia ndio maana wameamua kuropoka.hata mkiifungia bbc kurusha matangazo haisaidii wao wametangaza wanachokiamini kilitokea sasa na nyie kama mnaona ni uzushi toeni facts Ili kukanusha kilichosemwa sio kubaki unalalamika Tu. Hiyo laana mliyoitoa kwa bbc haitowapata kamwe.
 
Back
Top Bottom