mchambawima1
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 2,487
- 738
mzee wa sumuuuuuuuu, tema sumu tema sumu fastaaaaaa. mzee wa jenosaidiiiii tema sumu fasta fastaaaaaaaaa..... Ni sheedah
Ehehehhh… Jmali zasiku? Tokea nichukue likizo kwenye hili jukwaa naona misumu umeitapakaza kilakona tena wale uliowaambukiza wameamua kabisa kutoka pangoni , watakuawamekukubali kwa vyovyote, ukizingatia Mchambawima1 kaja na nguvu ya sodakukutoa misumu mwenyewe kamkubari Joka kuu, hongera! Ila kama nilivyo kuambiahuku kwenu (Rwanda) ni kazi tu yani kuchelewa kulala na kuamka mapena ishakuwajadi, hatuna mambo ya kijiweni, ila tukipata wakati tunawawahi kablahamjawamaliza ndugu zetu wabongo kutokana na uchunguzi wangu nimegundua kumbewengi unaowaloga hawajui hata computer, unakuta mtu aanakuuliza eti zile sumuzako wanazidownload vp? Yani nimekufa na cheko uwezi kuamini.
Ila kwa harakaharaka wacha nijaribu kuokoa wale wenyevijisumu na wewe ntarudi kwako baadae maana naona ushaharibu kabisa.
Kwanza ningependanianze na yule mama wa BBC! Hv hamumkumbuki kuwa ndiye yulena mwenzakewakimarekani ndio waliomfanya Bush na Tony blair waingieIraq au mambo huwa hamyawafitilii? Mwishowake mnayadandia kwa mbele, yule mamandiye aliyetuuzia sumu za Iraq eti wana Weapon of mass destruction, Wazee kuingiawakakuta patupu sema ndio hivyo maji hayazoleki, ila tena anabahati waingelezahawajali lakini yule wa kimarekani walimtia ndani kwa kuwauzia sumu ila huyukwa sababu hakuwekwa hospital kutemeshwa sumu zake sasa naona kaja na mpya yaRwanda! Kinachonishangaza huyu mama hamna kipya alicholeta Zaidi ya zile sumuambazo Jmali alikuwa anaziuza kupitia hapa Jamii Forum, tofauti ni kwamba yulemama ni fahari kwa kuuza sumu ndio maana Jmali na washirikina wenzako mmeona mumtumie.
Jinsi mamboyanavyoendelea inanikumbusha kipindi nilikuwa bado naishi bongo, vijana wengiwaliuwawa kwa kusingiziwa wizi, kipindi fulani kulikuwa na mchezo wa kukimbizawezi lakini ukifika mbele wakaona wenzako wameishiwa pumzi(kama kina Kayumba,Rudasingwa, Karegeya na wengineo wengi) ukabaki pekeyako au wachache basiwanakugeuzia ubao na kukuitia mwizi na hiyo ndio inakuwa siku yako ya mwishokupumua, haya nnayo yasema wabongo wakweli watanielewa namaanisha nini, au wale wazazi waliopoteza watoto wao kwakuuwawa njiani wakitoka Disco, mkae mkijua mwizi akipata upenyo anakugeuziaubao eti wewe ndio mwizi, kama kinaJmali na wenzake Kagame kawaandama wee akaona kilichobaki wacha nimuachie mungunijali maendeleo ya wananchi wangu waliosalia basi kinaJmali nao ndio hao nyumayake na visingizio kibao na kumpakazia walivyoacha wamefanya ila kagamemwanaume kadindisha achomwi mtu moto na mwizi atakimbilia mwenyewe Policekujiripoti.
Kama mnatakakujua ni watutsi wangapi waliouwawa kwenye Genocide basi msimuulize Jmali (Jokakuu) njooni huku kwetu kilasehemu ya ukumbusho kuna majina na picha za wilzo uwawa,kuhusu ndege hatujali ila aliyeitungua mungu ambaliki sana kwani Habyarimatulikuwa tunamuhesabu kwenye upande wa adui ambaye alitufanya tuwe wakimbizimiaka zaidi ya 30na kifo chake hakiwezi kujustify mauaji ya raia wasio na hatia,hivi Rwanda ni ya wanyarwanda wote kama utakubali kutemeshwa sumu kama hizo zaJmali na BBC basi karibu sana hutaki hiyo ni hiyari yako naubaki hukohuko
Sie huku kwetu movietushaiona na tunawasubiri kwa hamu sema muwaambie hao washirikina wenzenuwawape risasi za kutosha