Tulia sasa nikupe mkanda, yani wewe mpaka uambiwe na huyo Linda Polman, kumbe wewe ulikuwaujui kuwa hayo mambo yalitokea? Ulikuwa wapi kipindi chote hicho? Picha ikohivi:
Wakati RPF ishakamata nchi sehemu pekee iliyokuwa imebakiailikuwa ni kibeho chini ya usaidizi wa wafaransa, ilikuwa inaitwa (Zone Turquoise)ambayo ilikuwa imeletwa kuwalinda kinaJmali huku wakisingizia eti wamekujakusaidia wakimbizi kipindi hicho! Kipi kilitokea? Waulize wazungu wa Ngos ndiowanajua RPF ni watu gani.
Wakati kinaJmali walikuwa Kibeho walikuwa wamejichanganya nafamilia zao kama ngao na kuanza michezo yao ya hit and run, basi vijana wetuwaliokuwepo pale wakawaambia wazungu wao tusikilizane hawa watu kamamnavyowaona wamejimix na wanaendelea namaovu yao je tufanyeje? Wazungu wakabaki kuduwaa basi kama kawaida tukawapasiku tatu dawa iwe imepatikana au sivyo tutakabiliana nao kabla maji hayajazidikikombe, kinaJmali walikuwa nasiraha chungu mzima ila walikuwa hawatakikuachana na wakimbizi kwa kuogopa kipondo cha RPF, hizo siku zote tatu wazunguwalikuwa hawana solution na ukweli walikuwa wanauona, basi kama kawaida mjeshimkubwa mmoja akamwambia mzungu waNGO ya kwamba kesho tutaanza kazi yetukwa hiyo mjiandae kuandika zile report zenu, kilichofwatia hapo ni history yachanzo cha Amani ndani ya Rwanda!
Sasa wacha nikuulize wewe kama jirani yetu mbona haukuwezakutoa ushauri wako utusaidie kukabiliana na maovu ya Jmali kwa kutumia njiaunayoona ingepaswa kutumika? Saa nyingine msiwe mnalaumu wazungu na wao ni watukama nyinyi kunakipindi wanakosa solution kabisa.
Turudi Congo DRC, hapa sasa ndio ilikuwa balaa maana kina Jmali na serikali yao ya zamani yotewalikuwa wameihamishia kule, kuanzia bank mpaka jeshi kwa kifupi kina Jmaliwalikuwa na serikali ndani ya serikali nyingine! Walipoharibu ni palewalipoanza kumchokonoa kamanda Kagame,jamaa kama kawaida yao wakawa wanacross Rwanda kuja kuchoma ma bus, kuvamia shulena vinginevyo, tukamwambia Mobutu kama umeamua kupokea hao wauaji basiwafundishe na adabu akaleta dharau, tenganisha wakimbizi wakihalali na waasiakakataa, basi waamishie mbali ya mpakani hakutaka kusikia, tukaona isiwe tabuwacha tuongee na UN tuwaambie matatizo tunayoyapata, UN nayo kama mnavyoijua haikufanyachochote ingawa walikili Kamba kina Jmali ni janga, wafanyayo siyo ya kibinadamu na lazimasolution ipatikane la sivyo Rwanda itakuwa kama Somalia nyingine! Basi kamakawaida yetu tukaanza kuwahesabia siku , kilichofwatia hapo ndio hii Rwandamnayoisikia leo ya Amani na umoja!
Hao wazungu hawawezi kuacha kuandika report kuhusu kitualicho kiona kwa macho yake ila muulize je mbona ukutowa ushauri wa kilichotakiwakufanyika? Ndugu yangu hao wanoandikahizo report ukiwaweka chini uwaulize maswali watakuambia hawajapata kuona watustrategic kama RPF kwa sababu hawapapaliki kilakitu na wakati wake, wanaanzakwa kuengage wahusika(Dunia) na kama haina solution basi tunawapa yetu wenyewewanapiga makofi baadae. Ndio maana mpaka leo hutasikia mzungu anapeleka kesieti RPF imefanya hivi mara vile, sisi sio genge la wahuni, ukiona tumekufwatabasi tunasababu na lazima tukushinde.
Waafrica tunatakiwa kuacha mambo ya kulialia na kuogopakuchukua majukumu mazito! Matokeo yake ndio yale unayaona Nigeria(Bokoharam)watu wanatekwa kila siku na serikali haifanyi kitu, tazama Somalia nakwingineko, kutochukua maamuzi na kunenuliana ndivyo vinavyofikisha Africa pabovu hivi, tunatakiwa tuanzekutetea interest za nchi zetu bila kuogopa mzungu kama wao wafanyavyo.