Finally: BBC speaks the truth

Finally: BBC speaks the truth

madam, no body is denying genocide of Rwanda, what people are arguing is that, it din't happen only against tusi, it also was against hutu. if more than 800,000 tutsis were killed during genocide of 1994, given the tribal statistic of Rwanda in 1994 then there would be no tutsi in rwanda today, all would have varnished because the population of Tutsi in 1994 was smaller than the purported number of tutsi who were killed. this draws an inference that, it is possible genocide against hutu happened and the bigger number of deaths were hutu, not tusi. umeelwa?

Argument ya watafiti ..wengi ..inadhihirisha uwongo wa Kagame na mbinu ya kutaka kuwa tawala kiakili Maisha yote kila wanapokumbuka Hiyo genocide.

Watafiti wamesema hivi ..,mwaka 1994 Wakati MAUWAJI yanatokea Watutsi wengi walikuwa nje Tanzania,Congo,Uganda ..inadaiwa kuwa population ya Watutsi walikumbwa na mapigano ni Kama 500'000 ....Baada ya MAUWAJI mwisho watafiti waligundua kuwa Watutsi 300'000 walikuwa wamebaki ...kabla ya wengine kuanza Kurudi kutoka kwenye ukimbizi.
Theory Hii ya watafiti ambayo hata BBC wanaongelea kwa kuwahoji Hao watafiti ni kuwa ..Kama Watutsi waliouliwa walikuwa 200'000 ....basi Hii Ina maanisha kuwa Wahutu hasa wenye msimamo wa kadiri waliokuwa wakiwahifadhi Watutsi ...na wengine ambao waliuliwa na Askari wa RPF walipokuwa wakiingia mjini Ndio wengi.

Hoja ya Jumuia ya kimataifa inajikita kwenye kuhoji kwa nini Rwanda wameamua ku dharau ukweli kuwa wapo Wahutu wengi wasio na hatia waliuliwa ...kwa nini hawakumbukwi??
 
Huyu mwandishi wa habari na mchunguzi wa makala haya, Jane Corbi aatisha, ni zaidi ya mwandishi na nafikiri anaweza kuwa hata jasusi!!! Kuweza kufnya mahojiano na watu wote hao na kuweza kupita na kushiriki commemorations zote hizo ilikuwa balaa, sina hakika kama kuna mwandishi wa habari yeyote wa Kitanzania ameshawahi kufanya investigatve journalism yenye compoents za high intellgence kama hii......Lakini kitendo cha kuweza kupenya vizingiti vyote hivyo unnoticed inaprove kabisa Rwanda is very very permissible, ile boasting na pride yao kwamba wana intelligence ya kutisha iko wapi??
 
Kitendo cha kuita mauaji ya 1994 kama genocide against Tutsi ni uwongo uliovuka mipaka, lakini mbaya zaidi hautengenezi hali ya reconcilliaton badala yake unatengeneza madaraja na visasi baina ya Wahutu na Watutsi, naamini Wahutu watakuwa na kinyingi sana na watakuwa wanaumia ndani kwa ndani, sasa watu wa aina hii ni wabaya sana, hawachelewi kuja kuchukua hatua siku moja,
 
finally, nimeipata, na nimedownload. sidhani kama dunia inatakiwa kufuata kile tu Rwanda inachotaka kitangazwe, kuna siku ukweli wa haya yote utajulikana mchana kweupeee. unfortunately, the ICC prosecutes people who committed offences from 2002, mauaji ya Rwanda yalifanyika kabla hivyo kisheria kagame hawezi kupelekwa ICC, ila kama haijafungwa ICTR au mahakama za Rwanda. historia inaonyesha kuwa ukiwachunga watu kwa fimbo ya chuma utaishia kwa aibu kama gadafi.

Duh
Sijaiona na sijui jinsi ya ku download from utube....help!!!
 
Ufaransa walikuja juu kuhusu Mauaji hayo Kagame akavunja nao ubalozi na pia akabadiri lugha ya Nchi hiyo kutoka French na kuwa English sasa Waingereza nao Washamuuzi nadhani Ataanza kutumia Kiswahili naye.....

Karibu Sana ila Ukweli siku zote huuma... Ni Kam yale ya Mwan.a. Hali.si kula Ban ya uhakika..

Sikujua hili!
Ss km wote wakimkomalia atavunja balozi ngapi? Nawaza kwa sauti!
 
Duh
Sijaiona na sijui jinsi ya ku download from utube....help!!!
ipo, mimi pia nimeiona. ili kudownload kutoka youtube unahitaji kudownload na kuinstall youtube downloader. ila video hii hapa

watch
 
Last edited by a moderator:
Argument ya watafiti ..wengi ..inadhihirisha uwongo wa Kagame na mbinu ya kutaka kuwa tawala kiakili Maisha yote kila wanapokumbuka Hiyo genocide.

Watafiti wamesema hivi ..,mwaka 1994 Wakati MAUWAJI yanatokea Watutsi wengi walikuwa nje Tanzania,Congo,Uganda ..inadaiwa kuwa population ya Watutsi walikumbwa na mapigano ni Kama 500'000 ....Baada ya MAUWAJI mwisho watafiti waligundua kuwa Watutsi 300'000 walikuwa wamebaki ...kabla ya wengine kuanza Kurudi kutoka kwenye ukimbizi.
Theory Hii ya watafiti ambayo hata BBC wanaongelea kwa kuwahoji Hao watafiti ni kuwa ..Kama Watutsi waliouliwa walikuwa 200'000 ....basi Hii Ina maanisha kuwa Wahutu hasa wenye msimamo wa kadiri waliokuwa wakiwahifadhi Watutsi ...na wengine ambao waliuliwa na Askari wa RPF walipokuwa wakiingia mjini Ndio wengi.

Hoja ya Jumuia ya kimataifa inajikita kwenye kuhoji kwa nini Rwanda wameamua ku dharau ukweli kuwa wapo Wahutu wengi wasio na hatia waliuliwa ...kwa nini hawakumbukwi??
ni kweli, na swali hilo ndilo lililomfunga ingabire hadi leo, alienda kwenye makumbusho akahoji mbona mafuvu ya wahutu siyaone yakiwa yamewekwa mark? kagame na RPF waliua watu wengi sana na hata baada ya hapo wameuza zaidi ya watu milioni tano congo. damu inalia ardhini na kama hana akili za kujirudi na kuweka mambo sawa mapema, atakuja kufa kwa aibu kama gaafi. kiburi chake sasa kimefika mwisho.
 
Uchambuzi wa takwimu za mauaji kama ulivyofanywa na BBC ni kweli, kwani kama waliouawa ni 800,000+ basi Watutsi wangekuwa wamekwisha au kupoungua sana. Ukweli ni kuwa waliouawa ni Moderate Hutus na Watutsi, na waliowengi wa hawa ni Moderate Hutus, hii ni kwa kutumia logic tu. Ila huku kukazania kuwa wale 80,000+ waliouawa ni Watutsi ni kutafuta huruma na kuhalalisha kuonewa huruma. Nawasilisha.
hapo nakubaliana na wewe. na unakumbuka balozo wao wa UN alitaka kupeleka pendekezo mauaji ya kimbari rwanda yatambulike na UN kama ni genocide against tusi. kumbe kuna waliouawa wengi ni wahutu, sasa mbona mauaji ya wahutu hayakumbukwi? halafu, kayumba nyamwasa na wengine walioshiriki kwenye mauaji hayo (ambao pia ni wanted by several courts) wamekiri kwamba wakati RPF walipoingia kigali walikua wanau wahutu watoto wamama everybody wanayemkuta kwasababu ya hasira, RPF walikuwa kama wamechanganyikiwa kwa kuona watusi wenzao wameuawa wakawa wanafanya revange. hivyo ipo pia genocide against hutu, hakuna ubishi. ikumbukwe pia jeshi la Rwanda lilipofuata na kuua walefu ya watoto na wakina mama waliokuwa kwenye makambi ya ukimbizi kibeho na congo. ameteketeza watu wengi sana congo wengi ajabu. kagame ameua watu wengi kuliko hata waliokufa kwenye genocide.
 
kagame anahitaji kumwachia ingabire. lakini hata hivyo ameshachelewa, dunia imeshaona kila kitu na hata akifanya chochote moto uliowashwa huu hautazimwa hadi kieleweke. nampa pole sana.
 
kagame anahitaji kumwachia ingabire. lakini hata hivyo ameshachelewa, dunia imeshaona kila kitu na hata akifanya chochote moto uliowashwa huu hautazimwa hadi kieleweke. nampa pole sana.

Nasikia ame appeal kwenye mahakama ya haki za binadamu ya Africa...(sijalishika jina vizuri la hiyo mahakama)...na kesi itasikilizwa Arusha...lets hope watamuachia aweze kugombea urais...hivi kwa nini watu wanapenda kubinafsisha madaraka kwa mbinu zote?????
 
Sikuwepo huko Rwanda, nilikuwa nyumbani Katavi, ila nimeyafahamu kupitia kusoma na kutafiti pamoja na kujaliwa baraka za Mwenyezi Mungu. Mimi sicopy na kupoaste, mimi ni mtafiti na mchambuzi wa mambo, na siyo kilaza; ila kama wewe umezoea kucopy na kupaste, ni shiiidaaa!!! Unataka source, basi nenda:
(1) Mbaye Diagne - Wikipedia, the free encyclopedia
(2) Creating Medal Named after Captain Mbaye Diagne, Security Council Honours Senegalese Peacekeeper’s Heroic Actions during 1994 Genocide in Rwanda | Meetings Coverage and Press Releases
(3) A good man in Rwanda

sawa mama.
 
Kama unafuatilia siasa za dunia utajua hivi vitu havifanywi tu hivi hivi. Hii ni trailer. Hata Saddam Hussein wakati Fulani alikuwa rafiki mkuu wa wazungu. Wazungu weshamwona Kagame 'has outlived his usefulness'.
Kama walivyosema wengi, kama ana akili angefanya counter-attack kwa kuleta upatanishi na demokrasia. Ah, lakni power blinds. Sidhani atafanya hiyo. Tungojee his downfall. Kitu kitakachomnunulia wakati kidogo ni huo urais. Akiacha leo tu, kesho utamkuta ICC. Kwa hiyo matokeo....PaKa hatajiuzulu kamwe!

Hapo nilipoweka bold - unajua wazungu wakati wanakutumia huwa wanakufichia madhambi yako lakini wanaya document yooote kimya kimya bila ya kelele. Hapo siku ukiamua kujifanya kidomodomo na wakiwa hawana tena shida na wewe basi ndiyo hizo siri zinavujishwa kwenye vyombo vya habari na wewe utabaki kulalama tu.

Wamewafanyia hivyo akina Saddam, Noriega, na hata Robert Mugabe alipotaka kuwamaliza kabila lile kabila la mpinzani wake (nadhani ni Chief Muzorewa).

Sasa kibao kimemgeukia brother K wakati alikuwa kipenzi na akimwagiwa misaada kede kede.
 
Aminiusiamini: ......." Tanzanians knew about Kagame's plans to shoot...." Well, I am Tanzanian and I did not know. You either provide a source, audio, photo or.....it never happened.

Wewe ulikuwa wapi mwaka 1994? Ni kweli Watanzania (viongozi) waliokuwa wanasuluhisha mgogoro huu walijua kabisa na ndiyo maana mara ya kwanza Rais wa Rwanda na Burundi walipanda ndege moja kurudi makwao na kwa kuogopa hilo, waliokuwa msituni hawakuitungua.

jee wewe ulikuwa katika watawala kipindi hicho?
 
Am sorry for confusion.But i must also say to believe or not to believe,it does not matter right now.Millions of people have perished already.we could have prevented of course.

I dnt hate Kagame,but i think he should just let go of this "genocide" issue. I was very angry in fact when wananchi walipokuwa wanazimia na kulia uwanjani.This is not fun. This is not something you want to do all the time. Haina maana zaidi ya kutonesha vidonda kila leo. Unasbabisha mtu kulipiza kisasi .

My girlfriend she was tutsi her brother was killed in the war.But she also says,the tutsi also killed alot of hutus and cover the massacre carefully. No one is a victim in this plight.

And lets be fair here what about the innocent hutus women and kids who died in the war?

Kuhusu Tanzania part, there are numerous proof and classified info displayed the role of Tanzania directly and indirectly before the war and how they could have prevented it. But they kept quiet why?


Hakuna hata nchi moja iliingilia france wanapiga kelele sasa hiv washenz wakati wao walikimbia. Hawa UK walikuwa wapi? Leo wanaleta habari haziwahusu?
Mbona Bush alienda iraq kwa kisingizo cha weapon of mass destruction alipata? Mbona BBc hawaongelei hayo na mengi tu ambayo mzungu amefanya mabaya africa?
Lazima tukubaliane kama international society and as neighboring country we owe an apology to these people for our failure to prevent this thing. Sijui africa union ina maana gani.
Mkuu no one is denying the genocide, what the BBC Documentary has argued successfully is that the genocide was not only two sided but also that MORE Hutus were massacred.
And that the spark of the genocide was Kagame himself on ordering the MURDER of a sitting president Habyarimana.
The documentary also shows mass murder of Hutus in the Congo- in millions , as ordered by Kagame.

Kagame should equally foot the blame as the other Hutus.

Tanzania should have interfered?
You must be joking, madeni ya kumtwanga Idi Amin bado yanatuendesha several decades after the war!
The UN mandated intefering force is the logical way to treat Rwanda.
 
Mmmnnnhhh...ukishakuwa ni raia wa nchi tajiri unadhani unagusika kirahisi...sana sana ambacho wangeweza kufanya ni kumtimua nchini ...nothing more...napo wawe na sababu...

Angekuwa ametokea nchi za Afrika angesha restishwa in pici kabla haja publish...

Ukute hata sasa wanamtamani lakini watamfanya nini huku wanajua kumgusa ni kutangaza war na dunia
Huyu mwandishi wa habari na mchunguzi wa makala haya, Jane Corbi aatisha, ni zaidi ya mwandishi na nafikiri anaweza kuwa hata jasusi!!! Kuweza kufnya mahojiano na watu wote hao na kuweza kupita na kushiriki commemorations zote hizo ilikuwa balaa, sina hakika kama kuna mwandishi wa habari yeyote wa Kitanzania ameshawahi kufanya investigatve journalism yenye compoents za high intellgence kama hii......Lakini kitendo cha kuweza kupenya vizingiti vyote hivyo unnoticed inaprove kabisa Rwanda is very very permissible, ile boasting na pride yao kwamba wana intelligence ya kutisha iko wapi??
 
Back
Top Bottom