Finally: BBC speaks the truth

Finally: BBC speaks the truth

Hivi Huwa NAJIULIZA Kama kuna Wahutu wana save kwenye Serikali ya Kagame ..ambayo haitaki kutambua Kuwa kuna Wahutu wenye msimamo wa Kati wengi Tu waliouliwa na Watutsi kwenye ile vita...hawa ni Wahutu waliojitolea kuwahifadhi Ndugu Zao Watutsi na kuishia kuuliwa na Wahutu wenzao ..pia ni Wahutu hasa Wazee ,Kinamama na watoto waliouliwa na Watutsi kwenye Mapambano ya kulipizaa Kisasi

Unajisikiaje Kama mhutu kila mwaka wanakumbukwa tu wenzako ...na Ndugu zako waliojitolea kuwalinda hawakumbukwi......Mimi naona kumbu kumbu ya kila mwaka is a constant reminder to Tutsi that Hutu killed us ..and a constant reminder to Hutu ..in creating in them a inferiority syndrome ...this cannot be a cure at all against avoiding Re occurrence of another genocide Wakati hata Wahutu wanaofanya kazi na Kagame rohoni wanasinoneka ..kwa kukumbushwa kila mwaka that ..you must pay the price by remaining ...quiet.
 
Mh eti huwa unajiuliza? Hata usichoshe kichwa chako bure,mambo ya Rwanda hautoyaweza, yanaweza yakakufanya uvae chupi kichwani!nakushauri uwe unajiuliza mambo ya huko kwenu maana naona yanaenda kombo.
Hizo hisia zetu kali ndio zilizotufanya tusimamishe mauajiRwanda na tokea kipindi hicho tumejifunza mengi kutoka kwetu wenyewe, tunajuaushauri wenu (Ma extremist) na wanafiki wengineo duniani hawatupi shida,tunafanya tunachotaka na asiye kubali address yetu anaijua.
Tatizo lenu mpaka leo bado mko confused, tatizo sio huturefugees or whatever (Rwanda is for Rwandans) it is about Extremist Rwandansand their allies wherever they are, hebu jiulize hizo kelele zimemaliza miaka20 lakini mpaka leo mbona mmeshindwa kubadili kitu au maana yake ni kwambamnapenda tunavyofanya lakini unafiki unawasumbua?

Mkuu cjakuelewa ebu nifafanulie viziri
 
Hili bara limelaaniwa sijui! Yaani kuna watu wako upande wa wazungu dhidi ya waafrika, mfano wazungu dhidi ya kagame, wazungu dhidi ya mugabe.
Sasa kama warwanda wameamua hivyo sisi ambao sio warwanda inatuhusu nini?!
Hata kipindi hawa warwanda wanachinjana hao british walijiweka pembeni afu leo wanaanza propaganda za kipuuzi kabisa
Mkuu Patric Elias ukiona hivyo lengo lililokusudiwa la hizi media limetimia maana wao kazi yao ni kulisha watu propaganda zao kuhusu Africa na Ulaya na ndio maana unaona hivi maana Wanyarwanda kama wao walikaa chini na kuondoa sintofahamu na kusahau yaliyopita na kujenga Rwanda yao. Mbona South Africa kuna mambo mengi tu mabaya yalitokea hawaichonoi maana wao kama Rwanda walikaa chini kupitia tume ya ukweli na upatanishi ikiongozwa na Dasmond Tutu waliamua kujenga South Africa yao mpya kwa kusahau yote yaliyopita na kuanza upya na hata ikitokea conflict yoyote au changamoto yoyote isiangaliwe kutokana na history ya yaliyopita lakini hawaichonoi (kwa kuwa kule kuna wenzao wahamiaji). Wenzetu vyombo vyao vinatumika kupiga propaganda ya mambo mazuri ya Ulaya na Marekani na mabaya ya Africa na Asia
Hawa mambwa wa BBC wajinga sana, nani asiejua BBC inatumika tu kama mouthpiece ya mabeberu wala damu wa Ulaya, hawa jamaa walikuepo kipindi Vita inaanza hawakusaidia hata kitu kimoja, Kagame ni mwanadamu lakini kaweka mambo sawa na sasa Rwanda ni moja ya nchi ya kupigiwa mfano, huyo wao hawamtaki na ni aibu kwa hawa Waafrika kujinga na hawa wapuuzi dhidi ya waafrika wenzao...haamjaona ulongo wa BBC hata majuzi Scotland walipotaka kujitenga???
Mkuu Somoche hii yote inatokana na kutokuwa na media ambazo zinaeleza mazuri ya Africa kimataifa maana hata hizo zilizopo zinategemea kwa baadhi ya information kutoka kwenye hizo media za kibeberu, bahati mbaya na radio tulizo nazo dakika kumi zinaelezea current affairs alafu zinazobaki zote ni miziki na matangazo ya pombe, sababuni na matamasha matokeo yake Taifa linabaki na watu wenye kufikiria mambo mengi ambayo unproductive na machache ambayo ni productive
 
Last edited by a moderator:
Patrick, unadhani unaweza ku wa reason hao wajinga? they are blinded by hate and Genocide ideology, huwezi ukawareason wakakuelewa. They were defeated militarily and are scattered all over, most of them are in DRC Jungle, but recently their number in Tanzania has been increasing thx to Gen. Bigaruka's Plan facilitated by the Late spy Master. So ukitaka kuwaelimisha inabidi ufanye kazi kwelikweli manake ni akina hambiriki. Wako very Busy wameanzisha Front nyingine ya Key board baada ya sound defeat militarily. Utawakuta humu wanaanzisha topic chungumzima, kila baada ya masaa macheche utakuta Topic mpya ya kumponda Kagame, ya kuponda Watutsi iri mradi wako busy kweli. Mfano humu ndani ya JF Int. Chukua page ya kwanza hadi ya kumi hesabu Topic za namna hiyo, utashangaa nyingine ni kujirudiarudia tu iri mradi wenyewe wanajisikia kama vire wako vitani na wanamshambulia adui yao mkubwa Kagama au Mtusi. but the Guy as he said doesnt give a damn he is busy developing his people while here the likes of JMali, Justdoitnow,Ngongo,Rushasha etc are obsessed with their foolish hate. So an advise " Dont Argue with fools they will drag you down to their level and then beat you with experience"

Duh! Yaan wewe ndo umenifunbua macho aisee! Mi nilijua najadiri na watu wa kawaida tu ambao hawana maslahi yoyote ktk haya mambo, kumbe najadili na wazee wa kazi?! Yaani kumbe hawa watu wako kazini! Sasa picha inaanza kuja make hawa watu watu huwa wanapinga sana western media, mfano kuhusu report za gaza na ukraine hawa watu walikuja hapa wakatuambia tusiamini media za west eti hazina ukweli bali zinaripoti propaganda tupu, cha ajabu sasa wako upande wa hizohizo media dhidi ya rwanda, najaribu kujiuliza huu urafiki wa dharura/utetezi wa habari za bbc umeanza lini? Najua kabisa hao bbc wakiripoti kuhusu gaza habari ambazo haziwafurahishi hawa jamaa wataigeuka na kukiita chombo cha propaganda za magharibi. Kazi kwelikweli
 
Taarifa zilizopo ni kwamba baada ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 ambayo yalichukua uhai wa raia wapatao 800,000 wengi wakiwa ni watutsi na wahutu wenye msimamo wa wastani.Kuna mauaji mengine ya kimbari yaliyotendwa na serekali ya Kagame amabayo yaliteketeza maisha ya wahutu wapatao 5,000,000 huu ndio ukweli mchungu ambao Kagame na genge lake la wahuni hawataki dunia ijue lakini tayari watu wenye kufikiri nje ya box wameshajua mikono ya Kagame imejaa damu ndio maana amekuwa mstari wa mbele kumtetea Kenyatta kutoshitakiwa ICC kwakuwa anajua ipo siku hata yeye atatakiwa kujibu mashtaka ya mauaji ya kimbari ya wahutu ndani ya Rwanda na nje ya Rwanda (Congo).
Uko sahihi Ngongo, kuongezea hoja tu ni kuwa Pamoja na kuuwawa wahutu wengi huko Kongo lakini kinachowatisha zaidi RPF ni ule ukweli kuwa Kagame alitumia hali iliyokuwepo Rwanda kuhalalisha utawala wake. Hakuna chunguzi za chanzo cha ajali ya Juvenal Habyarimana zinazoonesha kuwa ni jeshi la Serikali ya Rwanda(FAR) au kikundi chochote cha kihutu kilichohusika. Nyingi zinaonesha RPF walihusika ila zinafichwa uvunguni kwasababu ya Maslahi ya USA na Uingereza. Kinachoonesha kuwa kagame ni mwanajeshi mzuri lakini sio kiongozi mzuri ni pale anaposhindwa hata kuficha hisia zake hata kwa mambo yaliyowazi. Mfano: Muda mfupi baada ya RPF kuchukua nchi kikosi kimoja cha RPF kilienda na kumiminia risasi wahutu waliokuwa wamepiga kambi sehemu wakiogopa kurudi majumbani kwa hofu ya kuuwawa. Japo mashuhuda wanasema watu 5000 walikufa UN walisema 2000 na kagame akasema 300 na kitu. Sasa cha kushangaza ni kuwa kama anakubali kuwa kuna wahutu waliuwawa ktk vita hiyo japo sio mauaji ya halaiki ni kwanini hakuna makumbusho ya wahutu waliouwawa ktk vita ktk mazingira ya RPF kulipiza kisasi? Makumbusho sio kwa ajili ya Genocide tu hata waliokufa ktk matukio mengine nao wanaweza kukumbukwa. Yule dada Ingabire alihoji hilo swala ni kwanini hakuna makumbusho ya wahutu waliouwawa na RPF? Amefungwa jela eti anakataa kuwepo kwa Genocide. Sasa hivi inaonesha influences za akina Clinton na Blair zinazidi kuisha hivyo ni kama miti imeanza kuteleza. Angekuwa mjanja angesikiliza ushauri wa kikwete yeye akatunisha kifua na kuanza kuendesha siasa za fitna dhidi ya TZ akitegemea support ya Kenya na Uganda, hilo nalo kosa jingine, alitakiwa ajue kuwa wakenya hawana Political and diplomatic influence ya kuweza kuisumbua TZ hivyo angekwepa sana kushughulika na TZ kama alivyoshughulika na Ufaransa.
Kagame sio kiongozi mzuri kwasababu hajui anaipeleka wapi Rwanda, anachofanya ni kuhakikisha takwimu zinakaa sawa ili asifiwe na USA na UK. Kama angekuwa kiongozi mzuri basi angefanya na kuzingatia yafuatayo: kwanza kwa kuzingatia mfumo wa kiuchumi uliopo duniani sasa hivi ni ngumu kwa nchi kama Rwanda kuja na model mpya ya uchumi tofauti na model zilizopo duniani. Pili angekubaliana kuwa model bora kwa nchi kama Rwanda ni nchi kama Uswisi au Luxembourg ktk nchi hizi Luxembourg pamoja na mambo mengine imejifanya kituo kikubwa cha uzalishaji wa kiviwanda, Uswisi pamoja na mambo mengine imejifanya kituo kikubwa cha biashara ya fedha. Ukiangalia nchi hizi zimejikubali zilivyo kwahiyo hazihangaiki kabisa kutafuta military superiority ila zimewekeza sana ktk diplomasia, hivyo kagame angetakiwa kufanya hivyo kwa moyo wa kizalendo kabisa bila chembe ya ubinafsi. Pamoja na kuwa yeye ni mtu ambaye amekuwa msituni muda wake mwingi(japo kuna watu wanataka kutuaminisha kuwa kagame aliingia msituni ili kuikomboa Rwanda) lakini sidhani kama anashindwa hata kutambua kuwa approach anayoenda nayo haiipeleki Rwanda mahali pazuri. Haya mambo yako wazi 'kulikuwa na mauaji ya halaiki dhidi ya watutsi na kulikuwa na idadi kubwa pia ya wahutu waliuawa bila hatia' kagame afanye maridhiano ya kweli na sio kubase upande mmoja huku akijiita rais wa Rwanda. Aifanye Rwanda ni ya wanyarwanda wote isiwe kila unapokutana na Mhutu huko duniani unasikia malalamiko tu kuhusu utawala wa Rwanda.
 


The allegations kept coming: of rigged elections and political oppression, of pressure put on official investigations into the genocide, assassination attempts on Kagame's exiled ex-colleagues, and Rwanda's role in the deaths of five million people in the wider conflict in the Congo region. The numbers were mind boggling, the answers few, the claim that the UK is the largest contributor to the near £500 million annual foreign aid that helps keep Kagame in power, deeply concerning.

This World: Rwanda's Untold Story, BBC Two, review â€" 'intense' - Telegraph


Mkuu @
Commanche siandiki jambo kwasababu napenda kuandika tu la hasha kabla sijandika chochote napitia kwanza maandiko mengi tena kutoka vyanzo mbali mbali ikiwa bado una kiu niambie nikuletee zaidi.Kifupi ni kwamba kipindi Rwanda inaomba kujiunga na EA waTanzania wengi tulipaza sauti ya kuikataa Rwanda lakini serekali ya Mkapa haikutaka kusikia ushauri wa wananchi kama ilivyokataa kusikiliza ushauri wa Mwl Nyerere wakati wa kuiuza NBC.

Leo Tanzania inashuhudia vituko vya Rwanda ndani ya EA imeungana na nchi zingine mwanachama kusigina interest za Tanzania na kufikia hatua ya kumtisha Rais wa JMT.Ni Kagame kipenzi cha nchi za magharibi sasa anaanza kugeukwa machafu yake yote yanaanikwa hadharani.Jiulize ni kwanini Kagame amekuwa akitoa support kubwa sana kwa Kenyatta dhidi ya mashitaka ICC ?

WaCongo wamekuwa wakiuana hata kabla Kagame hajazaliwa. Suala la mnaojiita watanzania wengi kuikataa Rwanda ni uzushi. Ni lini ilifanyika poll kutoa uamuzi huu. Wengi mnaoichukia Rwanda mnafanya hivyo kwa minajili ya ukabila na chuki dhidi ya Tutsi. Hampendezwi na maendeleo ya Rwanda (ambayo yananufaisha hutu walio wengi) kwa kuwa tu Kagame ni Tutsi. Wakati wa Habyarimana na genge lake la wauaji hamkuwahi kusema lolote kukemea maovu. Leo hii Rwanda ina amani na umoja mko busy mnahaha kutunga na kusambaza uongo. Screw that b.itch Corbin, who cares what the Telegraph says. We do not need some European news outlet to school us on what we know firsthand happen. Watanzania tuache unafiki.
 
Am sorry for confusion.But i must also say to believe or not to believe,it does not matter right now.Millions of people have perished already.we could have prevented of course.

I dnt hate Kagame,but i think he should just let go of this "genocide" issue. I was very angry in fact when wananchi walipokuwa wanazimia na kulia uwanjani.This is not fun. This is not something you want to do all the time. Haina maana zaidi ya kutonesha vidonda kila leo. Unasbabisha mtu kulipiza kisasi .

My girlfriend she was tutsi her brother was killed in the war.But she also says,the tutsi also killed alot of hutus and cover the massacre carefully. No one is a victim in this plight.

And lets be fair here what about the innocent hutus women and kids who died in the war?

Kuhusu Tanzania part, there are numerous proof and classified info displayed the role of Tanzania directly and indirectly before the war and how they could have prevented it. But they kept quiet why?


Hakuna hata nchi moja iliingilia france wanapiga kelele sasa hiv washenz wakati wao walikimbia. Hawa UK walikuwa wapi? Leo wanaleta habari haziwahusu?
Mbona Bush alienda iraq kwa kisingizo cha weapon of mass destruction alipata? Mbona BBc hawaongelei hayo na mengi tu ambayo mzungu amefanya mabaya africa?
Lazima tukubaliane kama international society and as neighboring country we owe an apology to these people for our failure to prevent this thing. Sijui africa union ina maana gani.

Maneno yako mengi....lakini hayajustify kinachofanywa na kagame kuwalaumu wahutu kwa mauaji ya kimbari..Kagame has to pay for his deeds
 
Justice for All, Why innocent Hutu who also were killed are not recognised in the genocide against Tutsis?.
 
Whenever an issues is raised about the Rwanda Genocide, my memory races to remember Captain Mbaye Diagne (born: 18 March 1958; killed: 31 May 1994) who was a Senegalese Army officer and a United Nations military observer during the 1994 Rwandan Genocide. He is credited with saving many lives during his time in Rwanda through nearly continuous rescue missions at great peril to himself. On the 8th of May 2014, the UN Security Council decided to create the Captain Mbaye Diagne Medal for Exceptional Courage in honour of the actions of Captain Mbaye Diagne during the Rwandan Genocide.
madam, no body is denying genocide of Rwanda, what people are arguing is that, it din't happen only against tusi, it also was against hutu. if more than 800,000 tutsis were killed during genocide of 1994, given the tribal statistic of Rwanda in 1994 then there would be no tutsi in rwanda today, all would have varnished because the population of Tutsi in 1994 was smaller than the purported number of tutsi who were killed. this draws an inference that, it is possible genocide against hutu happened and the bigger number of deaths were hutu, not tusi. umeelwa?
 
Whenever an issues is raised about the Rwanda Genocide, my memory races to remember Captain Mbaye Diagne (born: 18 March 1958; killed: 31 May 1994) who was a Senegalese Army officer and a United Nations military observer during the 1994 Rwandan Genocide. He is credited with saving many lives during his time in Rwanda through nearly continuous rescue missions at great peril to himself. On the 8th of May 2014, the UN Security Council decided to create the Captain Mbaye Diagne Medal for Exceptional Courage in honour of the actions of Captain Mbaye Diagne during the Rwandan Genocide.

were you there in action au umecopy na kupaste bila kuweka source kama kawaida yako?
 
Hii yote ni kwa sababu wanataka kubakia kula hivyo wanajifanya kumuunga mkono Kagame. Rwanda ni nchi inayo ongozwa kwa nidhamu ya uwoga,nau kifanya choko Kagame atakumaliza. Uwongo una mwisho na sasa dunia imeshajuwa ukweli juu ya genocide....ukweli haufichiki kamwe hata uue watu to hide the truth, the truth will prevail.
 
Hii clip ya pili ime summarize vizuri zaidi....media imesaidia kuweka records za kihistoria sawa...
 
were you there in action au umecopy na kupaste bila kuweka source kama kawaida yako?

Sikuwepo huko Rwanda, nilikuwa nyumbani Katavi, ila nimeyafahamu kupitia kusoma na kutafiti pamoja na kujaliwa baraka za Mwenyezi Mungu. Mimi sicopy na kupoaste, mimi ni mtafiti na mchambuzi wa mambo, na siyo kilaza; ila kama wewe umezoea kucopy na kupaste, ni shiiidaaa!!! Unataka source, basi nenda:
(1) Mbaye Diagne - Wikipedia, the free encyclopedia
(2) Creating Medal Named after Captain Mbaye Diagne, Security Council Honours Senegalese Peacekeeper’s Heroic Actions during 1994 Genocide in Rwanda | Meetings Coverage and Press Releases
(3) A good man in Rwanda
 
madam, no body is denying genocide of Rwanda, what people are arguing is that, it din't happen only against tusi, it also was against hutu. if more than 800,000 tutsis were killed during genocide of 1994, given the tribal statistic of Rwanda in 1994 then there would be no tutsi in rwanda today, all would have varnished because the population of Tutsi in 1994 was smaller than the purported number of tutsi who were killed. this draws an inference that, it is possible genocide against hutu happened and the bigger number of deaths were hutu, not tusi. umeelwa?

Uchambuzi wa takwimu za mauaji kama ulivyofanywa na BBC ni kweli, kwani kama waliouawa ni 800,000+ basi Watutsi wangekuwa wamekwisha au kupoungua sana. Ukweli ni kuwa waliouawa ni Moderate Hutus na Watutsi, na waliowengi wa hawa ni Moderate Hutus, hii ni kwa kutumia logic tu. Ila huku kukazania kuwa wale 80,000+ waliouawa ni Watutsi ni kutafuta huruma na kuhalalisha kuonewa huruma. Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom